TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,301
Kimbia SDA chapu kule wapo wakutosha maana hawaruhusiwi kusuka

vumilia chifu ukisema ubadilishe utabadili wangapi ndgu yang vumilia kama kweli unampenda najua utambadilisha pole pole mana si unajua ndgu zetu inatakiwa tuishi nao kwa hekima kubwa na kumtanguliza mungu hope nimeeleweka chifu..Si ndio zinawafanya mnabwaga chozi humu kila uchao?..Wacha Ubahili, Unaogopa Kuombwa Hela ya Saloon?
Uwwwiii..!Mkuu wewe ni kama mimi.
Mwanamke akiwa simple..nywele fupi kama namba 1 au kama zipo nyingi basi azifunge kwa nyuma kikorea fulani hivi na ziwe safiii.
Aseeh hapo chochote anachukua kwangu
Hahahaha.....kichwa vinakuwa vikubwa...Duuuuh mimi sipend kabisa mawigi, tena mengine yapo kama helmets
Teh he he hehh.... Umbadili mtu hata mahari hujatoa. Unachekesha.nilitegemea ntambadili mkuu
Kwanza kwanini umeoa kibosho?Habarini za asubuhi wanajukwaa pendwa la MMU.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika,baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila kumpata mwanamke tunayeendana naye, hatimaye nimebahatika kumpata mdada mmoja hivi wa kibosho...kwa hakika namuelewa saaana nami ananielewa haswaaa....ila shida iliyopo ni kwamba mimi binafsi sipendi kabisa mwanamke anaye suka..
Napenda sana mwanamke anayenyoa kawaida,na kipindi namtokea nilimkuta anasuka, bali niliamini kuwa naweza kumbadilisha.....hivi karibuni nmemgusia suala la kuacha mara moja suala la kusuka na hatimaye aanze kunyoa, tumegombana saaana.Mpaka muda huu, hali bado sio shwariii baina yetu...
Naombeni mnishauri jamani, nitumie mbinu zipi za kumuelewesha aweze kuacha kusuka bila kuathiri mahusiano yetu? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote
NB: Sisi ni wachumba...hatujaoana bado
Kuna mama ashawah niambie mumewe alianza kumwambia ukinyoa unapendeza Sana wife basi akanyoa mwenyewe anazitia black mafuta zinawaka end of the day anakuja gundua mumewe anatoka na mdada wa Saloon aliyokuwa Mara zote akienda na huyo Dada ananywele nzuri tu ndefu akamwambia mumewe kumbe ulkuwa unataka kuwa na sample mbili mwenye nywele na anaenyoaSiku ananyoa hzo nywele afu jamaa anachepuka na aliesuka...wanaume hawana jema jmn,..nakuheshimu ila kuna vitu ni noo yanii,mwanamke anaenjoy na nywele yake we unataka akate ili iweje,umemkuta nazo,fanya ishu zngne
Habarini za asubuhi wanajukwaa pendwa la MMU.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika,baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila kumpata mwanamke tunayeendana naye, hatimaye nimebahatika kumpata mdada mmoja hivi wa kibosho...kwa hakika namuelewa saaana nami ananielewa haswaaa....ila shida iliyopo ni kwamba mimi binafsi sipendi kabisa mwanamke anaye suka..
Napenda sana mwanamke anayenyoa kawaida,na kipindi namtokea nilimkuta anasuka, bali niliamini kuwa naweza kumbadilisha.....hivi karibuni nmemgusia suala la kuacha mara moja suala la kusuka na hatimaye aanze kunyoa, tumegombana saaana.Mpaka muda huu, hali bado sio shwariii baina yetu...
Naombeni mnishauri jamani, nitumie mbinu zipi za kumuelewesha aweze kuacha kusuka bila kuathiri mahusiano yetu? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote
NB: Sisi ni wachumba...hatujaoana bado
Duuuh,nywele zenyewe za kibongo tunavozikuza kwa mbinde hivii,piga picha nywele yako iko mgongoni tiari afu mtu anasema ukatee chaa am solee baba watoto... Hadi nizikuze tena ni leoo?Kuna mama ashawah niambie mumewe alianza kumwambia ukinyoa unapendeza Sana wife basi akanyoa mwenyewe anazitia black mafuta zinawaka end of the day anakuja gundua mumewe anatoka na mdada wa Saloon aliyokuwa Mara zote akienda na huyo Dada ananywele nzuri tu ndefu akamwambia mumewe kumbe ulkuwa unataka kuwa na sample mbili mwenye nywele na anaenyoa
Wanawake wa kisabato wananivutia kweli....wasafi na nywele zao ni fupi....huwa nawapenda sana.
Mkuu wewe ni kama mimi.
Mwanamke akiwa simple..nywele fupi kama namba 1 au kama zipo nyingi basi azifunge kwa nyuma kikorea fulani hivi na ziwe safiii.
Aseeh hapo chochote anachukua kwangu
napenda sana wanawake wa hivi..View attachment 429778View attachment 429779 kama hawa sio?
Mbona kuguna mkuu?Mmmmh jamani!!