Sipendi tabia hii, ni pure Uswahili

Sipendi tabia hii, ni pure Uswahili

Kumbe ulikuwa na uwezo wa kumtuma bodaboda.....nyooo....mpaka utumiwe sms Kali....

Ulikuwa unataka kumnyima.
 
Yaani kuna baadhi ya watu wanaona ni haki yao kupata kila kitu kwa wakati. Ukimcheleweshea ni matusi na kejeli.

Mfano hapo juzi juzi tu nililetewa Mchele kama kilo 30 kutoka kwa familia yangu inayoishi mkoani sasa wakati naenda kuupokea stendi niliambatana na rafiki yangu mmoja wa kike.

Zikapita kama siku mbili hivi yule rafiki yangu akaniomba like nimpunguzie ule mchele kilo chache zimsukume japo siku chache, nikamwambia nitampelekea nikipata time.

Sasa baada ya muda akawa anapiga simu na kutuma SMS kukumbushia nikamwambia nakumbuka wala asijali ni vile tu niko nje ya mji kidogo nikurud ntamwambia aje achukue au atume bodaboda. sasa baada ya siku mbili akatuma text ndefu like.

"bwanaeeee naona bora uache tu kunipa huo mchele wako, maana naona kama naku force ungetaka kunipa ungeshanipa kitambo. Sasa potezea tu"

Nikazisoma zile text nikaona ninyamaze tu maana inaonekana alidhamiria kunichana.

Basi nilivyorudi tu nikatuma boda apelekewe ule mchele.. alivyoupokea akanipgia simu na kuanza kujichekesha as if nothing happened.

Binadamu ni kazi sana kuishi nao.
Toa mchele wewe!
 
Kuvumlia wakati una njaa??
Yani huna chakula hafu unamuomba mwenzako akusaidie anakuambia sawa ntakupa lakin zinapta cku 3 yupo kmya tu ukimuulizaia anakujbu ntakuleta lakin haleti..HUU SI UUNGWANA..hii ipo sana hata kwenye hela unamuzima MTU hela anakumbia poa ntakupa leo jioni...jioni zinakua zaid ya 5 na ww unashida na ulishaweka tumaini kwake kwakua ashakuahd atakupa lakin hatoi kwa muda....HUU si UUngwana pia..
 
Yaani kuna baadhi ya watu wanaona ni haki yao kupata kila kitu kwa wakati. Ukimcheleweshea ni matusi na kejeli.

Mfano hapo juzi juzi tu nililetewa Mchele kama kilo 30 kutoka kwa familia yangu inayoishi mkoani sasa wakati naenda kuupokea stendi niliambatana na rafiki yangu mmoja wa kike.

Zikapita kama siku mbili hivi yule rafiki yangu akaniomba like nimpunguzie ule mchele kilo chache zimsukume japo siku chache, nikamwambia nitampelekea nikipata time.

Sasa baada ya muda akawa anapiga simu na kutuma SMS kukumbushia nikamwambia nakumbuka wala asijali ni vile tu niko nje ya mji kidogo nikurud ntamwambia aje achukue au atume bodaboda. sasa baada ya siku mbili akatuma text ndefu like.

"bwanaeeee naona bora uache tu kunipa huo mchele wako, maana naona kama naku force ungetaka kunipa ungeshanipa kitambo. Sasa potezea tu"

Nikazisoma zile text nikaona ninyamaze tu maana inaonekana alidhamiria kunichana.

Basi nilivyorudi tu nikatuma boda apelekewe ule mchele.. alivyoupokea akanipgia simu na kuanza kujichekesha as if nothing happened.

Binadamu ni kazi sana kuishi nao.
Unaishi na majini chunguza vizuri.
 
....'Akatuma text ndefu like' unamaanisha nini?
Nimeligeuza geuza linakataa kunipatia ulichomaanisha.
 
nimejaribu kusoma komenti za wadau humu ndani nimegundua wanamlalamikia jamaa kwa kumnyima mchele uyo dada, labda niulize swali moja uyo dada wakati jamaa anaagiza mchele uko mkoa alikuwepo? na je uyo dada bajeti ya mshikaji anaijua, nina maswali mengi lakini ngoja nitoe ushauri kwa watanzania wenzangu mtu anapoamua kufanya jambo kwa ajili ya bajeti zake na matumizi yake ya nyumbani si vizuri kumuingilia au kumshtumu kama alivyofanya uyo dada kama alikuwa ana shida na mchele si unauzwa madukani
 
Yaani kuna baadhi ya watu wanaona ni haki yao kupata kila kitu kwa wakati. Ukimcheleweshea ni matusi na kejeli.

Mfano hapo juzi juzi tu nililetewa Mchele kama kilo 30 kutoka kwa familia yangu inayoishi mkoani sasa wakati naenda kuupokea stendi niliambatana na rafiki yangu mmoja wa kike.

Zikapita kama siku mbili hivi yule rafiki yangu akaniomba like nimpunguzie ule mchele kilo chache zimsukume japo siku chache, nikamwambia nitampelekea nikipata time.

Sasa baada ya muda akawa anapiga simu na kutuma SMS kukumbushia nikamwambia nakumbuka wala asijali ni vile tu niko nje ya mji kidogo nikurud ntamwambia aje achukue au atume bodaboda. sasa baada ya siku mbili akatuma text ndefu like.

"bwanaeeee naona bora uache tu kunipa huo mchele wako, maana naona kama naku force ungetaka kunipa ungeshanipa kitambo. Sasa potezea tu"

Nikazisoma zile text nikaona ninyamaze tu maana inaonekana alidhamiria kunichana.

Basi nilivyorudi tu nikatuma boda apelekewe ule mchele.. alivyoupokea akanipgia simu na kuanza kujichekesha as if nothing happened.

Binadamu ni kazi sana kuishi nao.
Siku nyingine jiongeze, msome mtu usoni , siku ya kwanza tu mlipoenda kupokea huo mzigo aliamini utamgawia.

Kasubiria kaona kimya, ikabidi akuombe haki yake kwa nguvu.
 
Yaani kuna baadhi ya watu wanaona ni haki yao kupata kila kitu kwa wakati. Ukimcheleweshea ni matusi na kejeli.

Mfano hapo juzi juzi tu nililetewa Mchele kama kilo 30 kutoka kwa familia yangu inayoishi mkoani sasa wakati naenda kuupokea stendi niliambatana na rafiki yangu mmoja wa kike.

Zikapita kama siku mbili hivi yule rafiki yangu akaniomba like nimpunguzie ule mchele kilo chache zimsukume japo siku chache, nikamwambia nitampelekea nikipata time.

Sasa baada ya muda akawa anapiga simu na kutuma SMS kukumbushia nikamwambia nakumbuka wala asijali ni vile tu niko nje ya mji kidogo nikurud ntamwambia aje achukue au atume bodaboda. sasa baada ya siku mbili akatuma text ndefu like.

"bwanaeeee naona bora uache tu kunipa huo mchele wako, maana naona kama naku force ungetaka kunipa ungeshanipa kitambo. Sasa potezea tu"

Nikazisoma zile text nikaona ninyamaze tu maana inaonekana alidhamiria kunichana.

Basi nilivyorudi tu nikatuma boda apelekewe ule mchele.. alivyoupokea akanipgia simu na kuanza kujichekesha as if nothing happened.

Binadamu ni kazi sana kuishi nao.

Naona huo unaouita 'Uswahili' kwako na sio kwa rafiki yako. Mtu anapokuomba chakula, ina maana hana, na unapochukua muda kumpatia chakula, kuna uwezekano anakaa na njaa.
Kwa Tz kwa ujumla ndio tunavyoendesha shughuli zetu, hatuna haraka katika lolote, na si kati ya mtu na mtu, si kwa taasisi na Taifa kwa ujumla.
Mfano wako unahusu jambo muhimu sana, yaani chakula, je kwa huduma si hali itakuwa mbaya zaidi na hakuna anayejali!
'Uswahili' usingetokea kama ungetekeleza ulichoahidi bila ya kujivuta, haijalishi nini kilikubana.
 
Wanaume wa humu kwa gubu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Yaani kuna baadhi ya watu wanaona ni haki yao kupata kila kitu kwa wakati. Ukimcheleweshea ni matusi na kejeli.

Mfano hapo juzi juzi tu nililetewa Mchele kama kilo 30 kutoka kwa familia yangu inayoishi mkoani sasa wakati naenda kuupokea stendi niliambatana na rafiki yangu mmoja wa kike.

Zikapita kama siku mbili hivi yule rafiki yangu akaniomba like nimpunguzie ule mchele kilo chache zimsukume japo siku chache, nikamwambia nitampelekea nikipata time.

Sasa baada ya muda akawa anapiga simu na kutuma SMS kukumbushia nikamwambia nakumbuka wala asijali ni vile tu niko nje ya mji kidogo nikurud ntamwambia aje achukue au atume bodaboda. sasa baada ya siku mbili akatuma text ndefu like.

"bwanaeeee naona bora uache tu kunipa huo mchele wako, maana naona kama naku force ungetaka kunipa ungeshanipa kitambo. Sasa potezea tu"

Nikazisoma zile text nikaona ninyamaze tu maana inaonekana alidhamiria kunichana.

Basi nilivyorudi tu nikatuma boda apelekewe ule mchele.. alivyoupokea akanipgia simu na kuanza kujichekesha as if nothing happened.

Binadamu ni kazi sana kuishi nao.
Dah ana tabia kamakibinti flani hivi nakifaham yani uwa kinaforce hadi kwenye hamna..
 
Back
Top Bottom