Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,806
Yani movi ya 1.2GB unakapua unakuta isha ishaa kudanilodikwa hiyo ni ndani ya sekunde ngapi

Yani movi ya 1.2GB unakapua unakuta isha ishaa kudanilodikwa hiyo ni ndani ya sekunde ngapi

Hiyo ni NASA tu mkuu. Marekani, hasa sehemu za rural, spidi bado ipo chini sana. Internet providers, hasa kampuni za cable, wanaahidi wasichoweza kutimiza.
FasterYani movi ya 1.2GB unakapua unakuta isha ishaa kudanilodi![]()
![]()
![]()
Ni shida aseeYaani ukiclick tu kitu na box.
Pole mimi au pole wewe? Hata heading tu ilionesha uko serious, soma tena heading yako, then usome reply zako kwenye comments za watu. Anyway...cheers!Najua vizur tu kwamba walifanya Jaribio Since 2014
so nimeshare kama prank tu Ila kama umetake serious pole.
NASA's Internet connection is 13,000 times faster than yoursPole mimi au pole wewe? Hata heading tu ilionesha uko serious, soma tena heading yako, then usome reply zako kwenye comments za watu. Anyway...cheers!
Mkuu huamini..??ambayo bado iko laboratory sasa hiyo kasi NASA wameitoa wapi au ni mambo ya kujikweza
Ingia mkuu.....kuna movie za kutosha.Kuna nini hapo
DK moja kivp tena mkuu wakati 800mb hadi 1gb afu spidi ndio hiyo 91gb. yaani hapo ukigusa tu ..........Movie ndani ya dakika 1
true mkuuDK moja kivp tena mkuu wakati 800mb hadi 1gb afu spidi ndio hiyo 91gb. yaani hapo ukigusa tu ..........
movie gani be specific, ya x ya y au ya z?Movie ndani ya dakika 1
chapYani movi ya 1.2GB unakapua unakuta isha ishaa kudanilodi![]()
![]()
![]()
y and zmovie gani be specific, ya x ya y au ya z?
Within a secondsMovie ndani ya dakika 1
yeah zaidi ya fasterWithin a seconds
Dreams never end by fear