Bro leo umekua mchochezi sana, [emoji23][emoji23][emoji23]Pitia thread vizuri, pitia point ya huyo dada uliyemquote, then angalia kama uko kwenye context ya thread na post ya huyo dada/mama.
Hata kama ni njaa sio hivyo, mtu kasema yupo nje ya mji kwanini asiwe na subiraWe mchoyo tu huna lolote.
Alafu kumbe ww ni dem!!!?Nipe na Mimi.
mwambie huyo akikujibu niamsheKwahiyo ndugu yangu unataka mswahili aishi Kama mmarekani eh?
Bro leo umekua mchochezi sana, [emoji23][emoji23][emoji23]
BTW, hii thread ina nini mbona kama inawafanya watu wazisahau jinsi zao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah hata sisi maskini ni watu jamaniMie ningekuwa -me- nisingekula mademu hohehahe namna hiyo! Oh no! Yaan had mchele uombe??[emoji119]! Mwanamke hutakikiw kuomba vitu minor kama hivyo jamani...utadharauriwa na kutweza na kufujwa had ushangae!
May be nimekosea.Pitia thread vizuri, pitia point ya huyo dada uliyemquote, then angalia kama uko kwenye context ya thread na post ya huyo dada/mama.
May be nimekosea.
Let me delete
Yaani kuna baadhi ya watu wanaona ni haki yao kupata kila kitu kwa wakati. Ukimcheleweshea ni matusi na kejeli.
Mfano hapo juzi juzi tu nililetewa Mchele kama kilo 30 kutoka kwa familia yangu inayoishi mkoani sasa wakati naenda kuupokea stendi niliambatana na rafiki yangu mmoja wa kike.
Zikapita kama siku mbili hivi yule rafiki yangu akaniomba like nimpunguzie ule mchele kilo chache zimsukume japo siku chache, nikamwambia nitampelekea nikipata time.
Sasa baada ya muda akawa anapiga simu na kutuma SMS kukumbushia nikamwambia nakumbuka wala asijali ni vile tu niko nje ya mji kidogo nikurud ntamwambia aje achukue au atume bodaboda. sasa baada ya siku mbili akatuma text ndefu like.
"bwanaeeee naona bora uache tu kunipa huo mchele wako, maana naona kama naku force ungetaka kunipa ungeshanipa kitambo. Sasa potezea tu"
Nikazisoma zile text nikaona ninyamaze tu maana inaonekana alidhamiria kunichana.
Basi nilivyorudi tu nikatuma boda apelekewe ule mchele.. alivyoupokea akanipgia simu na kuanza kujichekesha as if nothing happened.
Binadamu ni kazi sana kuishi nao.

Alafu kumbe ww ni dem!!!?
nikajuaga mchizi...!
😂😂😂😂Wewe si hohehahe? Kama si hohehahe mbona unaliwaliwa ovyo?
Sijakudharau mkuu kumaizi kwamba jinsia yako ni K sio dharau hata kidogoAcha zarau Boss nikiweka bando natoa hiyo avatar.