Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,095
- 43,305
... mnyime mpaka aoge!
... mnyime mpaka aoge!
Jamani kuna wanaume wengine wanarudi majumbani mwao
wakifika ni chakula wakila ni ndani kitandani ukiwaambia jamani
uogi aaaapana mpaka asbh,uko ndani usiku ni kero ukifikiria kumpa
mgongo wa nne shida ni taabu tupu jamani
kama we ni mwanaume wa jinsia hiyo acha jitahidi uoge mkifika kwenda kullala
hata kama wanawake zenu awapigi kelele mjue wanateseka jamani
okoa maji
oga usiku
... mnyime mpaka aoge!
No comment bra Nguli, wanawake wenzake wanapenda may be na wanaume wengine wanaoga hata kabla ya kula na baada ya kulaBadilisha title ya thread isomeeke hivi. "sipendi tabia ya mume wangu ya kutokuoga inanikera"
Je, wewe unaoga? Unamwandalia maji? au unamkomand akajiandalie maji mwenyewe? Wote hao wanaume wako hivyo? Unaswaki? Mgongo wa nne ni upi tena? Wa kwanza, pili na tatu ni yapi? Kama vipi fanya haya yafuatayo;
1. Wanyime mpaka waoge
2. Wapatie company katika kuoga
3. Uwaogeshe mwenyewe
4. Punguza hao wanaume, huenda wamechokana
5. Nawe acha kuoga ili ufanane nao
6. Wakojolee, wataona aibu na kuanza kuoga
7. Achana nao na uanze kuwatafuta wanaooga.
Vinginevyo, kazi imekushinda na unapaswa kujiuzulu.

hivi mabinamu huwa hamuogi ?? i don think so.....😉
WC, yaani umenikuna haswa, ni kweli hauna activities zingine tofauti na ulizozimention? I dont buy it, jamani 8 to 9 hours mwili tayari umeshazalisha uchafu hata kama uko kwenye full AC kubali ukatae huo ni mtazamo wangu.kwanini nioge???...kwani nimetoka kufanya kazi gani ilonichafua toka asubuhi nilipooga home nikaingia ndani ya gari full ac plus mi-air freshner ya ukeli nikapark ofisini kwenye elevated parking tower nikakadandia kijilift mpaka ofcn kwangu nako full unyunyu nikakaa kwenye laptop yangu nimezungukwa na simu kama kazi ni kupokea na kupiga plus kucheka na kujibu forums za JF kisha lunchbox inakuja mezani plus everything at my fingertips...jioni the same thing back home....NIOGE ILI NIWANYIME WATANZANIA WENZANGU WA TABATA/MASAKI/KIMARA WASIOPATA MAJI YA DAWASCO MPAKA SAA 9.00 USIKU KILA JUMATANO???
Acha roho mbaya kwa kuwanyima watzania maji kidogo ya kunywa ili wewe uyaoshee mwili wako usiostahili kuoshwa maana ...HAUJACHAFUKA.....
ni maoni tuuu....finito
Duh! Naona hapa inabidi Sweetbaby kwanza ujibu hizi hoja za wakuu ili wengine tuweze kuibeba madahii. manake wamechangia kama vile wana password maalum!![]()
WC, yaani umenikuna haswa, ni kweli hauna activities zingine tofauti na ulizozimention? I dont buy it, jamani 8 to 9 hours mwili tayari umeshazalisha uchafu hata kama uko kwenye full AC kubali ukatae huo ni mtazamo wangu.
Sasa Drifter, unadhani Sweetbaby afanyeje? Ajaribu tu kufanya hayo. Huwa mimi napenda sana mke wangu akiniscot kwenda kuoga, huenda yeye anambania mume wake wakati anahitaji.
Ilitakiwa hayo mambo ya kuoga/usafi waelewane (warekebishane) tokea mwanzo kabisa kabla haya ya kuanza kulala kitanda kimoja (na kupeana mgongo wa nne) hayajaanza. Lakini tena, kama wanaosemwa hapa ni wapita njia tu, basi ipo kazi. Unawarekebishaje hao? Mada inahitaji kuwekwa sawa hii.![]()
Sweetbaby pole na yanayokusibu lakini mie nakushauri ongea naye kwa sauti nyororo for sure unayo sweet words as your name na wakati huo maji yako bafuni, take your time to tel him how you dont like asipo oga, wanaume wanahitaji kubembelezwa kama watoto, I think you understand atabadilika tu.
jamani kuna wanaume wengine wanarudi majumbani mwao