BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Kwani Dar kuna nini cha ajabu mbona watu wanaishi maisha ya tabu kuliko hata mikoani au ndo ule ushamba wa kitoto. Mikoani hakuna foleni, hakuna shida ya maji, hakuna joto, hakuna kubanana hata kama ni kutembea unatembea freely kama samaki ndani ya bahari. What else will you be looking for?
mkuu ni mnyamahanga siyo mnyamahaga
halafu huwa wana kaharufu fulani hivi, utajua tu huyu wa mkoa! ila akishaogea maji bahari mpe mwezi tu, na ye atakwambia kitovu chake kilizikwa karimjee grounds!! hebu nipite mie!
Utasikia naenda au nahamia 'mkoani' ivi ni wapi huko?! Hii dharau inatokana na nini?
Dar sio mkoa?
Kama ishu ni jiji, mbona hata mkiwa mnaenda Tanga, Mwanza na Arusha mnasema mkoani?!
Hii dharau huwa siipendi kabisa. Ntakuja ua mtu.
Mnaojidai mpo dar, mbona ni aibu mgeni wako akitoka nje? Tusiende mbali, Mgeni kapandia ndege Jomo Kenyata Airport, akatua JKA.
Ivi bado utajidai upo dar mbele yake?
Mpo dar lakini hamuogi siku tatu, mijasho kila sehemu? Ivi utamu wa mkoa wa dar uko wapi?
Utasikia naenda au nahamia 'mkoani' ivi ni wapi huko?! Hii dharau inatokana na nini?
Dar sio mkoa?
Kama ishu ni jiji, mbona hata mkiwa mnaenda Tanga, Mwanza na Arusha mnasema mkoani?!
Hii dharau huwa siipendi kabisa. Ntakuja ua mtu.
halafu huwa wana kaharufu fulani hivi, utajua tu huyu wa mkoa! ila akishaogea maji bahari mpe mwezi tu, na ye atakwambia kitovu chake kilizikwa karimjee grounds!! hebu nipite mie!
kama mtu ni wa mkoa ni wa mkoa tu...huku Dar watu hawaendeshi punda kama usafiri na wala hatushangai mabugando....
Tafadhali chunga maneno yako na uombe msamaha kila mtu ana uhuru wa kufanya chochote ili mradi asivunje sheria! Kupanda punda ni utashi wa mtu na huamuzi! Tafadhali waombe msamaha wateja wangu!
Mie sipendi hasa wakazi wa Lindi Mtwara, Ruvuma huwa hawataki kutaja mkoa anaotoka utasikia natokea kusini huko. Hiyo sentensi imefanya hata watu wengi saas wanatumia utasikia watu wa kusini, kweli nachukia sana huo usemi, kwa nini usitaje mkoa rasmi au wilaya unajumuisha tuu eti kusini kwa nini?
halafu huwa wana kaharufu fulani hivi, utajua tu huyu wa mkoa! ila akishaogea maji bahari mpe mwezi tu, na ye atakwambia kitovu chake kilizikwa karimjee grounds!! hebu nipite mie!