Nguo za ndani ndo nabadilisha kila siku,,jins utavaaje leo alafu ufue leo?au unajiharishiaga mkuu?![]()




Nguo za ndani ndo nabadilisha kila siku,,jins utavaaje leo alafu ufue leo?au unajiharishiaga mkuu?![]()




Kwanza hiyo kazi ya kufua kila siku anaiweza dobi peke yake,,,, usikute mtoa mada ni dobi




Nguo ya kitenge ufue kila unapovaa mbona utaichukia ndani ya muda mfupi sana, watakuja wadada hapa watakuambia wanafua mashuka kila baada ya siku mbili. Mtu naoga nalala nikiwa msafi nilalie shuka siku mbili inahu
Hahaaaahaaa!!!Hapa mwezi sijafua nakazi ya kurudia rudia nguo tu.... Nikiona inatishatisha naweka kwenye kitenga cha nguo chafu.... Maswala ya kujipa shida siwezi mimi
Au sio...Hizo ni sifa sasa jomba
Sasa kama natandika shuka hata wiki 2 halichafuki au linachafuka kidogo nifue lanini? Si litapauka?
Labda walale mamanzi wanne
Cha muhimu hapo mzee mama nenda kwa wazazi wako ukajilipie posa na mwishowe ujioe mwenyewe ili hasiwepo mtu wa kukusumbua.Kwa jinsi nilivyozea nikiwa bachelor nguo navaa Mara moja na nikivua hapo hapo nazifua japo nipo busy Mara nyingi lakini ni msafi 24 hours, nikila papuchi ghetto Demu akitoka hapo hapo nafua shuka!
Sasa sipati picha nikipata Mke mchafu ambae ana tabia ya kurundika nguo wiki nzima hadi zianze kunuka uvundo ndio azifue aisee!atachezea makofi daily
Usafi muhimu;ukishindwa kujipenda ukiwa kijana (18-45yrs) ...ukiwa mzee ndio tabu zaidi,unaweza kuhisi kiloba cha gunia kinatembea.
Nguo za ndani ndo nabadilisha kila siku,,jins utavaaje leo alafu ufue leo?au unajiharishiaga mkuu?![]()




😂😂😂 anajasho kali siyo??..Eti nivae jeans zangu na vitenge vyangu siku moja na kufua. Dhubutu yako.
Navaa jeans navua naikunja nahifadhi.
Nguo za vitenge ndiyo naweza fua baada ya kuvaa siku kama 5 tofauti ( sio mfululizo).
Nitandike shuka safi, nisex na bebi eti nilitoe nikafue kwani ananuka?
Nisiwe mnafki sifanyi hivyo. Top tuu ndo navaa Mara moja na kufua na nguo za ndani.
Wewe mkuu fua kila siku maana unafanya kazi zinazokuchafua na una jasho Kali.
Vipi wewe hauna jasho kali? Kuna wanawake wengine wakikaa siting room sebule nzima inanukia jasho lake...Eti nivae jeans zangu na vitenge vyangu siku moja na kufua. Dhubutu yako.
Navaa jeans navua naikunja nahifadhi.
Nguo za vitenge ndiyo naweza fua baada ya kuvaa siku kama 5 tofauti ( sio mfululizo).
Nitandike shuka safi, nisex na bebi eti nilitoe nikafue kwani ananuka?
Nisiwe mnafki sifanyi hivyo. Top tuu ndo navaa Mara moja na kufua na nguo za ndani.
Wewe mkuu fua kila siku maana unafanya kazi zinazokuchafua na una jasho Kali.
Wachaweee Safi SanaHakuna Siku imepita.mm sijafua nguo, labda niwe safarini, nikivua nguo kama nyeupe naloweka, naamka saa 11 nafua nafanya usafi ndo naenda kazini.
Sipendi kuona nguo chafu ndani.sipendi kuona chombo chochote kichafu ndani, sipendi nikanyage chini nisikie mchanga. Sipendi nifuliwe au nioshewe vyombo kila kitu napenda nijifanyie mwenyewe ndo moyo wangu unaridhika kiko safi.
Ni Mara chache unikute ndani sina kazi naishi mwenyewe ila nikogo busy Siku mzima.
Juzi mwaka mpya nimeenda kijijini kwa mama, nilikuta kisima kimejaa wanachota kwa jagi mpaka natoka Maji yalishashukamama anatania ness kaingia ni full kufua Siku mzima.
Watu aina yetu sometimes tunakuwa kero kwa wengine.maana unafuta vumbi hata sehemu ambayo kwa wengine sio lazima hilo vumbi litoke.
Sinaga muda wa kuuliza sijui nani kachafua hapa au kile nikikuta kichafu kiroho safi nasafisha .
Haya yote nilifundishwa na mama yangu nikiwa Mdogo ila funga kazi alikuwa Mme wa Mjomba alikuwa sijawahi ona dunia hii.
Mke wa Mjomba alinambia hata kama wa watu wana njaa kiasi gani kama sijamaliza usafi nisipike kitu chochotetill to day sijawahi kutana na mtu msafi kama mama success
![]()
