Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Kweli kaka,Sina cha kusema juu ya hili sababu yote umenena Mkuu.
pole sana Saint Ivuga ndio wana waadamu tulivo
Marry me basi cute
Yameshakuwa haya...
Friendship with benefits...lol!!
Nope, huyu anataka ndoa kabisa.
Nope, huyu anataka ndoa kabisa.
ur rite kipipi!
Mwenzangu......mishowe nitaogopa hata kuonana na wewe shosti langu la ukee'eh! lol
Hahahah....... sobhuza!!
Mi mwenzio nimeobserve tofauti ya uzito wa neno lenyewe!!
"Marry me basi cute" Vs "Baby will you marry me please...."!!
Mwenzangu......mishowe nitaogopa hata kuonana na wewe shosti langu la ukee'eh! lol
Saint Ivuga1+3=3+1
Kuna utofauti hapo?????? Acha kunipeperushia mke wangu wa future.