Sipendi mpenzi wangu akizama chumvini

Sipendi mpenzi wangu akizama chumvini

Acha kuosha k ili iteme siku akizama anaktana na uono! Hatarudia tena lazma ataona kinyaa!
 
Mapenzi ni uchafu tupu na unajua sasa unaomba msaada gani kwetu? Kwani huko chumvini anaingia kwa mwingine ndio anakuja kwako?
 
picha hii hapa
HPV ni moja ya magonjwa ya zinaa!!! Ata husipozama chumvini, ukigeeda bila kinga utaupata tu. Na yenyewe ni ngumu kuijua, unaweza kua nayo ata mwaka mzima bila kua na dalili yoyote, mara nyingi inaondoka yenyewe ila hisipoondoka inasababisa genital warts au cancer.
Kiufupi magonjwa yoyote ya zinaa yanaweza ambukizwa kwa kuzama chumvini/Kunyonya dudu... Ko haileti maana mjonyane huko alafu muishie kutumia condom!!!
Ila Hamna ugonjwa special unaotokana na hilo tendo
 
Sawa Dada
 
Wandugu wanaume,
Kitendo hiki kinasababisha kansa ya koo.
Huko kuna bacteria wa kulinda magonjwa ya huko.
Bakteria hao ndio wanaosababisha kansa ya
koo kwa mlaji.
Wengi wanaozoea mazoea hayo wanaishia kuugua na kufa kwa kansa ya koo.
Mwenye masikio na asikie.
Basi wasagaji wote wana cancer ya koo!
 
Mpige blow job halafu mkiss na yeye akivumilia basi na wewe huna budi kujivumilia. Lake mtu halimtapishi walisema
 
nimejaribu kuelewa neno "iboro" tu.

na sijui kama inamaana hio pia!&[emoji2] [emoji2]

Hahhaa! Kifaransa hicho Ila mleta mada amenielewa maana ID yake inaendana na lugha hiyo
 
Kweli huu Ugojwa upo.Nina jirani yangu kafariki miaka miwili Iliyopita na Ugojwa wa kansa ya koo.
Sikatai kua kansa ya koo ipo!!! Ata ulaji wa viungo sana inasababisha kansa ya koo...
Kwani alikwambia alipata hiyo kamsa kwa kuzama chumvini?
 
Inamaana wahenga walituongopea waliposema ''lake mtu halimtapishi''....
Babu Asprin wewe ni muhenga pure,! Njoo uthibitishe ukweli wa kauli hiyo, uje na jopo lako la wahenga

Haha "lake mtu halimtapishi
" nimeipenda hii
 
Kweli usimkubalie aise, iweje kazi ya mboo aifanyishe ulimi bwana?!
 
Wadau naomba msaada,

Kiukweli sipendi mpenzi wangu akizama chumvini, sababu kuu ni kuwa akishazama anataka anikiss mdomoni. Aisee najisikia vibaya, kuna wakati nilimwambia sipendi ikawa ugomvi mpaka akakata mawasilino, nikamwomba msamaha ili kujua shida ni nini? Akaniambia nambania kuzama, yaani kuzama ndio ugonjwa wake.

Nakerwa na hii hali wanajamii forum naomba msaada wa mawazo, nifanyeje ili aache.

Uwe unamuwekea pilipili kwenye papuchi
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Similar Discussions

Back
Top Bottom