Sipendi kabisa mwanamke anayesuka

Sipendi kabisa mwanamke anayesuka

Kama ananywele zake za asili wacha asuke au ziwe ndefu abane kawaida tu na akitaka kunyoa anyoe kwa mapenz yake binafsi pia lugha nzuri kumwambia naamini ataelewa.

Vitu vingne pia muwe mnafanya kwa vitendo huwa tunawaelewa zaidi nunua mafuta mazuri ya nywele natural mpeleke afu unaanza kumwambia daaaa haya mafuta nimeambiwa hivi na vile vp hujapenda ukifanya nywele you will look so cute ever kwanin asielewe hapo kalalia kifua sio kuongeaaa mpka mtu anune Kwanin sasa
Shukrani saana kwa ushaur wako Barbra
 
Jombaa achana na hio biashara kabisa, kumbadili mwanamke ni kujitegenezea bomu and unakuwa controlla bila ww kujijua. Siku akianza kukuchoka ma tabia yako ya kumuamulia nini afanye nini asifanye gemu itakuwa ngumu. Watch out!!!
Shukrani kwa ushaur mkuu
 
Katafute wale majike dume,kama CHEMICAL.......hawasukagi hawa,hupendi anae suka sasa sijui huyo ulimtafuta wa nn
 
Habarini za asubuhi wanajukwaa pendwa la MMU.

Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika,baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila kumpata mwanamke tunayeendana naye, hatimaye nimebahatika kumpata mdada mmoja hivi wa kibosho...kwa hakika namuelewa saaana nami ananielewa haswaaa....ila shida iliyopo ni kwamba mimi binafsi sipendi kabisa mwanamke anaye suka..

Napenda sana mwanamke anayenyoa kawaida,na kipindi namtokea nilimkuta anasuka, bali niliamini kuwa naweza kumbadilisha.....hivi karibuni nmemgusia suala la kuacha mara moja suala la kusuka na hatimaye aanze kunyoa, tumegombana saaana.Mpaka muda huu, hali bado sio shwariii baina yetu...

Naombeni mnishauri jamani, nitumie mbinu zipi za kumuelewesha aweze kuacha kusuka bila kuathiri mahusiano yetu? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote

NB: Sisi ni wachumba...hatujaoana bado
Nahisi utakua unatokea makabila ya kaskazini kama sivyo basi kabila moja hv la nyanda za juu kusini, watu wake ni wafupi sana na wana hela za manyoka
 
Sipendi mwanamke yeyote anayeweka nyweli bandia kichwani,napenda mwanamke mwenye nywelule zake tu,ziwe nzuri na safi anazoweza kuosha kila akioga....kuna watu jua likiwaka kichwa kinawasha moto kwa harufu ya manywele bandia
Hao ni tatizo lingine
 
Napenda sana mwanamke mwenye nywele ndefu
 
Inaonekana una chembechembe za kisabato moyoni mwako sio bure kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom