thebogo055
Member
- Jun 22, 2020
- 19
- 176
Yaani kuna baadhi ya watu wanaona ni haki yao kupata kila kitu kwa wakati. Ukimcheleweshea ni matusi na kejeli.
Mfano hapo juzi juzi tu nililetewa Mchele kama kilo 30 kutoka kwa familia yangu inayoishi mkoani sasa wakati naenda kuupokea stendi niliambatana na rafiki yangu mmoja wa kike.
Zikapita kama siku mbili hivi yule rafiki yangu akaniomba like nimpunguzie ule mchele kilo chache zimsukume japo siku chache, nikamwambia nitampelekea nikipata time.
Sasa baada ya muda akawa anapiga simu na kutuma SMS kukumbushia nikamwambia nakumbuka wala asijali ni vile tu niko nje ya mji kidogo nikurud ntamwambia aje achukue au atume bodaboda. sasa baada ya siku mbili akatuma text ndefu like.
"bwanaeeee naona bora uache tu kunipa huo mchele wako, maana naona kama naku force ungetaka kunipa ungeshanipa kitambo. Sasa potezea tu"
Nikazisoma zile text nikaona ninyamaze tu maana inaonekana alidhamiria kunichana.
Basi nilivyorudi tu nikatuma boda apelekewe ule mchele.. alivyoupokea akanipgia simu na kuanza kujichekesha as if nothing happened.
Binadamu ni kazi sana kuishi nao.