Sipendi mwanamke mchafu kabisa

Sipendi mwanamke mchafu kabisa

Eti nivae jeans zangu na vitenge vyangu siku moja na kufua. Dhubutu yako.
Navaa jeans navua naikunja nahifadhi.
Nguo za vitenge ndiyo naweza fua baada ya kuvaa siku kama 5 tofauti ( sio mfululizo).
Nitandike shuka safi, nisex na bebi eti nilitoe nikafue kwani ananuka?
Nisiwe mnafki sifanyi hivyo. Top tuu ndo navaa Mara moja na kufua na nguo za ndani.

Wewe mkuu fua kila siku maana unafanya kazi zinazokuchafua na una jasho Kali.
Kwa kusoma maandishi yako i can imagine how boring ur sex life is. Pia unakatabia ka uchafu kwa mbali
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu mimi vyombo naosha mara moja kwa siku. Labda nikiwa na wageni ndani
Hahaha!! unaosha kabla ya kula, wavivu wengi hufanya hivyo lakini moyoni wanajua kwamba si sawa vombo kukaa zaidi ya saa 1 vikiwa vichafu.. kama wewe unafanya na unaona ni sawa basi wewe ni mchafu sio mvivu
 
Naosha baada mkuu
 
Utapata mke mchafu na utazoea, lazima mtofautiane ili muishi.
 
Eti nivae jeans zangu na vitenge vyangu siku moja na kufua. Dhubutu yako.
Navaa jeans navua naikunja nahifadhi.
Nguo za vitenge ndiyo naweza fua baada ya kuvaa siku kama 5 tofauti ( sio mfululizo).
Nitandike shuka safi, nisex na bebi eti nilitoe nikafue kwani ananuka?
Nisiwe mnafki sifanyi hivyo. Top tuu ndo navaa Mara moja na kufua na nguo za ndani.

Wewe mkuu fua kila siku maana unafanya kazi zinazokuchafua na una jasho Kali.
aisee ww ni Mchafu hata mm huwa sirudii nguo kabisa bila kuifua
 
Kwa jinsi nilivyozea nikiwa bachelor nguo navaa Mara moja na nikivua hapo hapo nazifua japo nipo busy Mara nyingi lakini ni msafi 24 hours, nikila papuchi ghetto Demu akitoka hapo hapo nafua shuka!
Sasa sipati picha nikipata Mke mchafu ambae ana tabia ya kurundika nguo wiki nzima hadi zianze kunuka uvundo ndio azifue aisee!atachezea makofi daily
Au jamaa we ni kauka nikuvae?
 
Eti nivae jeans zangu na vitenge vyangu siku moja na kufua. Dhubutu yako.
Navaa jeans navua naikunja nahifadhi.
Nguo za vitenge ndiyo naweza fua baada ya kuvaa siku kama 5 tofauti ( sio mfululizo).
Nitandike shuka safi, nisex na bebi eti nilitoe nikafue kwani ananuka?
Nisiwe mnafki sifanyi hivyo. Top tuu ndo navaa Mara moja na kufua na nguo za ndani.

Wewe mkuu fua kila siku maana unafanya kazi zinazokuchafua na una jasho Kali.
Hapo kwenye shuka hapana labda kama hampigi show vizuri..ukikojozwa wakojolea nn weye?? Hahhahh
 
Hakuna kitu kama hicho
Kwajinsi tabia yako ilivyo ni vema ukapata mke mchafu kwani hapo mtakuwa sawa kuliko kupata mke msafi maaana anaweza kuwa msafi zaidi yako kisha ukajiona umchafu zaidi kwake kuliko unavyojidhania.
 
Hapo kwenye shuka hapana labda kama hampigi show vizuri..ukikojozwa wakojolea nn weye?? Hahhahh
Hayo mambo ya kukojozwa sijawahi kukutana nayo kabisa. Hivyo shuka huwa linabaki kama lilivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom