Sipendi mpenzi wangu akizama chumvini

Sipendi mpenzi wangu akizama chumvini

Wandugu wanaume,
Kitendo hiki kinasababisha kansa ya koo.
Huko kuna bacteria wa kulinda magonjwa ya huko.
Bakteria hao ndio wanaosababisha kansa ya
koo kwa mlaji.
Wengi wanaozoea mazoea hayo wanaishia kuugua na kufa kwa kansa ya koo.
Mwenye masikio na asikie.
Madhara yake hawatayaona sasa,lakini hata hivyo mioyo yao ni migumu kusikia,
 
Kwani anapo kuwa huko mgodi wa chumvi unanogewa au huno gewi?
 
Mwacheni aseme hisia zake wanaume msikalili mapenzi,kila mwanamke na vipaumbele vyake...ingwa wazamaji chumvini uwaga wanapenda sn hiyo tabia na unakuwa usipozama hisia zinapungua kdg ..ubaya wake sasa ndo hadi baamedi au malaya wakimboka utataka uzame chumvini...nina jamaa angu huyo hachagui...
Vitu vingine wala havina ulazima wa kuvifanya,ni kuiga tu na kwasababu mtu amezoea basi kuacha ni tabu sana,lakini yote hii ni kwa faida yake mtu Huyo lakini hilo haoni anaendelea,aiseee! Ni kazi kwelikweli.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
HPV ni moja ya magonjwa ya zinaa!!! Ata husipozama chumvini, ukigeeda bila kinga utaupata tu. Na yenyewe ni ngumu kuijua, unaweza kua nayo ata mwaka mzima bila kua na dalili yoyote, mara nyingi inaondoka yenyewe ila hisipoondoka inasababisa genital warts au cancer.
Kiufupi magonjwa yoyote ya zinaa yanaweza ambukizwa kwa kuzama chumvini/Kunyonya dudu... Ko haileti maana mjonyane huko alafu muishie kutumia condom!!!
Ila Hamna ugonjwa special unaotokana na hilo tendo
Sawa ndugu yangu,endelea kuamini hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Basi wasagaji wote wana cancer ya koo!
Hii ni moja kati ya njia zinazoweza kukusababishia cancer ya koo,na sio kwamba wooote wana cancer ya koo,tahadhari ni muhimu kuchukua kabla ya hatari,ni sababu hujawahi kushuhudia ndio maana,hivyo sishangai saana ukisema hivyo.
 
Reply za pg ya kwanza zote ni vichekesho tuu, Ila dada mm ninashaka unataka mwenzako azame huko MKURANGA A.K.A MTIBWA SUGAR, hapa umekuja kutuzunguka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom