Sipati picha speed hii Ingekuwa hapa bongo

Sipati picha speed hii Ingekuwa hapa bongo

Msiwe mnashare vitu msivovijua, hiyo speed ilifikiwa ikiwa ni katika JARIBIO, siyo kwamba ndiyo speed ya internet hapo NASA!! Wanasayansi walishafanya utafiti wa speed mpaka ya 1TB/s na ikafanikiwa!
 
Embu acha uongo sekunde moja udownload movie 90??
Wamekwambia 1 second 91mb
1 movie ni 700 mb au 1.3gb
May be ndani ya sekunde 9 ndio unaweza pata movie moja.
So ndani ya dkk ni kama.movie 10 za 1gb hv.
But kama kwa 1 sec 91 gb hapo ndio balaa ni movie 90 ndani ya sec moja.
 
Ile ni speed sio size...bundle la 10GB inamaanisha unauwezo wa ku download files zenye ukubwa wa 10GB ila speed inaweza kua 1-100Mbps ambayo ki uhalisia ktk ku download ikimaanisha 100Mb kwa sekunde moja...ss imagine 91Gbps...io ni sawa na 91,000Mbps....so km uta download kitu cha 1gb regardless ya bundle lako b4 haijafika sekunde kitakua kishamaliza ku download
Kumbe! Basi unaweza download kila kitu kilichopo kwenye internet maana ni mwendo wa microseconds tu.
 
9fb31ced158d5b1c3ad5b128da55c315.jpg
Aiseeee
 
halafu wakarudi kutumia 2.4MB per sec?
Bado hiyo tech haijawa available kwa matumizi ya world wide web, na hata hayo majaribio walifanya transfer ya files site to site kupitia network ya Energy Science (ESnet), siyo WWW! Kwa lugha ya mtaani ni kwamba, treni ya mwendo wa 10000km/h inafanyiwa utafiti kwenye reli isiyo ya public, kwahiyo both the train and the rail hazijawa bado compatible na mfumo wa sasa wa usafiri wa jumuiya, halafu unauliza; "halafu bado wanakwenda kazini kwa treni za kawaida?!!"
 
Hiyo ni kwa ajili ya kazi zao kwa sababu hao ni watu wa masuala ya mambo ya universe kwa ujumla na pia utakuta bado kuna changamoto zake, wanatamani hata speed iongezwe kidogo!
 
hapo sidhan kama sekunde itaisha

dakika ina sec 60
kila sek unapakua 91GB
Dakika utakua umepakua muvi yenye ukubwa wa

5460GB

sawa na MEGABYTES(MB)
5460000

kitanzania MB 1000(1Gb) ni swa na sh elfu moja
je MB 5460000 ITAKUA SH. NGAPI?

1000X5460000=?

hizo zote ukung'ute kwa dakika.

ndukiiiii
Mkuu umekosea ungetakiwa uigawanye kwanza 1000 ambayo ndio sawa sawa na gb moja kisha uizidishe kwa gharama
 
Msiwe mnashare vitu msivovijua, hiyo speed ilifikiwa ikiwa ni katika JARIBIO, siyo kwamba ndiyo speed ya internet hapo NASA!! Wanasayansi walishafanya utafiti wa speed mpaka ya 1TB/s na ikafanikiwa!
Najua vizur tu kwamba walifanya Jaribio Since 2014
so nimeshare kama prank tu Ila kama umetake serious pole.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom