Sio wakati wa kuitabiria mabaya CHADEMA

Sio wakati wa kuitabiria mabaya CHADEMA

Mkuu Mshana Jr, kwanza heshima mbele, hakuna mtu yoyote anayeiombea Chadema ife, kosa langu ni kuwa mkweli too much.

Humu jf tuna members wa aina 3, tuna
  1. Simple minds, discuss people, wao badala ya kujadili hoja iliyo mezani, hawa watamjadili mtoa hoja.
  2. Ordinary minds, discuss events, hawa watadili matukio, nini kimetokea etc
  3. Great minds discuss ideas, hawa watajadili hoja iliyo mezani.
Hivyo naomba keep on being free, kujadili watu, matukio na hoja, katika mabandiko yangu, ukiweza kujibu hoja, nitashukuru, ila hata ukinijadili, sikulaumu na likes nakutwangia.
Ukipata muda karibu ujibu hoja za bandiko hili.

Asante
P
Wakati unaandika udaku eti rwakatare ameficha mboga ya chadema ulikuwa simple mind

Kwa great mind ungechambua uhalali wa kufukuzwa kwake, uanachama

Blah blah kibao, Eti ohhh alikuwa mlinzi wa chama sijui anajua siri nyingi utadhani chama ni taasisi ya kigaidi, upuuzi mwingi umeandika kama vile siyo msomi
Hapo ulidicuss events mkuu, jiweke kwenye kundi unalobelong
 
Wakati unaandika udaku eti rwakatare ameficha mboga ya chadema ulikuwa simple mind
Mtu kuwa simple mind, ordinary mind na great minds ni the way one comprehend and thinking capacity, nimesema Lwakatare ameishika hatma ya Chadema mkononi mwake. Kwa vile Chadema wao wamemwaga ugali yeye akiamua Kumwaga mboga, Chadema keisha!.

Ma simple minds watamdiscus mleta mada, Pasco na Lwakatare, hivi na vile, sii lolote sii chochote, that is their level.

Ordinary mind wao wata discuss event ya Lwakatare kutimuliwa na atamwaga vipi mboga, atakakata tawi alilokalia etc.

Great minds wata discuss hiyo hatma ya Chadema, jee ni kweli ikijulikana Chadema kinakufa?, hiyo hatma yenyewe ya Chadema Lwakatare aliyo mayo ni nini haswa?, does have merits hadi Chadema ife, etc

Hivyo be free kujadili kwa kadri ya uwezo wako na kundi lako?.

Mkuu bado unaendelea na blablah
 
Mwamba umeongea mambo ya msingi sana.
Pamoja na yote ifike mahali lazima watu wa CDM waanze kukubali madhaifu yao na kuanza kuchukua hatua kurekebisha.

Tulipofikia sasa CDM imeanza kuchukua zile sifa mbaya za CCM, zamani tulikuwa tunaona vijana wa CCM badala ya kujenga hoja wanakimbilia kushambulia watu kwa matusi, jambo hili sasa limenukuliwa na wakereketwa na wanachama vijana wa CDM, tena tusipepese macho tuseme wazi hili limekolezwa sana na Lissu na zile kauli zake 'MaCCM', 'Dikteta uchwa', mara 'rubbish' au 'takataka'. Sasa vijana wa CDM ndio imekuwa lugha yao kuu humu mitandaoni hasa hapa JF.

Sasa hivi ni sifa kutukana hata mtu mzima anayestahili kupewa heshima kama mzazi wako kwa kisingizio huyu wa CCM na mimi ni wa CDM, au huyu anampinga kiongozi flani ndani ya chama.

Ukihoji jambo kwa uongozi wanaficha makosa kwa kukutangaza wewe msaliti umenunuliwa kukivuruga chama.

Kunyima uhuru wa mambo mbali mbali ndani ya CDM sasa limekuwa siyo jambo la kificho.

Makundi ndani ya CDM yamekuwa wazi wazi kwa sasa hata kama tutakataa huo ndio ukweli.

Ukabila imekuwa sera isiyo andikwa rasmi lakini inayopata nguvu miongoni mwa wapiga zumari ndani ya CDM.

Karibu hizo sifa zote mbaya nilizo taja zilikuwa alama ya ubovu wa CCM na ndiyo ushahidi unaipenda CCM kwa kushabikia hayo.

