Sioni haja ya kwenda chuo

Usipoenda chuo utafikisha miaka 40 ukiwa mtupu na ukienda utafikisha miaka 40 ukiwa na elimu, you choose, Waone wasanii wa zamani wengi wamekula kitabu ndio wakaanza uhuni, japo katika jamii wengi walionekana masela, kina Master J wamekula engineering zao, mtu kama S2kizz kala kitabu we muone vile uchukulie poa, jux ni computer scientist mzuri tu ana degree yake, waone wanagonga beats lakini ikitokea hamna mziki wanatoa vyeti wanaendelea na maisha.
Hata MwanaFA ni msomi wa finance ,kaimba(rap),Kafanya kazi bank ,na sasa politician+minister sio 😂😂😆😆😆😆📌
 
Hakika ndo ivo tuu, wabongo tumefocus sana kwenye vyeti. Sijui mpk nani aje atuokoe.
Ngoja nitoe ushuhuda zaidi, unaweza kuwasaidia wengine hata km sio leo. Nilipohitimu 2017 shahada yangu ya Sheria msoto wa kukosa ajira nikaamua kujikita kurejea jeshini japo JKT afu nibahatishe PT,MT,ZT au UT lkn bila bila. Namlaani sana Anko wngu alienambia niongeze vyeti zaidi ili nijitofautishe na wengine, Nikasomea Udereva, nikaongeza Upishi, nikasomea Uamuzi wa Netball, Nikasomea Upambaji. Nikapoteza miaka miwili Tena nikisomea kozi fupi fupi za miezi 6 nipate vyeti lkn Vyeti havijawahi kunisaidia
 
Hata MwanaFA ni msomi wa finance ,kaimba(rap),Kafanya kazi bank ,na sasa politician+minister sio 😂😂😆😆😆😆📌
Mkuu fatilia vizuri, hao watu wana recognition tayari, jaribu na wewe kama utakuwa kwenye position yake. Muwe mnaangalia uhalisia wa mambo sio koengea tu ilimradi.
 
Ngoja nitoe ushuhuda zaidi, unaweza kuwasaidia wengine hata km sio leo. Nilipohitimu 2017 shahada yangu ya Sheria msoto wa kukosa ajira nikaamua kujikita kurejea jeshini japo JKT afu nibahatishe PT,MT,ZT au UT lkn bila bila. Namlaani sana Anko wngu alienambia niongeze vyeti zaidi ili nijitofautishe na wengine, Nikasomea Udereva, nikaongeza Upishi, nikasomea Uamuzi wa Netball, Nikasomea Upambaji. Nikapoteza miaka miwili Tena nikisomea kozi fupi fupi za miezi 6 nipate vyeti lkn Vyeti havijawahi kunisaidia
Pole sana mkuu kwa kuingia kwenye hio viscious cycle ya kutafta vyeti uonekane. Daah imeniuma sana, vijana wengi hawalijui hili. Dunia ya leo hawaangalii vyeti hasa huko kwenye system za serikalini wanaangalia connection kama mnajuana. Kingine elimu imetapakaa siku hizi so usipoleta kitu tofauti huna thamani. Na jeshini huko kuna kuangaliana sana kama hujuani na mtu imekula kwako.
 
Ajira ngumu,

Kupoteza muda,

Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara.

Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo)

Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na kisayansi.

Walio na vyeti mtaani hawahesabiki.

High school is a necessity, but collage is a choice.~Kanye West
Kama umemnukuu kwa usahihi , bw West kasema collage yaani mkusanyiko wa picha hivi na sio college.
Je wewe kwa mfano, unapata elimu kwa manufaa yako au kwa manufaa ya atakayekuajiri?
Duniani sio lazima ujielimishe, ila kuna umuhimu wa kujielimisha hasa kama unajitambua na una lengo la kimaisha. Duniani sio lazima uajiriwe, kama elimu imekukomboa, hutajua jinsi gani ya kuendesha maisha yako. Elimu na ujuzi haupatikani chuoni tu, kwa zama za sasa, zinapatikana popote, bora tu utulize akili na ujifunze utakacho.
 
Dahi usinikumbushe aisee nilipoteza Raman nilipo amua kwenda chuo tu ad Leo nastrugle bora ningefanyaga tu biashara sahivi ningekua naajiri tu dah muda pesa nyingi kweli nilipoteza Bure
 
Ngoja nitoe ushuhuda zaidi, unaweza kuwasaidia wengine hata km sio leo. Nilipohitimu 2017 shahada yangu ya Sheria msoto wa kukosa ajira nikaamua kujikita kurejea jeshini japo JKT afu nibahatishe PT,MT,ZT au UT lkn bila bila. Namlaani sana Anko wngu alienambia niongeze vyeti zaidi ili nijitofautishe na wengine, Nikasomea Udereva, nikaongeza Upishi, nikasomea Uamuzi wa Netball, Nikasomea Upambaji. Nikapoteza miaka miwili Tena nikisomea kozi fupi fupi za miezi 6 nipate vyeti lkn Vyeti havijawahi kunisaidia
Duh mzee una skills nyingi unapiga mishe gan saiv?
 
