Sipendi kabisa mwanamke anayesuka

Sipendi kabisa mwanamke anayesuka

hahaaa,hapana mkuu STUNTER...ila napenda saana nikimuona mwanamke ana nywele fupifupi.
Una option mbili hapo za kutafuta amani yako:
1. Umshawishi kwa upole huyo mchumba akuelewe kwamba hupendelei nywele ndefu na utajivunia sana akifuata ushauri wako wa kuwa na mtindo wa nywele fupi ( kimsingi hata mimi napenda nywele fupi zinarahisisha maisha na zinafanya mtu aonekane kijana zaidi, hata mume wangu anapenda hivyo na anafurahi sana nikinyoa)
2. Kama hakuelewi na hamjafikia hatua za kufunga maagano ya ndoa, unaweza kutafuta mwanamke mwenye ladha zako na ambaye atakuwa tayari kufuata unachohitaji na bado na yeye akajisikia furaha.
All the best mkuu, usisahau kuleta mrejesho.
 
Ndiyo matatizo ya baadhi ya wanaume. Ulimpenda wakati anasuka na kuamua kumtongoza akakubalia. Sasa umempata mdada mnayeendana unaleta mambo yako yako ya uchwara uchwara eti hupendi asuke! Kesho utakuja na kingine sipendi uvae gauni fupi. Acha hizo tabia za uchwara uchwara Mkuu ili uenjoy penzi na mpenzi wako.

Habarini za asubuhi wanajukwaa pendwa la MMU.

Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika,baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila kumpata mwanamke tunayeendana naye, hatimaye nimebahatika kumpata mdada mmoja hivi wa kibosho...kwa hakika namuelewa saaana nami ananielewa haswaaa....ila shida iliyopo ni kwamba mimi binafsi sipendi kabisa mwanamke anaye suka..

Napenda sana mwanamke anayenyoa kawaida,na kipindi namtokea nilimkuta anasuka, bali niliamini kuwa naweza kumbadilisha.....hivi karibuni nmemgusia suala la kuacha mara moja suala la kusuka na hatimaye aanze kunyoa, tumegombana saaana.Mpaka muda huu, hali bado sio shwariii baina yetu...

Naombeni mnishauri jamani, nitumie mbinu zipi za kumuelewesha aweze kuacha kusuka bila kuathiri mahusiano yetu? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote

NB: Sisi ni wachumba...hatujaoana bado
 
Ndo maana tunasemaga duniani hakuna mtu mbaya.
mimi ukiniuliza nitakwambia mwanamke ni nywele.
kumbe wengine wanapenda upara,
basi acha Mungu aitwe Mungu kila mtu
kampangia wa kwake.
 
Lakini kusuka ni gharama.
isije ikawa ni ule msemo wa ''Nyumbani kwangu watoto wanapenda maharage"
kumbe fedha ya kuwafanyia majaribio ya mboga nyingine ni mgogoro.
 
Habarini za asubuhi wanajukwaa pendwa la MMU.

Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika,baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila kumpata mwanamke tunayeendana naye, hatimaye nimebahatika kumpata mdada mmoja hivi wa kibosho...kwa hakika namuelewa saaana nami ananielewa haswaaa....ila shida iliyopo ni kwamba mimi binafsi sipendi kabisa mwanamke anaye suka..

Napenda sana mwanamke anayenyoa kawaida,na kipindi namtokea nilimkuta anasuka, bali niliamini kuwa naweza kumbadilisha.....hivi karibuni nmemgusia suala la kuacha mara moja suala la kusuka na hatimaye aanze kunyoa, tumegombana saaana.Mpaka muda huu, hali bado sio shwariii baina yetu...

Naombeni mnishauri jamani, nitumie mbinu zipi za kumuelewesha aweze kuacha kusuka bila kuathiri mahusiano yetu? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote

NB: Sisi ni wachumba...hatujaoana bado
Una option mbili hapo za kutafuta amani yako:
1. Umshawishi kwa upole huyo mchumba akuelewe kwamba hupendelei nywele ndefu na utajivunia sana akifuata ushauri wako wa kuwa na mtindo wa nywele fupi ( kimsingi hata mimi napenda nywele fupi zinarahisisha maisha na zinafanya mtu aonekane kijana zaidi, hata mume wangu anapenda hivyo na anafurahi sana nikinyoa)
2. Kama hakuelewi na hamjafikia hatua za kufunga maagano ya ndoa, unaweza kutafuta mwanamke mwenye ladha zako na ambaye atakuwa tayari kufuata unachohitaji na bado na yeye akajisikia furaha.
All the best mkuu, usisahau kuleta mrejesho.
 
Nahisi utakua unatokea makabila ya kaskazini kama sivyo basi kabila moja hv la nyanda za juu kusini, watu wake ni wafupi sana na wana hela za manyoka
Hahaaaaa umenichekesha kuna mmoja ni adunje hafu anajifanya mjuaji.
 
shame on u. hivi mtu utaanzaje kunambia ninyoe nywele zangu? nazitunza kwa garama kubwa sivai mawiving wala kuyasuka mwanaume aseme hataki nywele zangu? nimesikitika sana. pole yake bi dada
Kwa kweli wanaume wengine ni jipu yani na akili zake eti anakwambia unyoe eti hapendi yeye akiwa ka nani? Mi nitanyoa nikiamua sio kushurutishwa na mwanaume eti hapendi, kwanza wengine ni ubahili tu wa hela ya saloon.
 