Kosa kubwa sana linaloitafuna CDM ni chama kukosa ITIKADI maalum itakayo kuwa ajenda kuu na DIRA ya chama, mfano zamani kulikuwa na ajenda ya UFISADI, sasa ni kurukia kila hoja au kauli ya viongozi wa vyama mbalimbali na serikali hata zingine huja kuidi na kuidhuru CDM.

CDM kwa sasa kila mtu amekuwa msemaji wa chama na katibu wa uenezi sera, propaganda, kauli za wengine hukirudi na kukiumiza chama.

Fukuza fukuza isiyo ya ulazima inakigharimu chama, angalia jinsi SILINDE alivyopata approval rate nzuri huko mitandaoni, nenda Youtube kwenye video alizo sema chochote baada ya kufukuzwa utaona ukweli wa hili suala.

Viongozi na wakereketwa wajisahihishe bado muda wa kuinusuru CHADEMA upo, tunataka upinzani imara.
 
Mtu akisoma hii coment yako aweza akuone unaakili nyingi sana na anaweza pumbazika.
Lakini ulichoongea ni kama unaanza jifunza siasa za tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yote yanawezekana pia, lakini ukwel ni ukwel tu na hata hivo kuna vyama vingi tu nchini chadema mshazingua na tulikua na iman nao, nna iman NCCR wanaweza kuhande hii position
 
Mwamba umeongea mambo ya msingi sana.
Pamoja na yote ifike mahali lazima watu wa CDM waanze kukubali madhaifu yao na kuanza kuchukua hatua kurekebisha.

Tulipofikia sasa CDM imeanza kuchukua zile sifa mbaya za CCM, zamani tulikuwa tunaona vijana wa CCM badala ya kujenga hoja wanakimbilia kushambulia watu kwa matusi, jambo hili sasa limenukuliwa na wakereketwa na wananchama vijana wa CDM, tena tusipepese macho tuseme wazi hili limekolezwa sana na Lissu na zile kauli zake 'MaCCM', 'Dikteta uchwa', mara 'rubbish' au 'takataka'. Sasa vijana wa CDM ndio imekuwa lugha yao kuu humu mitandaoni hasa hapa JF.

Sasa hivi ni sifa kutukana hata mtu mzima anayestahili kupewa heshima kama mzazi wako kwa kisingizio huyu wa CCM na mimi ni wa CDM, au huyu anampinga kiongozi flani ndani ya chama.

Ukihoji jambo kwa uongozi wanaficha makosa kwa kukutangaza wewe msaliti umenunuliwa kukivuruga chama.

Kunyima uhuru wa mamabo mbali mbali ndani ya CDM sasa limekuwa siyo jambo la kificho.

Makundi ndani ya CDM yamekuwa wazi wazi kwa sasa hata kama tutakataa huo ndio ukweli.

Ukabila imekuwa sera isiyo andikwa rasmi lakini inayopata nguvu miongoni mwa wapiga zumari ndani ya CDM.

Karibu hizo sifa zote mbaya nilizo taja zilikuwa alama ya ubovu wa CCM na ndiyo ushahidi unaipenda CCM kwa kushabikia hayo.

Kosa kubwa sana linaloitafuna CDM ni chama kukosa ITIKADI maalum itakayo kuwa ajenda kuu na DIRA ya chama, mfano zamani kulikuwa na ajenda ya UFISADI, sasa ni kurukia kila hoja au kauli ya viongozi wa vyama mbalimbali na serikali hata zingine huja kuidi na kuidhuru CDM.

CDM kwa sasa kila mtu amekuwa msemaji wa chama na katibu wa uenezi sera, propaganda, kauli za wengine hukirudi na kukiumiza chama.

Fukuza fukuza isiyo ya ulazima inakigharimu chama, angalia jinsi SILINDE alivyopata approval rate nzuri huko mitandaoni, nenda Youtube kwenye video alizo sema chochote baada ya kufukuzwa utaona ukweli wa hili suala.

Viongozi na wakereketwa wajisahihishe bado muda wa kuinusuru CHADEMA upo, tunataka upinzani imara.

Well said, mm ni mmoja ya wale tuliokua tumeichoka ccm tokea enzi zile lakini sasa ukiangalia decisions za upinzani ni Mara elfu ya ccm, imagine watu miaka nenda rudi agenda yao ni kuingoa ccm madarakan, sasa unamuuliza MTU wewe kwann unajiunga na cdm jibu lake moja tu kuingoa ccm madarakan! Chama hakina direction, Sera yaani hadi corona imekua Sera yao
 
Huu uzi wako umetulia sana. Pamoja na mapungufu ya kibinadamu na kiuongozi Chadema ni chama bora sana mara elfu ukilinganisha na ccm na hata ccm wanajua hivyo na ndiyo sababu kubwa hawataki tuwe na Tume Huru itakayosimamia uchaguzi HURU na wa HAKI kwani ndiyo itakuwa Kiama chao hapa Tanzania.

Wanajua wazi bila uchaguzi uliojaa udhalimu, vitisho, wizi na dhuluma wanaweza kubaki na majimbo machache sana nchini na Urais watausikia kwenye bomba.

Kama ungesema hii point 2015 basi hakuna wa kukupinga ingawa bado sio kwa asilimia zote Kwan ccm INA roots kuanzia vijijini lakini mlikua mnaenda sehem flan ila mlikuja kuharibu kila kitu, cha msingi weken sera nzuri, viongozi wenu wawe makini na watu wenye maono mapana ya nchi, hii itasaidia mbelen hamtakua mnajieleza sana
 
Is either you don't know your narratives au unamaksudi, au uelewa Mdogo.

CHADEMA itikadi yake ni chama kinachofuata mrengo wa kisasa wa ukweli, uwazi na soko huamua uchumi, on the contrary CCM ni chama cha kijamaa kisicho na mjamaa Hata mmoja, au kama unamjua mjamaa ndani ya CCM nirekebishe. Kiufupi ni chama laghai!

Kwa CCM kusavaivu ni kuwa na makasuku wasiojielewa ambao wengiwao wapo kwenye polisi nk, wanachojua ni kuforce mambo na kudhulumu haki zaidi saana kupandikiza Kesi.

Huwezi kulinganisha CCM na CHADEMA, maana pamoja na ulaghai wa CCM pia ni chama kinachotengeneza marobbot ambayo ukiliambia kuuwa mpinzani ni sifa lenyewe huchukua kama ilivyo pasi na upembuzi, while chadema laazima jambo litafakaliwe!

Hakuna chama ambacho hakina mapungufu yake, lakini to what extent that's the problem! Izo sifa zote mbaya ulizoandika apo kwa ajili ya ccm ndo hizo hizo zoo cdm, kiufupi ni kwamba cdm hata kutambua makosa yao ni shida sana, hata ile hasira ya kupiga kura imepugua sana ukilinganisha na kipindi cha nyuma, nakumbuka uchaguzi wa wabunge ilifika mpka hatua wnanchi wnasema hata chadema wakiweka jiwe tunalipigia kura! Lakini ona sasa mlichofanya 2015.. What's this?? Bunge ilikua ni bado kazi kidogo tu chadema mchukue majimbo yote but what have you done in 2015?? Finishing tu ilikua imebaki na mko saaahv mnaaaminisha watu cdm ndo chma chenye nn??? WTF is siasa za ukwel 2015 mmeleta Yale Yale, sasa usidhan ccm wtarudi tena kwenye Yale mtatizo walikua wanafanya zaman, by the way mbowe ameshapewa warning na wazee wa kimachame msipoangalia mtabaki kila SKU mnapiga kelele apa kwamba cdm sjui sio mjengo ni imani.. Pigieni kura izo iman zenu
 
Katika uchaguzi wa 2010 wafuasi wengi wa Chadema sehemu nyingi Nchini waliamua kulinda kura zao na matokeo yake ni kwamba Chadema iliongeza idadi ya viti vya ubunge kwa wingi na si ajabu Slaa alishinda Urais ila kwa sababu ya kutokuwepo tume huru ya uchaguzi ccm wakafanya yao.

Ni kweli ccm ipo hadi vijijini lakini pia IMECHOKWA sehemu nyingi sana kwani watu hawaoni ahueni yoyote ile kwenye maisha yao ya kila siku. Na hali ilivyo sasa kukiwepo na tume huru uchaguzi huu basi ccm KWISHNEY na wenyewe ccm wanalijua hilo ndiyo sababu hawataki kuisikia tume huru.

Kama ungesema hii point 2015 basi hakuna wa kukupinga ingawa bado sio kwa asilimia zote Kwan ccm INA roots kuanzia vijijini lakini mlikua mnaenda sehem flan ila mlikuja kuharibu kila kitu, cha msingi weken sera nzuri, viongozi wenu wawe makini na watu wenye maono mapana ya nchi, hii itasaidia mbelen hamtakua mnajieleza sana
 
Ukiachana na kile kitengo cha propaganda cha CCM na ile praise team. Wengine wote hatupaswi kuwa na muono kimo cha mbilikimo. Ni lazima tuwaze zaidi ya mwisho wa uono wa macho yetu.

Nimemuona P kwenye mada za CHADEMA. Utabiri wa mabaya. P ulituasa tuepuke prophecy of doom. Tusiwaase wengine huku sisi tunatenda.

Natambua mgongano wa mawazo na hoja. Natambua tofauti za kimtazamo kati yetu lakini haya yasitufanye tukafika mahali tukawa na mitazamo finyu. Tunaihitaji CHADEMA kama taasisi imara ili CCM isijisahau sana. Miaka ile ya 1995-2005. Wakati huo NCCR kikiwa chama chenye nguvu na ushawishi, kuna mengi yaliyotokea lakini pengine hayakumbukwi sana.

Alitokea Augustine Mrema, waziri machachari wa CCM aliyebwaga manyanga na kujiunga na NCCR Mageuzi. Wengi bado tunakumbuka kilichotokea pale, kukawa na vichwa hasa.

Baadae NCCR ikafitinishwa na kumgeuka. Kukawa na NCCR mbili. Huo ndio ukawa mwisho wa kile chama. Kuna mtu pale NCCR mmojawapo wa viongozi mahiri akiitwa Prince Bangeda. Mpaka leo sijui alitofautiana nini na Mrema. Alimuandika vibaya na kumchambua Mrema kwenye safu yake ndani ya gazeti la Rai kila Jumatano kwa makala ndefu ndefu kwa miezi kadhaa. Nadhani hakuna mwanasiasa alichambuliwa na kuandikwa vibaya mpaka leo hii kama alivyofanya Bangeda kwa Mrema.

Leo hii Bangeda yuko wapi na Mrema yuko wapi? Unapotumika angalia unatumikaje. Usipojiongeza, wanaweza kukufanya kama toilet paper.

CHADEMA inapigwa vita sana kwakuwa ni mwiba mchungu kwa CCM. Project za kukiangamiza hiki chama ni nyingi mno. Watu wanaotumika ni wengi mno. Pesa iliyokwisha tumika ni nyingi mno. Hakuna chama cha siasa kimepitia mapigo mengi kama CHADEMA, lakini mpaka leo kipo hai na kinadunda. Kukiombea kife ni:

Kupoteza matumaini ya vijana wasomi wengi
Ni kupoteza viongozi wazuri wa kesho
Ni kupoteza matumaini na furaha wa wapiga kura milioni 7
Ni kupoteza matumaini na furaha ya wapenzi, washabiki na wafurukutwa zaidi ya milioni kumi

Hakuna kosa kubwa tutalifanya kama kuombea CHADEMA ife. Hiyo laana haitakaa ituache, itakula nasi sahani moja. Kama tulikubali NCCR na CUF vinyongwe, tusikubali haya kwa CHADEMA.

Viongozi walioko CHADEMA ni binadamu kama wewe na mimi wana mapungufu yao, lakini kwenye mizania ya haki wana mengi mazuri ya kukumbukwa vizazi na vizazi. Wanahitaji tuwatie moyo, tuwasaidie na kuwapa faraja kwenye kila hatua wanayopitia. Tusiwakatishe tamaa. CCM iliyokuwa na upendo wa kweli kwa Watanzania ni ile ya Mwalimu Nyerere tu. Baada ya hapo ni vurugu mechi kwa kwenda mbele.

Makala nyingi za kuiponda CHADEMA na kukiombea mabaya hata kama sio sehemu ya zile project zina ukakasi na kuacha maswali mengi kuliko majibu.

Je, kuna personal issues nje ya politik?

Jr[emoji769]
Hongera sana Mkuu Mshana Jr kwa bandiko lililo sheheni utetezi wa CHADEMA kwa chozi lisilo onekana.

Ni kweli Mkuu P kiasi alivuka mipaka ya uhandishi, ambayo ndiyo taaluma yake ya kujidai, akajikita kwenye kundi la wapiga ramli.

Kilichonisukuma nijibu bandiko lako si utetezi wako wa CHADEMA, ila nguvu/msisitizo ulioweka kwenye hoja zako ukimlenga P, ukasahua kwamba jinsi aliyotumia kufikisha ujumbe wake inashabiana na eneo lako la kujidai - nguvu za giza au jicho la tatu.

Siamini kama CHADEMA inachukiwa ila viongozi wake hasa M/Kiti wa chama. Kwa jina la Chama cha Demokrasia, wengi wetu tunategemea chama kioneshe mfano kwa viongozi wake wakiishi kidemokrasia kwa maneno na vitendo. Viongozi wa CHADEMA wamejipambanua kuwa siyo wana siasa bali wapigania maslahi binafsi na endapo watapata nafasi ya kuongoza nchi, hakuna shaka yoyote kuwa Taifa litakuwa la walio kuwa nacho.

Namalizia kwa kukuuliza Mkuu Mshana Jr, kati ya CHADEMA na CCM, kwa lugha uliyotumia, ni chama kipi kinapigwa vita sana?

Tukumbuke wakati wote kuzingatia ushauri wa wataalamu wa afya kuhusu kinga dhidi ya maambukizi na kusambaa kwa COVID-19. Uamuzi wako na wangu ndio silaha kubwa ya kushinda hii vita.

JIKINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE WAPENDWA WAKO
 
Mwamba umeongea mambo ya msingi sana.
Pamoja na yote ifike mahali lazima watu wa CDM waanze kukubali madhaifu yao na kuanza kuchukua hatua kurekebisha.

Tulipofikia sasa CDM imeanza kuchukua zile sifa mbaya za CCM, zamani tulikuwa tunaona vijana wa CCM badala ya kujenga hoja wanakimbilia kushambulia watu kwa matusi, jambo hili sasa limenukuliwa na wakereketwa na wanachama vijana wa CDM, tena tusipepese macho tuseme wazi hili limekolezwa sana na Lissu na zile kauli zake 'MaCCM', 'Dikteta uchwa', mara 'rubbish' au 'takataka'. Sasa vijana wa CDM ndio imekuwa lugha yao kuu humu mitandaoni hasa hapa JF.

Sasa hivi ni sifa kutukana hata mtu mzima anayestahili kupewa heshima kama mzazi wako kwa kisingizio huyu wa CCM na mimi ni wa CDM, au huyu anampinga kiongozi flani ndani ya chama.

Ukihoji jambo kwa uongozi wanaficha makosa kwa kukutangaza wewe msaliti umenunuliwa kukivuruga chama.

Kunyima uhuru wa mambo mbali mbali ndani ya CDM sasa limekuwa siyo jambo la kificho.

Makundi ndani ya CDM yamekuwa wazi wazi kwa sasa hata kama tutakataa huo ndio ukweli.

Ukabila imekuwa sera isiyo andikwa rasmi lakini inayopata nguvu miongoni mwa wapiga zumari ndani ya CDM.

Karibu hizo sifa zote mbaya nilizo taja zilikuwa alama ya ubovu wa CCM na ndiyo ushahidi unaipenda CCM kwa kushabikia hayo.

Kosa kubwa sana linaloitafuna CDM ni chama kukosa ITIKADI maalum itakayo kuwa ajenda kuu na DIRA ya chama, mfano zamani kulikuwa na ajenda ya UFISADI, sasa ni kurukia kila hoja au kauli ya viongozi wa vyama mbalimbali na serikali hata zingine huja kuidi na kuidhuru CDM.

CDM kwa sasa kila mtu amekuwa msemaji wa chama na katibu wa uenezi sera, propaganda, kauli za wengine hukirudi na kukiumiza chama.

Fukuza fukuza isiyo ya ulazima inakigharimu chama, angalia jinsi SILINDE alivyopata approval rate nzuri huko mitandaoni, nenda Youtube kwenye video alizo sema chochote baada ya kufukuzwa utaona ukweli wa hili suala.

Viongozi na wakereketwa wajisahihishe bado muda wa kuinusuru CHADEMA upo, tunataka upinzani imara.

..mbona ccm wana matusi kuliko cdm?

..tena naku-challenge uanze na mwenyekiti wa ccm vs mwenyekiti wa cdm.

Yupi ana matusi na anadhalilisha kumzidi mwenzake?

..halafu uende hatua kwa hatua. Kwa mfano Katibu Mkuu, Wenyeviti wa Jumuiya, mpaka chini. Ni upande upi unatoa kauli za kihuni kuzidi mwingine?

..Vyombo vya DOLA ndiyo vinaiweka CCM mjini. Na vyombo vya dola vikiitosa CCM itaporomoka siyo kwasababu wapinzani ni weledi sana, bali kwasababu CCM imejaa watu wenye kiburi, majivuno, na wasiojua siasa.
 
Nabet NCCR kuanguka vibaya mno, wananchi hawapendi vyama vigeugeu vilivyosimika mizizi ccm. Hiyo ndiyo tofauti ya Chadema ya Mbowe na iliyokuwa Cuf ya Maalim Seif. Wananchi wanapima hoja zao bungeni na Hali halisi ya Maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana Mkuu Mshana Jr kwa bandiko lililo sheheni utetezi wa CHADEMA kwa chozi lisilo onekana.

Ni kweli Mkuu P kiasi alivuka mipaka ya uhandishi, ambayo ndiyo taaluma yake ya kujidai, akajikita kwenye kundi la wapiga ramli.

Kilichonisukuma nijibu bandiko lako si utetezi wako wa CHADEMA, ila nguvu/msisitizo ulioweka kwenye hoja zako ukimlenga P, ukasahua kwamba jinsi aliyotumia kufikisha ujumbe wake inashabiana na eneo lako la kujidai - nguvu za giza au jicho la tatu.

Siamini kama CHADEMA inachukiwa ila viongozi wake hasa M/Kiti wa chama. Kwa jina la Chama cha Demokrasia, wengi wetu tunategemea chama kioneshe mfano kwa viongozi wake wakiishi kidemokrasia kwa maneno na vitendo. Viongozi wa CHADEMA wamejipambanua kuwa siyo wana siasa bali wapigania maslahi binafsi na endapo watapata nafasi ya kuongoza nchi, hakuna shaka yoyote kuwa Taifa litakuwa la walio kuwa nacho.

Namalizia kwa kukuuliza Mkuu Mshana Jr, kati ya CHADEMA na CCM, kwa lugha uliyotumia, ni chama kipi kinapigwa vita sana?

Tukumbuke wakati wote kuzingatia ushauri wa wataalamu wa afya kuhusu kinga dhidi ya maambukizi na kusambaa kwa COVID-19. Uamuzi wako na wangu ndio silaha kubwa ya kushinda hii vita.

JIKINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE WAPENDWA WAKO
Namalizia kwa kukuuliza Mkuu Mshana Jr, kati ya CHADEMA na CCM, kwa lugha uliyotumia, ni chama kipi kinapigwa vita sana?
mwengeso hili swali liko too general
. kupigwa vita na nani? Hapo kuna viongozi... Hapo kuna wananchi... Hapo kuna wafaidikaji.. Labda ungefafanua

Jr[emoji769]
 
..mbona ccm wana matusi kuliko cdm?

..tena naku-challenge uanze na mwenyekiti wa ccm vs mwenyekiti wa cdm.

Yupi ana matusi na anadhalilisha kumzidi mwenzake?

..halafu uende hatua kwa hatua. Kwa mfano Katibu Mkuu, Wenyeviti wa Jumuiya, mpaka chini. Ni upande upi unatoa kauli za kihuni kuzidi mwingine?

..Vyombo vya DOLA ndiyo vinaiweka CCM mjini. Na vyombo vya dola vikiitosa CCM itaporomoka siyo kwasababu wapinzani ni weledi sana, bali kwasababu CCM imejaa watu wenye kiburi, majivuno, na wasiojua siasa.
Mkuu unaniangusha kidogo ...
Mbona nimesema vizuri jabisa kwamba tabia za matusi ndiyo ilikuwa alama ya vijana wa CCM ila sasa vijana wa CHADEMA wengi wameiga mfumo huo kiasi cha kutaka kumzidi role model wao (vijana wa CCM awamu mbili zilizo pita na hasa awamu ya JK)?

Kwa kifupi ni kusema CDM wanakuwa kama CCM siku hizi, iwe wale wanufaika wakubwa kunyima uhuru walio chini hadi kukosa itikadi flani kama ajenda kuu au dira yao. Kwani CCM ya JK ilikuwa na dira au itikadi gani inayo eleweka?

Kwani CDM sasa ina itikadi gani au dira inayo eleweka?

Matusi ya akina Kibajaji dhidi ya wapinzani, unakumbuka akina Gambo na Makonda walivyokuwa wanamtetea mwenyekiti Kikwete wakati ule na kuwashambulia wanachama wenzao huku wakisema raisi hatatoka kaskazini?

Kuna tofauti gani na wanachofanya vijana wa CDM wanapojaribu kumlinda mwenyekiti Mbowe na kuwashughulikia akina Sumaye au kutukana kabila la wasukuma au matusi ya kusema makabila mengine tofauti na Kaskazini au kidogo wahaya ni ya kimaskini hawafai kuwa viongozi?

Huoni kwamba hao wote ni separatist na sio waumini wa ummoja wa kitaifa bila kujali ukabila?

Au niendelee ku-match items CCM-ile-Ya-JK Vs CDM-hii-post-Slaa?
Kuna matukio mengi sana yamefanana kwa sasa au yame-swap kama unaona mbali.
 
JokaKuu ninawaona akina Gambo, Makonda, Kibajaji, na Tambwe Hiza wengi kwenye CHADEMA ya sasa baada ya Dr. Slaa kuondoka.

Na wachochezi wa siasa hizo kaka zangu Lissu na Lema hawakwepi lawama kila mmoja kwa namna yake.
Mnyika pia anastahili Lawama kwa kukaa kimya muda mrefu. Kwanini kipindi kile hakumvuta pembeni mtu kama Halima Mdee na kumuambia siasa hizi za matusi siyo za kiwango chako ni za kiwango cha akina flani.

Mbowe kwenye matusi hayumo lakini kwenye yale mengine yale waliyo kuwa wanafanya waliokuwa wamejiaminisha CCM ilikuwa birth right yao nae hakwepi lawama. Anafanya hayo hayo kwenye chama chake hasa baada ya watu flani kukaa kimya au kuondoka chamani.
 
Mshana Jr bandiko lako ni msumari kwa watu fulani hapa..kuna watu pamoja na usomi wao wameshindwa kabsa kujua umuhimu wa upinzani katika nchi hizi changa zilizojaa majambazi wa kisiasa..ama wafanya biashara ya siasa. Kuna watu wanaomba Chama kibaki kimoja bungeni hili kundi ni kundi linalofaidika na ujambazi wa kisiasa!
Kama tunataka nchi iende mbele lazma tunahtaji check ndani ya bunge..kwenye hesabu checking ya njia ya jawabu la mathematical questions ni mhimu sana!!
Kwenye siasa upinzani ni chombo cha kuchek blunders za serkali iliyo madarakan..kw ufupi upinzani ndy imformers wa ujambazi wa wanasiasa kw wananchi wa piga kura.
Siku Chama kikiwa kimoja ndy siku itakua sherehe ya kundi jambazi why,it's because no imformers wa wananchi. Mfano kwa Tanzania sikuwahi sikia ufisadi ukibuliwa na Chama serkali ama mbunge wa Chama serkali hata siku moja..eg Escrow,Epa. Kagoda and etc.
Leo hii mtu anashangilia kufa upinzani unajiuliza hivi hyu na akili kweli?unajiuliza hivi ni mzalendo kweli?u najiuliza hivi role of democracy anaijua kweli?
Mshana Jr kuna watu hawatakuelewa sio tu kwasabb wewe umesema ukwl la Bali KwasabAbu ya matumbo yao na ubinafs wao.
Nataka niseme Upinzani ukifa ndy mtaoona nchi inavoibiwa..majambazi ya kisiasa yataweka sherehe kubwa kubwa!! Upinzani ni wa lazma uwe ni wa CCM,CDM ama CHauMa ni wa lazma by 100percent...Asante Mshana Jr kw kutupa angalizo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JokaKuu ninawaona akina Gambo, Makonda, Kibajaji, na Tambwe Hiza wengi kwenye CHADEMA ya sasa baada ya Dr. Slaa kuondoka.

Na wachochezi wa siasa hizo kaka zangu Lissu na Lema hawakwepi lawama kila mmoja kwa namna yake.
Mnyika pia anastahili Lawama kwa kukaa kimya muda mrefu. Kwanini kipindi kile hakumvuta pembeni mtu kama Halima Mdee na kumuambia siasa hizi za matusi siyo za kiwango chako ni za kiwango cha akina flani.

Mbowe kwenye matusi hayumo lakini kwenye yale mengine yale waliyo kuwa wanafanya waliokuwa wamejiaminisha CCM ilikuwa birth right yao nae hakwepi lawama. Anafanya hayo hayo kwenye chama chake hasa baada ya watu flani kukaa kimya au kuondoka chamani.
Unaongea jambo lisilokuwa na msingi kabisa, unawaita kina Lema na Lissu wachochezi kwa uchochezi upi wanaoufanya? Kuambiwa ukweli ndio mnawaita wachochezi!.

