Sio wakati wa kuitabiria mabaya CHADEMA

Sio wakati wa kuitabiria mabaya CHADEMA

Iweje wawe wachochezi halafu mpaka leo bado wawe uraiani kwa serikali hii ya CCM?
Kwa maandishi haya hujanielewa hata kidogo nilicho andika, kwa maana sikuandika hivyo na wala sikumaanisha ulicho andika.

Nilimaanisha:
Lissu alichochea vijana kujenga tabia ya siasa za kukosoa kwa matusi na kejeli.
Lema namtuhumu siasa za makundi.

Utaona kila moja nimemuhusisha au mtuhumu kwa jambo tofauti na mwenzie.
Mkuu naona unapita mule mule kwenye tatizo la watanzania wengi kukosa au kushindwa kitu inaitwa ufahamu ( comprehension ).
 
Unazungumzia tuhuma; mfano hiyo ya Lema ya siasa za makundi, hebu nitajie kundi la Lema yupo na kina nani, na makundi mengine km yapo, ili tujue wapi pa kuanzia, ili tuepuke kujadili vitu visivyo na mashiko.

Halafu unaposema Lissu anachochea huoni huo unaweza kuwa ni mtazamo wako? unataka kitu kisiitwe kwa jina linalokistahili, unataka kipambwe tu hata kama hakina sifa nzuri?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazungumzia tuhuma; mfano hiyo ya Lema ya siasa za makundi, hebu nitajie kundi la Lema yupo na kina nani, na makundi mengine km yapo, ili tujue wapi pa kuanzia, ili tuepuke kujadili vitu visivyo na mashiko.

Halafu unaposema Lissu anachoche huoni huo unaweza kuwa ni mtazamo wako? unataka kitu kisiitwe kwa jina linalokistahili, unataka kipambwe tu hata kama hakina sifa nzuri?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nimesikia maoni yako.
 
Kwa mtazamo wangu changamoto ilianza pale siasa zilippkosa nguvu vyuoni na hiyo kupelekea kukosa vijana wenye nguvu na ushawishi na na ndio maana kwa miaka kama kumi sasa tumekosa vijama wapya wanaoibuka kwenye siasa na kuwa na nguvu yenye ushawishi.

Ukiangalia wanasiasa tuliona nao ni wale walioibuliwa mikama 15 mpaka 20 vyuoni, so kwa mtazamo wangu nguvu iwekezwe kwa vijana na wajengewe Uaminifu na utii hii itaondoa usaliti na kununuana, ingawa sina umri Mkubwa sana lakini kwa miaka 20+ nilishoshuhudia siasa naamini kuwekeza kwa vijana.

Sent using kidole gumba
Wa vyuoni kama Silinde?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema haiwezi kufa, unajua kwanini? Sababu ni kuongezeka kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii kama jf, fb, tweeter (kigogo), WhatsApp, Instagram nk, watu wanapata taarifa kuwa kuna watu wanaonewa na wanajenga chuki na ccm isiyopimika wala kufutika, atakayeipigia ccm kura ni yule anayenufaika nayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna chama ambacho hakina mapungufu yake, lakini to what extent that's the problem! Izo sifa zote mbaya ulizoandika apo kwa ajili ya ccm ndo hizo hizo zoo cdm, kiufupi ni kwamba cdm hata kutambua makosa yao ni shida sana, hata ile hasira ya kupiga kura imepugua sana ukilinganisha na kipindi cha nyuma, nakumbuka uchaguzi wa wabunge ilifika mpka hatua wnanchi wnasema hata chadema wakiweka jiwe tunalipigia kura! Lakini ona sasa mlichofanya 2015.. What's this?? Bunge ilikua ni bado kazi kidogo tu chadema mchukue majimbo yote but what have you done in 2015?? Finishing tu ilikua imebaki na mko saaahv mnaaaminisha watu cdm ndo chma chenye nn??? WTF is siasa za ukwel 2015 mmeleta Yale Yale, sasa usidhan ccm wtarudi tena kwenye Yale mtatizo walikua wanafanya zaman, by the way mbowe ameshapewa warning na wazee wa kimachame msipoangalia mtabaki kila SKU mnapiga kelele apa kwamba cdm sjui sio mjengo ni imani.. Pigieni kura izo iman zenu
Ndicho nilichokuwa naongea hapo juu, sidhani kama umesoma hoja ukaelewa, sidhani kama na wewe ni kasuku mwingine! Hoja CCM wana Siasa za kilaghai wajamaa wasio na mjamaa.

Kuhusu uchaguzi labda hufuatilii, kukiwa na tumehuru hamna chama kibovu kama CCM, hawawaamini Hata wapigakura wao, kama wewe si kasuku unajua kwanini walikana kuendesha uchaguzi wa Serikali za mitaa? Je unajua Hata hao unaowatetea wana tathmini halisi ya mambo halisi ndio maana wako tayari nyie wote mfe lakini sio tume huru? Unajua kuwa ikiwepo tumehuru CCM hawawezi Hata kupata 30%?