Kuna mama ashawah niambie mumewe alianza kumwambia ukinyoa unapendeza Sana wife basi akanyoa mwenyewe anazitia black mafuta zinawaka end of the day anakuja gundua mumewe anatoka na mdada wa Saloon aliyokuwa Mara zote akienda na huyo Dada ananywele nzuri tu ndefu akamwambia mumewe kumbe ulkuwa unataka kuwa na sample mbili mwenye nywele na anaenyoa
Wanaume wengi huwadaganya wake zao ila nje anaenda kutafta mwanamke aliyekuzidi vtu ambavyo huna, ndo maana mwanamke inabidi kufanya mambo ndani ya uwezo wako na sio kumpendezesha mumeo hawa huwa hawaridhiki.
 
Wewe ni control freak tu.Kusuka asuke yeye wewe ukereke?Acha kugeuza mwanamke ni commodity.Akisema na yeye hapendi mwanaume anayenyoa nywele bali anayesuka?Utasuka?
Kwel umempatia aje apa ajibu kama dem akimwambia asuke atakubal au atakataa
 
Ndiyo matatizo ya baadhi ya wanaume. Ulimpenda wakati anasuka na kuamua kumtongoza akakubalia. Sasa umempata mdada mnayeendana unaleta mambo yako yako ya uchwara uchwara eti hupendi asuke! Kesho utakuja na kingine sipendi uvae gauni fupi. Acha hizo tabia za uchwara uchwara Mkuu ili uenjoy penzi na mpenzi wako.
Bora umemwambia huyu mwanaume mchwara sasa hapo kamchoka anamtaftia sababu tu either ya Ku justify kuchepuka
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Alimpenda wakati anasuka sasa analeta za kuleta ambazo hazihusu kitu. Wanaume wengine wanastaajabisha sana. Sasa mpenzi wako akisuka wewe inakuathiri vipi kwenye penzi lenu? Eti anataka anyoe!!! si kila mwanamke anayependa kuwa na nywele fupi.

Bora umemwambia huyu mwanaume mchwara sasa hapo kamchoka anamtaftia sababu tu either ya Ku justify kuchepuka
 
Habarini za asubuhi wanajukwaa pendwa la MMU.

Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika,baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila kumpata mwanamke tunayeendana naye, hatimaye nimebahatika kumpata mdada mmoja hivi wa kibosho...kwa hakika namuelewa saaana nami ananielewa haswaaa....ila shida iliyopo ni kwamba mimi binafsi sipendi kabisa mwanamke anaye suka..

Napenda sana mwanamke anayenyoa kawaida,na kipindi namtokea nilimkuta anasuka, bali niliamini kuwa naweza kumbadilisha.....hivi karibuni nmemgusia suala la kuacha mara moja suala la kusuka na hatimaye aanze kunyoa, tumegombana saaana.Mpaka muda huu, hali bado sio shwariii baina yetu...

Naombeni mnishauri jamani, nitumie mbinu zipi za kumuelewesha aweze kuacha kusuka bila kuathiri mahusiano yetu? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote

NB: Sisi ni wachumba...hatujaoana bado
Habarini za asubuhi wanajukwaa pendwa la MMU.

Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika,baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila kumpata mwanamke tunayeendana naye, hatimaye nimebahatika kumpata mdada mmoja hivi wa kibosho...kwa hakika namuelewa saaana nami ananielewa haswaaa....ila shida iliyopo ni kwamba mimi binafsi sipendi kabisa mwanamke anaye suka..

Napenda sana mwanamke anayenyoa kawaida,na kipindi namtokea nilimkuta anasuka, bali niliamini kuwa naweza kumbadilisha.....hivi karibuni nmemgusia suala la kuacha mara moja suala la kusuka na hatimaye aanze kunyoa, tumegombana saaana.Mpaka muda huu, hali bado sio shwariii baina yetu...

Naombeni mnishauri jamani, nitumie mbinu zipi za kumuelewesha aweze kuacha kusuka bila kuathiri mahusiano yetu? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote

NB: Sisi ni wachumba...hatujaoana bado
nilitegemea ntambadili mkuu
 
Alimpenda wakati anasuka sasa analeta za kuleta ambazo hazihusu kitu. Wanaume wengine wanastaajabisha sana. Sasa mpenzi wako akisuka wewe inakuathiri vipi kwenye penzi lenu? Eti anataka anyoe!!! si kila mwanamke anayependa kuwa na nywele fupi.
Wanaume huwa hawaeleweki wanataka nini basi akishakupata anataka aku control ka remote kwa nature wanawake wengi hupenda kusuka sasa kumpangia inahuuuu....
Na huwa nashangaa nywele zake kusuka sijui zinamnyima usingizi au pumzi sielewi kwa kweli. Mbaya unakuta anaenda kutafta mchepuko unaisuka kiukweli wanawake wanaowasikiliza wanaume huishiwa kuharibikiwa Mara michina, mikorogo makalio feki.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Habarini za asubuhi wanajukwaa pendwa la MMU.

Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika,baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila kumpata mwanamke tunayeendana naye, hatimaye nimebahatika kumpata mdada mmoja hivi wa kibosho...kwa hakika namuelewa saaana nami ananielewa haswaaa....ila shida iliyopo ni kwamba mimi binafsi sipendi kabisa mwanamke anaye suka..

Napenda sana mwanamke anayenyoa kawaida,na kipindi namtokea nilimkuta anasuka, bali niliamini kuwa naweza kumbadilisha.....hivi karibuni nmemgusia suala la kuacha mara moja suala la kusuka na hatimaye aanze kunyoa, tumegombana saaana.Mpaka muda huu, hali bado sio shwariii baina yetu...

Naombeni mnishauri jamani, nitumie mbinu zipi za kumuelewesha aweze kuacha kusuka bila kuathiri mahusiano yetu? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote

NB: Sisi ni wachumba...hatujaoana bado
Kwani mkuu wewe ni msabato??? ( samahani lakini)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom