rickb
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 293
- 149
Wewe ni control freak tu.Kusuka asuke yeye wewe ukereke?Acha kugeuza mwanamke ni commodity.Akisema na yeye hapendi mwanaume anayenyoa nywele bali anayesuka?Utasuka?

Wewe ni control freak tu.Kusuka asuke yeye wewe ukereke?Acha kugeuza mwanamke ni commodity.Akisema na yeye hapendi mwanaume anayenyoa nywele bali anayesuka?Utasuka?

Duuuuh mimi sipend kabisa mawigi, tena mengine yapo kama helmets

Huwez jua inawezekana yy pia kuna kitu hakipendi kwako kavumilia tu moyo machine , myb una kibamia, mfano tu huo...

una dhambi sana mkuuHuyu atakua mlokole wa safina arushaKwani mkuu wewe ni msabato??? ( samahani lakini)![]()
![]()
karudie kusoma vizuri (wakorinto 11:13)acha kusema uongo.Wewe itakua unakwepa gharama za saloon. Japo mimi ni mwanaume, natambua kwamba ni dhambi mwanamke kunyoa. Na akinyoa afunge kichwa na asitoke nyumbani. Sorry lakin, sio maneno yangu.
Watu wanafanya ukameruni utawajua tu. Ishu ya kisuka na ukameruni wapi na wapiDunia sasa inaelekea kubaya... Hivi sasa mmeanza kupendea nywele??
Wenzako wanakuambia mwanamke nywele, Kijana angalia sana usije ukaanza kutamani wanaume wenzio.
Sote tusimame kumwombea mleta mada asiingie kwenye ukameruni
Sukia kabisa brazilian hair...Watu wanafanya ukameruni utawajua tu. Ishu ya kisuka na ukameruni wapi na wapi
Mimi sipendi mawigi nnapenda nywele live.Habarini za asubuhi wanajukwaa pendwa la MMU.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika,baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila kumpata mwanamke tunayeendana naye, hatimaye nimebahatika kumpata mdada mmoja hivi wa kibosho...kwa hakika namuelewa saaana nami ananielewa haswaaa....ila shida iliyopo ni kwamba mimi binafsi sipendi kabisa mwanamke anaye suka..
Napenda sana mwanamke anayenyoa kawaida,na kipindi namtokea nilimkuta anasuka, bali niliamini kuwa naweza kumbadilisha.....hivi karibuni nmemgusia suala la kuacha mara moja suala la kusuka na hatimaye aanze kunyoa, tumegombana saaana.Mpaka muda huu, hali bado sio shwariii baina yetu...
Naombeni mnishauri jamani, nitumie mbinu zipi za kumuelewesha aweze kuacha kusuka bila kuathiri mahusiano yetu? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote
NB: Sisi ni wachumba...hatujaoana bado
mmmh! mwanamke aisyesuka kwangu simpend kabisa napenda awe na nywere za asilia sio kuvaa mawig sijui na mawiving, ukitaka ambao hawasuki oa wasabatoHabarini za asubuhi wanajukwaa pendwa la MMU.