Jaribu kufuatilia mambo utaelewa, Pili Hata chaguzi zilizopita sio kwamba waliweza kupata idadi hiyo ya wabunge isipokuwa kwa kuforce, dar pekee walipora, mbagara, ilala waziwazi, Mbeya walipora karibu majimbo yote maana kote walianguka hiyo ni mifano michache achana na uchaguzi za marudio wanajinasibu wanakubarika lakini kura wanaogopa!
 
CHADEMA HII YA SASA KWA KWELI IFE TU, WATANZANIA WENGI WAMEICHOKA MAANA HAINA DIRA BALI POROJO.
Maadui wakuu wa taifa hili siku hizi watanzania wengi wanasema ni;
1. Umaskini
2. Ujinga
3. Magonjwa
4. CHADEMA.
 
Ukabila tuliuvuka ila naona unarudi kwa kasi na hakuna anayekemea
Ni mtazamo wangu na
Nakubaliana na wewe mkuu, hapa ndipo tutaona ufanisi mkubwa sana wa majukumu, yaani kazi inakua rahisi kwel kwel yawezekaa hata uchama ukatuondoka kama ukabila tulivouruka, wtu wa ccm wanpiga kura kokote na chadema ivo ivo
 
Ni haki yako kunijibu hivyo,lakini kwenu nyie chadema ndio mabingwa wa siasa za chuki za wazi wazi
Mbowe alishatoa waraka rasmi kuelekeza,wabunge na madiwani wasitoe ushirikiano kwenye ziara za viongozi wa kitaifa
Mlishakubaliana bungeni msiwasalimie wala kuongea na wabunge wa ccm
Personal attack
 
Nafikiti kuna waraka ulitoka wa kuzuia siasa vyuoni
Shida ilianzia hapa
Nakuelewa lakini siasa zimepoa mno na zimekuwa za kubembelezana mno, hivi mbona viongozi wengine walikuwa wanaogopa upinzani mpaka wananywea wenyewe? hofu yangu ni kwamba uandaaji wa vijana umekuwa Mdogo mno na vijana wachache wamekuwa warahisi kulubuniwa, nakubaliana na wewe uwepo wa CDM unasaidia kuitisha sisiemu lakini natamani kuwe na moto kama enzi za nyuma, na nimuombe Mbowe aibue vijana wenye nguvu na wapenda mabadiliko aachane na hawa wakuja tu

Sent using kidole gumba
 
Huu uzi wako umetulia sana. Pamoja na mapungufu ya kibinadamu na kiuongozi Chadema ni chama bora sana mara elfu ukilinganisha na ccm na hata ccm wanajua hivyo na ndiyo sababu kubwa hawataki tuwe na Tume Huru itakayosimamia uchaguzi HURU na wa HAKI kwani ndiyo itakuwa Kiama chao hapa Tanzania.

Wanajua wazi bila uchaguzi uliojaa udhalimu, vitisho, wizi na dhuluma wanaweza kubaki na majimbo machache sana nchini na Urais watausikia kwenye bomba.
Ni wapumbavu tu ndio wanataka Chadema ife lakini wenye akili zao wanataka Chadema iimarike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu akiniambia CHADEMA ni chama bora, nashindwa kuelewa ubora uko wapi. Ikiwa miaka yote hii kimeshindwa kuwaandaa vijana wasomi kuchukuwa nafasi za uwongozi, sijui huo ubora unatoka wapi? Kijana anachukuliwa chuo kikuu, akiingia CHADEMA anafundisha kupinga kila kitu na kukimbizana na dola. You can't create tomorrow's leader by disobeying the rule of law.

Ukiwa CHADEMA lazima uwe tayari kutafuna pesa ya umma bila woga wala ukakasi, mikutano kwenye mahoteli makubwa, safari za nje zisizo za lazima, magari ya kifahari hata mmiliki hajulikani ni nani kusema hicho ndio chama cha mfano, sio kwa mfumo uliopo.

Hata itikadi, CHADEMA imeshindwa kuwa hata na kachuo kadogo kutowa somo la itikadi kwa viongozi watarajiwa ili kuwe na muongozo hawa wajuwe CHADEMA inasimamia kitu gani. Halafu watu wanashangaa kuona wanachama wanakihama chama, ni kwasababu wanafikiri CHADEMA na CCM wote wako sawa lakini ni vyama vyenye misimamo tofauti.
Tatizo rushwa hasa inapotolewa na state ushahidi upo watu hanahama na kupewa vyeo hii ni dhahili Kuna wanaopewa pesa na kuasi vyamavyao,kupinga hakupo bali nao kukosoa kitu chochote ilikiwe Bora lazima kipite mchakato wa kukosolewa na sio kuhujumiwa iwe chama iwe development plan,kikipitia huo mchakato kina kwenda kuwa Bora kabisa kwenye implementation.
CCM inakosolewa na wapinzani,lakini on fighting back wanahujumu upinzani hapo ndiyo kunatatizo.
 
Ndicho nilichokuwa naongea hapo juu, sidhani kama umesoma hoja ukaelewa, sidhani kama na wewe ni kasuku mwingine! Hoja CCM wana Siasa za kilaghai wajamaa wasio na mjamaa.

