Na mchele wako upo vile vile sijautumia kwa taarifa yako.
Nimempigia boda boda aje achukue aurudishe kulaleki.
shekhee!!!,Kwa hiyo wewe ndiye huyo demu anayezungumziwa?
Wewe si hohehahe? Kama si hohehahe mbona unaliwaliwa ovyo?Mie ningekuwa -me- nisingekula mademu hohehahe namna hiyo! Oh no! Yaan had mchele uombe??[emoji119]! Mwanamke hutakikiw kuomba vitu minor kama hivyo jamani...utadharauriwa na kutweza na kufujwa had ushangae!
shekhee!!!,
hayo mengine yanatokea wapi??
wewe elewa mchele wa watu umesharudishwa.
Kumbe we wa kike?Na mchele wako upo vilevile sijautumia kwa taarifa yako.
Nimempigia boda boda aje achukue aurudishe kulaleki.
Wewe ni mwanamke?Ndo ukaamua uje unisema JF , hatuishi hivo ndugu yangu.
hakuna mazingira ya kujifurahisha hapa ndg yangu,ni hv,huyo jamaa alileta huo mchele kwa aliyekuwa mchumba wake wa zaman ambaye kwa sasa ni mchumba wangu.Umetumia nafsi ya kwanza, nikashtuka.
Kuna wakati tunakoment kujifurahisha, ila kuangalia mazingira ni muhimu.
acha dharau ndgKumbe we wa kike?
hakuna mazingira ya kujifurahisha hapa ndg yangu,ni hv,huyo jamaa alileta huo mchele kwa aliyekuwa mchumba wake wa zaman ambaye kwa sasa ni mchumba wangu.
nadhan umepata picha.
kwahiyo usiiendeleze story sasa,tusije kuibua mengine
wewe kausha tu kama umeelewa.
Na mchele wako upo vilevile sijautumia kwa taarifa yako.
Nimempigia boda boda aje achukue aurudishe kulaleki.
ndio maana nimekwambia wewe kausha,usije ukayaibua na mengineSoma hiyo post hapo chini theni uniambie ulikuwa unamuwakilisha mchumba wako au unajiwakilisha mwenyewe!
Kwenye thread anasema kwamba huyo demu walienda wote kupokea huo mchele, na ni hazijapita siku nyingi, kwa hiyo mchumba wako bado anagongwa na jamaa na wewe unajua?