ata mm npo upande wako mkuu, n swala la interest tu. sema waungwana wanashindwa kuelewa. na nafkr hzo n facts ambazo znaweza kutumika kumpata yule umeumbiwa., kuna wengne wanavutiwa na makalio, wengne matit and so on. mm bnafs napenda sana asie na mambo meng, urembo wake zaid ujengwe kwenye mavaz kuliko makeup, unamkuta mtu kajchora uson kawa kama simbilisi jicho la kushoto wanja wa blue la kulia wanja mwekundu, alafu umeptiliza adi shavun wenyewe wanaita sina mume aisee m hapana., ua najhs ata kutapka. na ata nywele mtindo wa afro ua unawapendeza zaid kuliko kuvaa hayo manywele yao bandia..
sema kuhusu inshu yako nenda nae taratbu kama anakupenda kwel ata kuelewa tu. mwanamke mwenye mapenz ya dhat kwako, yaan yule anae kupenda kwel, ua yuko teyar kufanya kila kitu kwa ajili yako ata kuhatarsha maisha yake wakat flan. so swala kama hlo kwake sio big issue just take time and use romantic language