Sipendi wanaume msiooga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sipendi wanaume msiooga

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jan 31, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  Jamani kuna wanaume wengine wanarudi majumbani mwao
  wakifika ni chakula wakila ni ndani kitandani ukiwaambia jamani
  uogi aaaapana mpaka asbh,uko ndani usiku ni kero ukifikiria kumpa
  mgongo wa nne shida ni taabu tupu jamani
  kama we ni mwanaume wa jinsia hiyo acha jitahidi uoge mkifika kwenda kullala
  hata kama wanawake zenu awapigi kelele mjue wanateseka jamani
  okoa maji
  oga usiku
   
 2. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Badilisha title ya thread isomeeke hivi. "sipendi tabia ya mume wangu ya kutokuoga inanikera"
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Mkuu nafikiri yupo sahihi, anawanaume kadhaa na wote wanamkera kwa kutooga usiku
  Laki yy bado yumo tu, hawaachi wala nn
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Hata asipooga inakuhusu nn? Kataa na mshiko wake basi. Inafika muda hata maji unaona mzigo
   
 5. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wakuu mmenifungua akili kwa hiyo yeye kajiajiri?
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...sweetbaby waambie 'face-face' kero zako. Sidhani kama kuandika humu jamvini wana kusoma, unless 'nao' ni members humu.
   
 7. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pamoja na kwenda 'kanisani' bado tu unalala na wanaume kadhaa...tena wasiooga?lol
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  KWa nini humuogeshi?
   
 9. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Mi pia nimejiuliza hivyo...


  Annina
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  bibi wee huwa wanaogeshwa hao..tena shurti maji yana mdalasini...inahuuu!!
   
 11. kui

  kui JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2010
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 6,478
  Likes Received: 5,146
  Trophy Points: 280
  shughuli!...
   
 12. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hapo nilipoweka rangi kwa msisitizo ndipo palipocatch attention yangu..,unampa mgongo?..ni mgongo upi huo ni huu wa kawaida au ni tafsida imetumika hapo ikimaanishwa tiGO
   
 13. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  we koma kabisa yaani umeweka JF ni sehemu ya kitchen part tukufundishe namna ya kuwa handle waume zako eee! si uwaogeshe tu, pengine kavivu ka kuchota mayi
   
 14. k

  keikuwe Member

  #14
  Feb 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmh mwanakwetu wanitia aibu mume shurti aogeshe wataka akaonge mwenyewe? Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ndoa itakushinda
   
 15. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2010
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sweetbaby, hilo si tatizo kabisa. Wakuu wa jamvi washasema, mkogeshe huyo/hao. Tatizo ni wanawake wanaooga sana halafu wanasahau kuogesha na vinywa vyao. Vinywa hivi vinaendelea kutema maneno ya kutoa roho kama vile hawajaswaki. Sasa hapa tabu kweli kweli 'kumsafisha kinywa' mtu mzima
   
 16. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,140
  Likes Received: 23,808
  Trophy Points: 280
  Huyo mwanaume wako haogi kwa vile akioga tu basi usiku huo lazima umpe mgongo wa nne kama ulivyosema mwenyewe kitu ambacho yeye hapendi kabisaaaa!.
   
 17. kui

  kui JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2010
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 6,478
  Likes Received: 5,146
  Trophy Points: 280
  Ndo maana Waafrika hatuendelei, this's ridiculous!, who has all this time?!, badala ya kufikiria na kufanya mambo ya mendeleo, mnaendeleza ujinga.

  F..ck
   
 18. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #18
  Feb 1, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Nilitaka nisema ni wanawake wa namna gani siwapendi yakija mambo haya ya usafi. Nashukuru nimeweza kujizuia.
   
 19. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Unaonyesha ni jinsi gani unavyolala na wanaume wengi duh! Punguza
   
 20. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sweetbaby pole na yanayokusibu lakini mie nakushauri ongea naye kwa sauti nyororo for sure unayo sweet words as your name na wakati huo maji yako bafuni, take your time to tel him how you dont like asipo oga, wanaume wanahitaji kubembelezwa kama watoto, I think you understand atabadilika tu.
   
Loading...