Kama umemnukuu kwa usahihi , bw West kasema collage yaani mkusanyiko wa picha hivi na sio college.
Je wewe kwa mfano, unapata elimu kwa manufaa yako au kwa manufaa ya atakayekuajiri?
Duniani sio lazima ujielimishe, ila kuna umuhimu wa kujielimisha hasa kama unajitambua na una lengo la kimaisha. Duniani sio lazima uajiriwe, kama elimu imekukomboa, hutajua jinsi gani ya kuendesha maisha yako. Elimu na ujuzi haupatikani chuoni tu, kwa zama za sasa, zinapatikana popote, bora tu utulize akili na ujifunze utakacho.
Mkuu umepita mlele, elimu sio mpk chuo.
Swala la misspellings ni tatizo la simu nilielezea kwenye thread pia.
 
Dahi usinikumbushe aisee nilipoteza Raman nilipo amua kwenda chuo tu ad Leo nastrugle bora ningefanyaga tu biashara sahivi ningekua naajiri tu dah muda pesa nyingi kweli nilipoteza Bure
Pole sana, chuo ni njia ilowapoteza wengi. Sio wewe tu
 
Kuna jambo naweza kushare hapa

Sasa ukiangalia labour market imekuwa na stiff competition kubwa Sana .

Hivyo ili upate kazi lazima uwe na mambo matatu.

Bahati
Connection
Kuwa competent

Sasa katika kuwa competent nataka tuzungumzie kwa degree zetu hizi za bongo.

Mfano Unaweza kutenganisha haya mambo mawili.

Professional na para professional

Katika professional yako uliyosema inaweza kuwa outdated au haina soko kabisa

Sasa unapokuwa chuo unaweza kujaribu kupambania Para professional kupitia kusoma vitabu mbalimbali hadi ukaiva na ukawa smart is possible.

Mfano unaweza ukawa umeso ma Human resources Ila unaweza ukaamua kuwa Afisa masoko au Afisa mahusiano kwa kuhakikisha kampuni inatambulika katika jamii n.k

Hii inaweza kusaidia vijana maana sasa hivi vyeti havifanyi kazi Ila ile Value yako ndo inatumika zaidi.

Hivyo Kama professional yako hailipi usiende chuo Mara ya pili Bali pambania hiyo para professional, kwa kusoma mwenyewe course yoyote unayoipenda yenye soko kwa kutumia vitabu na mtandaoni utapata hiyo para professional na itakulipa vizuri

Kumbuka kusoma vitabu na kufatilia mtandaoni Elimu yake inazidi ya chuo hasa vyuo vya bongo.
 
Hoja nzuri sana hii mkuu, para professional, ina manufaa tatizo vijana wavivu, ni bora wakae wakikesha mitandaoni (social media) kuliko kujifunza au ku extend knowledge kupitia material zilizopo online.
 
Hii ndo njia nyepesi na nzuri ambayo Mimi binafsi nimeitumia

Ukisoma vitabu ambavyo vinahusiana na career yako elimu yake inazidi ya chuo

Maana elimu ya chuo imekaa kimkakati Sana kumeza theory tu.

So para professional ni CHAKA la MTU kutokea
 
Pole sana mkuu kwa kuingia kwenye hio viscious cycle ya kutafta vyeti uonekane. Daah imeniuma sana, vijana wengi hawalijui hili. Dunia ya leo hawaangalii vyeti hasa huko kwenye system za serikalini wanaangalia connection kama mnajuana. Kingine elimu imetapakaa siku hizi so usipoleta kitu tofauti huna thamani. Na jeshini huko kuna kuangaliana sana kama hujuani na mtu imekula kwako.
Jeshi lolote la nchi hii km huna mbuyu/mbanga/connection hutoboi
 
kama upo Dar es salaam hakikisha unaenda kwenye ofisi za TAESA wanazo ajira za udereva wanahitajika madereva wengi sana.

  1. uwe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea...!
  2. uwe na uzoefu kuanzia miaka 5
  3. uwe na Leseni ya class E
 
Asante kwa kutoa mchongo mkuu, ngoja niwastue wenye uhitaji.
 
Back
Top Bottom