Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Msema kweli mpenzi wa Mungu mimi vyombo naosha mara moja kwa siku. Labda nikiwa na wageni ndaniNikiingia ndani sehemu ikiwa untidy akili inashindwa kufanya kazi.
Kwasababu ya make up siwezi kurudia nguo lakini ninarelax si kuwa nikimaliza kula lazima nioshe vyombo hapana



