Umuhimu wa tendo la ndoa Kwa mwanaume

Umuhimu wa tendo la ndoa Kwa mwanaume

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
5,036
Reaction score
19,976
Salaam jamiiforum.

Siyo lazima kuwa kwenye ndoa ndipo ufanye hivyo,japo Kwa mujibu wa maandiko kwenye vitabu vya dini,kufanya tendo hilo bila ndoa au mwenzi anayetambulika kisheria,huhesabika ni zinaa.

Yaani ni chukizo mbele za Mungu.

Ila ukweli ni kwamba hili jambo ni tulizo Kwa wanaume wengi sana waliokamilika, linaleta furaha, kuongezeka nijiamini pamoja na uwezo wa kufanya mambo Kwa umakini.

UKWELI MCHUNGU.

Ili kuendelea kupata haya mambo mara Kwa mara na kwa upendo wenye hisia nzuri,ni kuwa stable kwenye kipato,, wanaume mapenzi ni hisia.

Kupewa tendo na mtu ambaye unaona kabisa amekupa Kwa kutimiza wajibu ,ila Hana hisia na wewe inapunguza ladha ya tendo
Unachopaswa kufanya ni kumtengenezea mazingira rafiki huyo mpenzi wako,Kwa vitu vidogo na vichache ila vyenye kumpa tabasamu na hisia za karibu.

Pesa Kwanza ,uanaume pesa

Asubuhi njema
 
Screenshot_20261110-153813~2.jpg
 
Back
Top Bottom