Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,488
- 4,584
Hata MwanaFA ni msomi wa finance ,kaimba(rap),Kafanya kazi bank ,na sasa politician+minister sio 😂😂😆😆😆😆📌Usipoenda chuo utafikisha miaka 40 ukiwa mtupu na ukienda utafikisha miaka 40 ukiwa na elimu, you choose, Waone wasanii wa zamani wengi wamekula kitabu ndio wakaanza uhuni, japo katika jamii wengi walionekana masela, kina Master J wamekula engineering zao, mtu kama S2kizz kala kitabu we muone vile uchukulie poa, jux ni computer scientist mzuri tu ana degree yake, waone wanagonga beats lakini ikitokea hamna mziki wanatoa vyeti wanaendelea na maisha.