Kuhusu uchaguzi labda hufuatilii, kukiwa na tumehuru hamna chama kibovu kama CCM, hawawaamini Hata wapigakura wao, kama wewe si kasuku unajua kwanini walikana kuendesha uchaguzi wa Serikali za mitaa? Je unajua Hata hao unaowatetea wana tathmini halisi ya mambo halisi ndio maana wako tayari nyie wote mfe lakini sio tume huru? Unajua kuwa ikiwepo tumehuru CCM hawawezi Hata kupata 30%?

Jaribu kufuatilia mambo utaelewa, Pili Hata chaguzi zilizopita sio kwamba waliweza kupata idadi hiyo ya wabunge isipokuwa kwa kuforce, dar pekee walipora, mbagara, ilala waziwazi, Mbeya walipora karibu majimbo yote maana kote walianguka hiyo ni mifano michache achana na uchaguzi za marudio wanajinasibu wanakubarika lakini kura wanaogopa!

Unaelewa kiswahili? Nimekwambia siasa achana Nazo tunaongelea ubora wa chama na Sera zake, kama ni siasa kila sehem pabovu si nyie juzi mmetimua wabunge wenu kisa wameenda kuwakilisha wananchi wao, tukianza kuongelea madudu ya vyama apa cdm mnatia huruma! We nan kakwambia hata 30% ccm hawachukui? Kwa research gan uliofanya ya kutuaminisha ivo, mm ni mawili either ccm ama NCCR, kama hmtaki maoni bakini ivo ivo mkiendelea kujipa moyo wa uchaguzi huru ndo mnapita. Mnatia hasira hamjui tu
 
Ni wapumbavu tu ndio wanataka Chadema ife lakini wenye akili zao wanataka Chadema iimarike

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata mm ntamani kiimarike na sio kwmba hatukipendi, tunatamani kue na ile chadema ya kama zaman bana, mbunge wa chadema akismama kuongea we mwenyewe unaogopa maaana lazima afichue uovu wa aina Yake, infact hiki kipindi mlijizolea kura nyingi sana, nakumbuka arusha kulikua na msemo hata chadema mkiweka jiwe wanalipigia kura, kipindi kile kuna mikoa mfano ccm walikua hawakanyagi maaana arusha nzima kuanzia wananchi ni chadema!
 
Katika uchaguzi wa 2010 wafuasi wengi wa Chadema sehemu nyingi Nchini waliamua kulinda kura zao na matokeo yake ni kwamba Chadema iliongeza idadi ya viti vya ubunge kwa wingi na si ajabu Slaa alishinda Urais ila kwa sababu ya kutokuwepo tume huru ya uchaguzi ccm wakafanya yao.

Ni kweli ccm ipo hadi vijijini lakini pia IMECHOKWA sehemu nyingi sana kwani watu hawaoni ahueni yoyote ile kwenye maisha yao ya kila siku. Na hali ilivyo sasa kukiwepo na tume huru uchaguzi huu basi ccm KWISHNEY na wenyewe ccm wanalijua hilo ndiyo sababu hawataki kuisikia tume huru.

Slaa yupi uyo alishinda uchaguzi wakati mlimtimua mkamuweka Richmond mwenyewe, we unadhan mngeendelea na msimamo wenu toka kipinde kile mngekua WAP saaahv? halafu izo kauli kwamba ccm imechokwa ndo itawafanya hata kura moja mkose, yaaani naona hata napoteza mda kuelezea , mbowe mwenyewe wananchi wake wamauandikia barua juzi wamamechoka sasa nyie endeleeni kusema ccm imechokwa, mm kama ccm wakizingua nahamia NCCR mageuzi
 
Ndicho nilichokuwa naongea hapo juu, sidhani kama umesoma hoja ukaelewa, sidhani kama na wewe ni kasuku mwingine! Hoja CCM wana Siasa za kilaghai wajamaa wasio na mjamaa.

Kuhusu uchaguzi labda hufuatilii, kukiwa na tumehuru hamna chama kibovu kama CCM, hawawaamini Hata wapigakura wao, kama wewe si kasuku unajua kwanini walikana kuendesha uchaguzi wa Serikali za mitaa? Je unajua Hata hao unaowatetea wana tathmini halisi ya mambo halisi ndio maana wako tayari nyie wote mfe lakini sio tume huru? Unajua kuwa ikiwepo tumehuru CCM hawawezi Hata kupata 30%?

Jaribu kufuatilia mambo utaelewa, Pili Hata chaguzi zilizopita sio kwamba waliweza kupata idadi hiyo ya wabunge isipokuwa kwa kuforce, dar pekee walipora, mbagara, ilala waziwazi, Mbeya walipora karibu majimbo yote maana kote walianguka hiyo ni mifano michache achana na uchaguzi za marudio wanajinasibu wanakubarika lakini kura wanaogopa!

Tusiongeee saaana mkuu, wacha chama pendwa kiendeee kujinoa , nyie endeleeni ivo ivo sjui kukiwa na uchaguzi huru, time will tell
 
Back
Top Bottom