JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,089
- 14,971
Unabaki na pesa, huna elimu, na hiyo pesa, unaipata wapi ya, kufanya biashara,!? Wazazi, wako,wanakupatia? Just like that, yaani mtoto wa miaka, 22,wazazi, wakupatie milioni 10,ufsnye biashara ufanye biashara baadala ya, kukulipia Ada ya chuo?!Ajira ngumu,
Kupoteza muda,
Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara.
Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo)
Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na kisayansi.
Walio na vyeti mtaani hawahesabiki.
High school is a necessity, but collage is a choice.~Kanye West
Nadharia, tupu! Kwanza, hiyo ten M, hqipatikani, kwa mkupuo! Inqpqtikana inapohitqjika! Ukute tuition fee ni milioni, moja! Muhura, wa, kwanza wakupe 500K, ufanye biashara mwaka wa kwanza, then baaadae wakupe tena 500k, mpaka miaka 4 ipite kila mwaka unakuza biashara kwa milioni moja!