Sipendi kabisa mwanamke anayesuka

Sipendi kabisa mwanamke anayesuka

shame on u. hivi mtu utaanzaje kunambia ninyoe nywele zangu? nazitunza kwa garama kubwa sivai mawiving wala kuyasuka mwanaume aseme hataki nywele zangu? nimesikitika sana. pole yake bi dada
Nywele zenyewe hizi za kiafrica zinamea 1 inch kwa mwaka zishafika shoulder length halafu mtu aniniambia ninyoe!
 
Wewe ni control freak tu.Kusuka asuke yeye wewe ukereke?Acha kugeuza mwanamke ni commodity.Akisema na yeye hapendi mwanaume anayenyoa nywele bali anayesuka?Utasuka?
like like like like like
 
hapo ndipo wanaume huniacha hoi, anakukuta umetinga suruali tena ya jeans anakutongoza baada ya kuanza mahusiano eti ooh sipendi uvae suruali, kwani wavaa sketi na magauni hukuwaona? huwa nawashangaa sana, na hizo ni tabia za kibabe kwa mwanamke na wengi wao ndo wale wanaopiga wenza wao. Badilika, kuna member mmoja hapo kakuuliza na yeye akikwambia anapenda wanaume wanaosuka, utasuka?
 
b0d3de453276400a960bec5fbd5c117c.jpg
146f9c72eab6bdab3694c486c79019bc.jpg
804d577014c4443ccfff8400a3a9665e.jpg
 
hapo ndipo wanaume huniacha hoi, anakukuta umetinga suruali tena ya jeans anakutongoza baada ya kuanza mahusiano eti ooh sipendi uvae suruali, kwani wavaa sketi na magauni hukuwaona? huwa nawashangaa sana, na hizo ni tabia za kibabe kwa mwanamke na wengi wao ndo wale wanaopiga wenza wao. Badilika, kuna member mmoja hapo kakuuliza na yeye akikwambia anapenda wanaume wanaosuka, utasuka?
Tuheshimiane mkuu
 
Tukushauri nn sasa?maana hapo una matatizo mawili moja umepata mwanamke mchaga na jingine kusuka?be specific
 
umesema kunyoa dhambi et!!!!!!
Kunyoa sio sahihi kwa mwanamke kwa kuwa fahari ya mwanamke ni nywele. Kwa mwanamke anayenyoa, inatakiwa afunike kichwa chake kwa kuwa huonekana kituko pale anapokuwa amenyoa kama mwanaume. Angalia mifano kwa jamii tunayoishi, mwanamke anapokuwa hana nywele ndefu anachukuliwa vipi. Anaheshimiwa kama wengine? Nini kinamfanya aonekane tofauti na mwanaume zaidi ya maumbile? Anakuwa na mvuto sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom