Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,651
- 34,431
Kila chama kina taratibu zake ulitegemea CHADEMA kiwe na taratibu sawa na ccm ?Msimamo gani wa chama? Kumzuia mbunge kutekeleza majukumu yake? Zipo hatua nyingi za kuchukua ili kulinda uhai wa chama. Wangeweza hata kuwapa karipio lakini siyo kuwafukuza hasa kwenye kipindi hiki cha lala salama. Halafu wananchi wakiwapiga chini mnasingizia mmeibiwa kura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Turudi kwenye swali langu la pili mbona ccm kilimfukuza Membe bila karipio ?
Sent using Jamii Forums mobile app