Sio wakati wa kuitabiria mabaya CHADEMA

Sio wakati wa kuitabiria mabaya CHADEMA

Free and Fair Election ni mwiba mchungu kwa CCM na kama hawana shaka na hilo waruhusu tume ifanye kazi yake kwa ufanisi nadhani hata kaka Pascal atabadili mawazo yake kugombea CCM au atakua anatambua fika anaenda kugombea. Ila kwa udhalimu wa CCM wa sasa wengi wanaenda kuchukua nafasi na si kuchaguliwa.
CCM hii nchi wameifanya kama shamba la bibi kiasi ambacho ugumu si kuchaguliwa na wananchi ila kupita ndani ya chama na kua mgombea.

free and fair election wakati wanachama wenu wanawakimbia? mtawaweka wakina nan sasa
 
Kwani ni lazima kubadilisha kiongozi hata kama aliyepo bado anaonekana anafaa? tena kwenye kipindi kama hiki tulichopo?

Unavyosema kupinga kila kitu maana yake nini, so unataka wakubali kila kitu, au wakubali 50% ili wakuridhishe wewe?!

Kama mpinzani anasema hili haliko sawa kwasababu hii, kwanini wewe usiseme liko sawa kwasababu hii, badala yake unaamua kumuadhibu kwa risasi na kumlaza rumande kwa kesi za uongo?

Unataka wapinzani wageuke washangiliaji wa chama tawala, ikiwa hivyo kazi ya upinzani ataifanya nani? mnachotwa akili kirahisi sana.

Kama CCM wanataka kusifiwa kwa kile wanachofanya, then nao wawasifie Chadema kwasababu ndio wanawasukuma CCM kufanya wanachofanya, but sio wao walazimishe kusifiwa bila kumsifia anaewafanya watake kusifiwa.

Halafu unavyosema kutafuna pesa za serikali, hiyo serikali inatoa wapi pesa? hizo ni kodi za wananchi, sio pesa za serikali.

Kama unataka Chadema wakafanyie mikutano yao chini ya mwembe ndio ujue ni wazalendo huo ni mtazamo wako, Chadema wanastahili kuchagua eneo wanaloona bora wafanyie mambo yao, kuwa masikini au kufanya vitu vya kimasikini sio sifa, na haya mawazo ya kichovu ndio yametawala awamu hii.

Kuwa na chuo nakubaliana nawe wafundishe itikadi za chama chao, japo sidhani kama hicho chuo kitapewa usajili na serikali ya CCM, sidhani; lakini tena nakupinga unaposema wanaohama Chadema wana sababu za msingi, huu nao ni uongo.

Tumeona wengi wanalazimishwa kuhama Chadema kwa kuhongwa na serikali ya CCM, na wengine wamepigwa wakaumizwa kwasababu wamekataa, na wengine hata kuuwawa kwa sababu hizo hizo, hivyo unavyosema wanahama chama sababu ya kufuata itikadi ni uongo.

Mameya wanalazimishwa kujiuzulu bila sababu zozote za msingi, ni utapeli mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app

hehehehe na waliotimuliwa na ilkael mbowe kisa wamehudhuria bunge?
 
Chadema ni wabaguzi ndiyo tatizo Viongozi wao wakikosea wanasema ni ubinadamu Serikali inanitahidi kutekeleza kazi zake na matokeo yanaonekana wao wanatukana

Najua ni sikio la kufa lakini hawatafanikiwa mpaka siasa hizi za matusi walizoziasisi na kupinga pinga kila kitu wazipunguze
 
Tusiongeee saaana mkuu, wacha chama pendwa kiendeee kujinoa , nyie endeleeni ivo ivo sjui kukiwa na uchaguzi huru, time will tell
Bado haiondoi fact kwamba ni chama laghai, cha kijamaa kisicho na mjamaa Hata mmoja. Ndio maana uovu kwao sawa tuu kwa mwanaCCM! Ua, iba, onea, bambika Kesi nk so long uko CCM mambo yako poa tuu!

Ila amini usiamini siku ya anguko mtawindwa kama swala msiseme hatukuwaambia!
 
Unaelewa kiswahili? Nimekwambia siasa achana Nazo tunaongelea ubora wa chama na Sera zake, kama ni siasa kila sehem pabovu si nyie juzi mmetimua wabunge wenu kisa wameenda kuwakilisha wananchi wao, tukianza kuongelea madudu ya vyama apa cdm mnatia huruma! We nan kakwambia hata 30% ccm hawachukui? Kwa research gan uliofanya ya kutuaminisha ivo, mm ni mawili either ccm ama NCCR, kama hmtaki maoni bakini ivo ivo mkiendelea kujipa moyo wa uchaguzi huru ndo mnapita. Mnatia hasira hamjui tu
Chama kinaitwa cha Siasa then niache Siasa? Si ndio mzizi wa ulaghai wenyewe? Kwahiyo nikisema uchaguzi huru wewe unaona sio haki? Ndio uovu wenyewe huo!

Chama kinatakiwa kama ni cha kijamaa kiwe na wajamaa wewe unasema niachane na hayo! Sijui kama unaelewa kweli, sijakuelewa hoja yako ila nimekuelewa wewe!
 
Hakuna chama ambacho hakina mapungufu yake, lakini to what extent that's the problem! Izo sifa zote mbaya ulizoandika apo kwa ajili ya ccm ndo hizo hizo zoo cdm, kiufupi ni kwamba cdm hata kutambua makosa yao ni shida sana, hata ile hasira ya kupiga kura imepugua sana ukilinganisha na kipindi cha nyuma, nakumbuka uchaguzi wa wabunge ilifika mpka hatua wnanchi wnasema hata chadema wakiweka jiwe tunalipigia kura! Lakini ona sasa mlichofanya 2015.. What's this?? Bunge ilikua ni bado kazi kidogo tu chadema mchukue majimbo yote but what have you done in 2015?? Finishing tu ilikua imebaki na mko saaahv mnaaaminisha watu cdm ndo chma chenye nn??? WTF is siasa za ukwel 2015 mmeleta Yale Yale, sasa usidhan ccm wtarudi tena kwenye Yale mtatizo walikua wanafanya zaman, by the way mbowe ameshapewa warning na wazee wa kimachame msipoangalia mtabaki kila SKU mnapiga kelele apa kwamba cdm sjui sio mjengo ni imani.. Pigieni kura izo iman zenu
Huko shule hukufundishwa Hata kuandika? Unaumiza macho na Bahati mbaya unaonekana wewe ni kati ya wale Mtaji wa CCM as per judge Nyalali!

Mosi, usitetee usichokijua, Pili ukiwa mkabila uwe na akili maana kunawatu sikuhizi wanajitoa ufahamu simply kwasababu ya ukabila tuu nadhani wewe haumo humo!

Tatu, unapoongelea kitu uwe na facts, usiongee tuu hewani ati Mimi sawa na wewe au CCM sawa na CHADEMA, kwa lipi? Je CHADEMA wanabambika Kesi kwa wanaCCM, au wanawaUA? au wanaWATESA?
 
Chadema ni chama bora sana, lakini hakina tofauti na CCM hata kidogo in terms of individuals. Wote ni wachumia tumbo, wote ni walafi, wote ni wapenda madaraka, wote hawaiishi demokrasia kama wanavyoitangaza, lakini ni muhimu kiwepo kwa sababu ya ulinganifu, chachu ya maendeleo na demokrasia ya mdomoni.
 
Bado haiondoi fact kwamba ni chama laghai, cha kijamaa kisicho na mjamaa Hata mmoja. Ndio maana uovu kwao sawa tuu kwa mwanaCCM! Ua, iba, onea, bambika Kesi nk so long uko CCM mambo yako poa tuu!

Ila amini usiamini siku ya anguko mtawindwa kama swala msiseme hatukuwaambia!
😂 😂 😂 😂 ni maoni yako pia, unajua pia upinzani ni muhimu hatuwezi kua na chama kimoja kinaendesha nchi kwahio endeeleni tu
 
Chama kinaitwa cha Siasa then niache Siasa? Si ndio mzizi wa ulaghai wenyewe? Kwahiyo nikisema uchaguzi huru wewe unaona sio haki? Ndio uovu wenyewe huo!

Chama kinatakiwa kama ni cha kijamaa kiwe na wajamaa wewe unasema niachane na hayo! Sijui kama unaelewa kweli, sijakuelewa hoja yako ila nimekuelewa wewe!
 
Huko shule hukufundishwa Hata kuandika? Unaumiza macho na Bahati mbaya unaonekana wewe ni kati ya wale Mtaji wa CCM as per judge Nyalali!

Mosi, usitetee usichokijua, Pili ukiwa mkabila uwe na akili maana kunawatu sikuhizi wanajitoa ufahamu simply kwasababu ya ukabila tuu nadhani wewe haumo humo!

Tatu, unapoongelea kitu uwe na facts, usiongee tuu hewani ati Mimi sawa na wewe au CCM sawa na CHADEMA, kwa lipi? Je CHADEMA wanabambika Kesi kwa wanaCCM, au wanawaUA? au wanaWATESA?

hizo ni baadhi ya weakness za chama! lakini bado ni watu wanaoweza kutengeneza hoja zenye kusimama, nikupe mfano mdogo, ukiangalia maono ya magufuli kipindi cha corona alafu ukiangalia na mono ya mbowe alafu ukija kuskiliza conclusion ya WHO ndo utajua nan akili zimo na nan kazi yake bendera fuata upepo,mm sjui huo ushindi mnauongeleea ni upi lakini mm binafsi siwezi kumwaga kura yangu kwa mtu yoyote wa cdm nlishafanya ivo kipindi mlivokua na hoja za kuibua madudu serikalini but not anymore, bila shaka watawapigia kura watu wengine but kwangu mm its a not, ingawa these few days nmeona progress ya siasa safi kutoka kwa NCCR MAGEUZI, ingawa bado chadema ina nafasi yake kubwa sana katika hii nchi
 
Namalizia kwa kukuuliza Mkuu Mshana Jr, kati ya CHADEMA na CCM, kwa lugha uliyotumia, ni chama kipi kinapigwa vita sana?
mwengeso hili swali liko too general
. kupigwa vita na nani? Hapo kuna viongozi... Hapo kuna wananchi... Hapo kuna wafaidikaji.. Labda ungefafanua

Jr[emoji769]

Mkuu Mshana Jr, unataka mimi ndiye nifafanue CHADEMA kupigwa vita wakati wewe ndiye umeliweka kwenye bandiko lako! Nakunukuu CHADEMA inapigwa vita sana kwakuwa ni mwiba mchungu kwa CCM. Project za kukiangamiza hiki chama ni nyingi mno. Watu wanaotumika ni wengi mno.
 