Iweje wawe wachochezi halafu mpaka leo bado wawe uraiani kwa serikali hii ya CCM?

Watu wa aina yako kwa namna moja au nyingine ndio mnafurahia Lissu kupigwa risasi, Lema kushikiliwa kituo cha polisi siku tatu bila kupelekwa mahakani, na mengine kama hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba umeongea mambo ya msingi sana.
Pamoja na yote ifike mahali lazima watu wa CDM waanze kukubali madhaifu yao na kuanza kuchukua hatua kurekebisha.

Tulipofikia sasa CDM imeanza kuchukua zile sifa mbaya za CCM, zamani tulikuwa tunaona vijana wa CCM badala ya kujenga hoja wanakimbilia kushambulia watu kwa matusi, jambo hili sasa limenukuliwa na wakereketwa na wanachama vijana wa CDM, tena tusipepese macho tuseme wazi hili limekolezwa sana na Lissu na zile kauli zake 'MaCCM', 'Dikteta uchwa', mara 'rubbish' au 'takataka'. Sasa vijana wa CDM ndio imekuwa lugha yao kuu humu mitandaoni hasa hapa JF.

Sasa hivi ni sifa kutukana hata mtu mzima anayestahili kupewa heshima kama mzazi wako kwa kisingizio huyu wa CCM na mimi ni wa CDM, au huyu anampinga kiongozi flani ndani ya chama.

Ukihoji jambo kwa uongozi wanaficha makosa kwa kukutangaza wewe msaliti umenunuliwa kukivuruga chama.

Kunyima uhuru wa mambo mbali mbali ndani ya CDM sasa limekuwa siyo jambo la kificho.

Makundi ndani ya CDM yamekuwa wazi wazi kwa sasa hata kama tutakataa huo ndio ukweli.

Ukabila imekuwa sera isiyo andikwa rasmi lakini inayopata nguvu miongoni mwa wapiga zumari ndani ya CDM.

Karibu hizo sifa zote mbaya nilizo taja zilikuwa alama ya ubovu wa CCM na ndiyo ushahidi unaipenda CCM kwa kushabikia hayo.

Kosa kubwa sana linaloitafuna CDM ni chama kukosa ITIKADI maalum itakayo kuwa ajenda kuu na DIRA ya chama, mfano zamani kulikuwa na ajenda ya UFISADI, sasa ni kurukia kila hoja au kauli ya viongozi wa vyama mbalimbali na serikali hata zingine huja kuidi na kuidhuru CDM.

CDM kwa sasa kila mtu amekuwa msemaji wa chama na katibu wa uenezi sera, propaganda, kauli za wengine hukirudi na kukiumiza chama.

Fukuza fukuza isiyo ya ulazima inakigharimu chama, angalia jinsi SILINDE alivyopata approval rate nzuri huko mitandaoni, nenda Youtube kwenye video alizo sema chochote baada ya kufukuzwa utaona ukweli wa hili suala.

Viongozi na wakereketwa wajisahihishe bado muda wa kuinusuru CHADEMA upo, tunataka upinzani imara.
Unazungumzia ukabila ndani ya CDM, ingependeza uoneshe huo ukabila uko vipi?

Kama kitu ni "rubbish" wewe ulitaka kiitwe apple?!

Suala la kununuliwa sio geni, tumeona Meya wa Iringa alichofanyiwa, kama wewe bado huamini it's up to you, tueleze; wewe binafsi jambo gani uliwahi kuhoji ukaitwa msaliti? km unawasemea wengine umefeli.

Unazungumzia makundi ndani ya CDM, ili kuepuka hoja zisizo na mashiko, hebu yataje tuyajue?

Kama kwa utu uzima wako unaouzungumzia unashindwa kujua nani mwenye mamlaka ya kutoa kauli/taarifa ndani ya chama na kushindwa kutofautisha unataka nani akusaidie kutambua hilo? unashauri Chadema watumie njia gani kuwafunga midomo wapenzi na wanachama wao?

Unataka Chadema waache kuwaadhibu wanaokwenda kinyume na makubaliano yao kwasababu unaogopa "approval rate" youtube!.. don't teach others your weakness.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom