george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,187
- 1,834
Habarini wana jamvi , mko poa?
Bila kuchelewesha mada , ni hivi waaminifu na waadilifu bado wapo Duniani
Kuna rafiki yg mmoja hua nafanya nae biashara, yeye ameajiriwa na kukabidhiwa duka kubwa mno la vyakula na vitu mbalimbali.
Sasa jamaa huyu nimeshangaa aina ya maisha anayoishi, siku ya kwanza kufahamiana nae niliipeleka bidhaa zg hapo dukani, nikampita nikamfata Mzee mmoja ana asili ya Asia ye ndio alikua amekaa dukani ndani, nikamuelezea kuhusu biashara ninayouza pale.
Akaniambia nionane na yule niliempita mlangoni ndie Kila kitu
Kurudi kuongea na yule jamaa ndio akauelewa ule mzigo niliiopeleka, tukapima akanilipa keshi nikasepa
Ikawa ndio biashara hio ,Kila nikienda nauza jumla nasepa.
Ila Hadi nionane na huyo dogo aliepauka ndio niuze
Hakuna mwingine wa kunipa pesa Hadi huyo
Basi yule dogo ndio tukaanza zoeana kuja muuliza vizuri kumbe ni mkoa mmoja tunatoka.
Fikiria mtu kutoka bala akaaminika na watu wa Asia.
Ndio jamaa yg akaniambia wale jamaa wanamuamini sana ye ndo mtengeneza faida kwa Kila bidhaaa itakuja pale lazima waonane nae
Kwa kile alichoniambia na history yake ya maisha , Cha kwanza kapangiwa chumba kimoja na yule bosi , pia Hana mke wala mtoto japo ana miaka zaidi ya 35.
Pia yule jamaa yg ni zaidi ya muaminifu sijui amerogwa, biashara anaachiwa zaidi ya mezi miwili bosi hajafika ila ye ana peleka faida na kukaza duka Kila siku.
Kwa mfano anakua ananunua vitu mbalimbali kumkuta na milioni 60 Hadi 100 ni kawaida za pale shop
Kwa maana Ile ni duka la jumla na rejareja kuanzia nafaka Hadi product
Hua kuagiza mafuta Hadi dumu 200 au ngano 300 au mimi hua nampelekea mazao dengu au maharage au mchele , kw mfano dengu jumla kilo ni 3000 ye anaweza nilipa hata kilo 600 kwa pamoja kwa pesa keshi
Ila Cha ajabu jamaa kapauka anatembelra yebo pia muda hua akalipia ngano za bakharesa 200 keshi , mafuta dumh 200
Cha ajabu utamkuta kwa mama ntilie anakula chai na maandazi 5.
Kwa mfano juzi nimemkuta anaumwa tumbo tu kununua frajiri za jero analeta ubahili, ananiambia kwamba ni ngumu kutumia pesa za bosi Hadi arudi kwake ndio achukue pesa ili akanunue
Ikabidi mi nimnunulie frajiri na maji akanywa dawa ndio akakaa vizur
Sifa nyingine jamaa mtu wa swala 5 , anajari sana
Je swali langu ni hivi jamaa yg hajui utamu wa pesa , je ni muaminifu ? Au karogwa na bosi ,au ndio alivozaliwa na kipaji Cha uaminifu , haiwezekani umiliki pesa za bosi milioni zaidi ya 100 ushindwe kununua frajiri za jero.
Najua wengi msiotembea na kufunguka kichwani hua mna ongea ni Chai basi kama ni chai kunywa na maandazi 5 kama jamaa yg huku akimiliki zaidi ya milioni 100 za kununulia mizigo mbalimbali inayoingia kwenye biashara za dukani kwa bosi wke ni hayo tu admin naomba usifute Uzi wg kwa sababu uandishi wg mbovu ila una mengi watu wajifunze