Sipendi wanaume msiooga

Sipendi wanaume msiooga

...nanyie!
mnawapata wapi hao wanaume wanaotaka kubembelezwa kama watoto?
Acheni kuwadekeza, nyie sio mama zao!

sasa mkijiwa kijeshi si ndo mambo yale ya kutafuta nyumba ndogo zenye kubembeleza?...hivi wanaume mbona ham'bebeki?....mkojeeeee
 
Badilisha title ya thread isomeeke hivi. "sipendi tabia ya mume wangu ya kutokuoga inanikera"


Nguli mbona umekuwa mkali sana..inaelekea hata wewe huwa huogi.Jibu lako limenifurahisha sana.
 
mzoweshe tu kidogo kidogo............jaribu kufanya kama wewe ndo unahtaji kampani ya kuoga akupeleke..............mwisho atazowea itakuwa hulka yake 🙂
 
Mi pia nimejiuliza hivyo...

Annina

kama hajui kukea ndio matatizo hayo mpaka unaamua kuleta mambo yako binafsi hapa jamvini..............tunachojua wanaume kuoga sio ishu ya kuuliza isipokuwa kama unabahati mbaya ya kukutana na wanaume wachafu basi kataa na pesa zao pia lakini waambie ''mtu ni afya na kuoga ni afya''
 
sasa mkijiwa kijeshi si ndo mambo yale ya kutafuta nyumba ndogo zenye kubembeleza?...hivi wanaume mbona ham'bebeki?....mkojeeeee


Ulishajaribu kumbeba mwanaume wa ukweli au unazungumza kwa data zipi binamu? lol
 
Jamani kuna wanaume wengine wanarudi majumbani mwao
wakifika ni chakula wakila ni ndani kitandani ukiwaambia jamani
uogi aaaapana mpaka asbh,uko ndani usiku ni kero ukifikiria kumpa
mgongo wa nne shida ni taabu tupu jamani
kama we ni mwanaume wa jinsia hiyo acha jitahidi uoge mkifika kwenda kullala
hata kama wanawake zenu awapigi kelele mjue wanateseka jamani
okoa maji
oga usiku

Kama mtu hataki kuoga basi nenda kalale sebuleni!!
 
Back
Top Bottom