Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,594
ndio maana nimekwambia wewe kausha,usije ukayaibua na mengine
Ningekuwa mimi ningeifuta hiyo post.
ndio maana nimekwambia wewe kausha,usije ukayaibua na mengine
[emoji27]Wewe si hohehahe? Kama si hohehahe mbona unaliwaliwa ovyo?
Dharau gani tena, mtoa mada amesema aliongozana na rafiki yake wa kike na wewe kwenye komenti yako umeonyesha wewe ndio huyo rafiki yake kosa langu mimi nini?acha dharau ndg
[emoji16][emoji16][emoji16] shemeji usiniulize maswali magumuHa ha ha!
Shemeji kama siyo wa kike itakuwaje?
Hakuwa na hela ya kumtuma tena bodabodaNa yeye si alishaukataa,sasa aliupokea wa nini?
[emoji16][emoji16][emoji16] shemeji usiniulize maswali magumu
Ni wa kike. Kusoma hujui hata picha huoni? Mpaka sasa mimi najua ni wa kike lakini akija kukanusha sina tatizoWewe binafsi unaona jibu ni nini? Ni wa kike au wa kiume.
Huku tukiwa tunasubiria jibu lake.
HahahaNdo ukaamua uje unisema JF , hatuishi hivo ndugu yangu.
Unaugua Kwahiyo?Wewe si hohehahe? Kama si hohehahe mbona unaliwaliwa ovyo?
Ni wa kike. Kusoma hujui hata picha huoni? Mpaka sasa mimi najua ni wa kike lakini akija kukanusha sina tatizo
Sanaaaaa.Mpaka aibu yan.Mambo ya kike