Chadema ni chama bora sana, lakini hakina tofauti na CCM hata kidogo in terms of individuals. Wote ni wachumia tumbo, wote ni walafi, wote ni wapenda madaraka, wote hawaiishi demokrasia kama wanavyoitangaza, lakini ni muhimu kiwepo kwa sababu ya ulinganifu, chachu ya maendeleo na demokrasia ya mdomoni.

na ni muhimu watumie weakness zilizopo sasa kujiboresha kupata imani kubwa zaidi
 
Naona wachangiaji na mshama Jr bado mnaamini CDM itasurvive well kwa makosa wanayoendelea kufanya, Kufa haifi si itabaki kama ilivyo TLP kubwa Cdm wanalopaswa kujua ni kula na kipofu tu, ukila na kipofu hakikisha humshiki mkono na hakungundui kama nawe unakula kisha mnakutana baadaye kuzungumza

Chakula ni muhimu na kadri siku zinavyozidi CDM inapoteza wadhamini(wahisani), ruzuku itapungua, wanacdm hela hawana na hivyo chama kitakuwa rahisi kuporomoka kwenye ranks

Ebu wapenzi tuangalieni mbele na kuitaka CDM iishi na wasaliti, mabubu, vipofu, wagonjwa, wajanja na wakorofi huku ikijitenga na uhalifu
Code:
CHADEMA yote si watiifu ni wahalifu
 
Kitu pekee ccm inavishinda vyama vingine ni kwamba vyombo vya dola ni ccm na tume ya uchaguzi ni ccm.

Kwa mujibu wa katibu mkuu wa ccm Bashiru Ally alisema ccm itavitumia vyombo vya dola kushinda uchaguzi, je huu ndiyo uwezo wa kujibadilisha wa ccm ??

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kwahiyo hata timuatimua ya CHADEMA sasa hivi ni vyombo vya dola na tume ya uchaguzi vinahusika. Siwezi kukulaumu ndivyo ulivyokaririshwa.

Halafu ngoja nikutoe ujinga kidogo. Bashiru hukusema CCM itatumia vyombo vya dola kushinda uchaguzi. Alisema itatumia dola. Tofautisha Kati ya dola na vyombo vya dola. Dola ni Serikali, ndo maana tunasemaga lengo lolote la chama cha siasa ni kushika dola maana yake ni kushika Serikali. Vyombo vya dola yaani vyombo vya Serikali ndiyo majeshi kama polisi, jeshi n.k

Sasa chama kinachotumia dola kushinda uchaguzi. Maana yake kinaitumia Serikali ambayo ndo inatekeleza ilani ya chama husika. Serikali inapotekeleza kwa ufanisi ilani ya chama, maana itakisadia chama hicho kushinda uchaguzi.

Haya dola ni nini ?na vyombo vya dola ni nini ?

Kutumia dola ndiyo uwezo wa kujibadilisha wa ccm ?

Halafu unaposema unitoe tongotongo nani kakwambia mimi nina tongotongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa kwahiyo hata timuatimua ya CHADEMA sasa hivi ni vyombo vya dola na tume ya uchaguzi vinahusika. Siwezi kukulaumu ndivyo ulivyokaririshwa.

Halafu ngoja nikutoe ujinga kidogo. Bashiru hukusema CCM itatumia vyombo vya dola kushinda uchaguzi. Alisema itatumia dola. Tofautisha Kati ya dola na vyombo vya dola. Dola ni Serikali, ndo maana tunasemaga lengo lolote la chama cha siasa ni kushika dola maana yake ni kushika Serikali. Vyombo vya dola yaani vyombo vya Serikali ndiyo majeshi kama polisi, jeshi n.k

Sasa chama kinachotumia dola kushinda uchaguzi. Maana yake kinaitumia Serikali ambayo ndo inatekeleza ilani ya chama husika. Serikali inapotekeleza kwa ufanisi ilani ya chama, maana itakisadia chama hicho kushinda uchaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumzia timuatimua unataka chama kiendelee kumshikilia mwanachama ambaye hakubaliani na msimamo wa chama?

Mbona ccm ilimtimua Membe ndani ya chama ?

Msimamo gani wa chama? Kumzuia mbunge kutekeleza majukumu yake? Zipo hatua nyingi za kuchukua ili kulinda uhai wa chama. Wangeweza hata kuwapa karipio lakini siyo kuwafukuza hasa kwenye kipindi hiki cha lala salama. Halafu wananchi wakiwapiga chini mnasingizia mmeibiwa kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom