Sipati picha speed hii Ingekuwa hapa bongo

Kabla hujamalizia kuclick vizuri tayari imeshakula bando lako gb zisizopungua 91!![emoji30][emoji30][emoji30]......... mimi gb 10 huwa simalizi kwa mwezi, eti gb zangu za kutumia miezi tisa ndo akina fulani kule nasa wanatumia kwa sekunde moja!![emoji32][emoji32][emoji32]
 
Ile ni speed sio size...bundle la 10GB inamaanisha unauwezo wa ku download files zenye ukubwa wa 10GB ila speed inaweza kua 1-100Mbps ambayo ki uhalisia ktk ku download ikimaanisha 100Mb kwa sekunde moja...ss imagine 91Gbps...io ni sawa na 91,000Mbps....so km uta download kitu cha 1gb regardless ya bundle lako b4 haijafika sekunde kitakua kishamaliza ku download
 
Wenyewe wana wasiliana na AGENTS zao walioko anga la juu kabisa yaani * from other planets like mars., and moon (mwezini)*
 
Ile ni speed sio size...bundle la 10GB inamaanisha unauwezo wa ku download files zenye ukubwa wa 10GB ila speed inaweza kua 1-100Mbps ambayo ki uhalisia ktk ku download ikimaanisha 100Mb kwa sekunde moja...ss imagine 91Gbps...io ni sawa na 91,000Mbps....so km uta download kitu cha 1gb regardless ya bundle lako b4 haijafika sekunde kitakua kishamaliza ku download
Sasa mkuu kama speed ni gb 91 per second ina maana nikidownload lets assume kitu chenye gb 91 je nitatumia gb ngapi kudownload hicho kitu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom