hahahaaaaMji mkuu upo kwa akina mwalimu Mpwayungu!Very horrible & so sweet!
hahahaaaaMji mkuu upo kwa akina mwalimu Mpwayungu!Very horrible & so sweet!
soon dodoma city kuwa capital city itazaa ukabilaMji mkuu upo kwa akina mwalimu Mpwayungu!Very horrible & so sweet!
Vipi kwa Nairobi na Mombasa?Hautakuja kutokea hata miaka 10000
Mkoa ulikoko bara upambane na mji wenye bandari
Australia pia hivyo hivyo, Makao Makuu ni Brisbane lakini Jiji kuu la Kibiashara ni Sydney.Kwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika kundi hili. Nchi hizo zina makao makuu ya nchi madogo kuliko jiji au majiji ya Biashara. Nitatoa mifano michache maarufu.
1. United States of America.
Makao makuu: Washington DC
Jiji kubwa la kibiashara: New York City.
2. Peoples Republic of China.
Makao Makuu: Beijing
Jiji kubwa : Shanghai
3. Federal Republic of Brazil
Makao makuu: Brasilia
Jiji kubwa: Sao Paulo
4. Federal Republic of Nigeria
Makao Makuu: Abuja
Jiji Kubwa: Lagos
5. Republic of South Africa
Makao Makuu: Pretoria(ilipo executive)
Jiji Kubwa: Johannesburg.
6. The Kingdom of Morocco
Makao Makuu: Rabat
Jiji kubwa: Casablanca.
7. Scotland
Makao makuu: Edinburgh.
Jiji Kubwa: Glasgow
8. Canada
Makao makuu: Ottawa
Jiji kubwa: Toronto
Kwa hiyo hoja ya Dodoma kuwa ndogo haina mashiko, haina miguu ya kusimamia. Miji yote hujengwa na wananchi na serikali yao kwa mipango na vipaumbele. Viongozi waendelee kuipa Dodoma umuhimu wake kama makao makuu ya nchi.
Mashirika binafsi, mashirika ya dini na mashirika ya umma pia yaipe Dodoma umuhimu kama makao makuu ya nchi.
Tutatengeneza jiji la pili muhimu litakalochangia mapato ya serikali na hivyo maendeleo ya nchi na watu wake.
Australia jiji kubwa SydneyKwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika kundi hili. Nchi hizo zina makao makuu ya nchi madogo kuliko jiji au majiji ya Biashara. Nitatoa mifano michache maarufu.
1. United States of America.
Makao makuu: Washington DC
Jiji kubwa la kibiashara: New York City.
2. Peoples Republic of China.
Makao Makuu: Beijing
Jiji kubwa : Shanghai
3. Federal Republic of Brazil
Makao makuu: Brasilia
Jiji kubwa: Sao Paulo
4. Federal Republic of Nigeria
Makao Makuu: Abuja
Jiji Kubwa: Lagos
5. Republic of South Africa
Makao Makuu: Pretoria(ilipo executive)
Jiji Kubwa: Johannesburg.
6. The Kingdom of Morocco
Makao Makuu: Rabat
Jiji kubwa: Casablanca.
7. Scotland
Makao makuu: Edinburgh.
Jiji Kubwa: Glasgow
8. Canada
Makao makuu: Ottawa
Jiji kubwa: Toronto
Kwa hiyo hoja ya Dodoma kuwa ndogo haina mashiko, haina miguu ya kusimamia. Miji yote hujengwa na wananchi na serikali yao kwa mipango na vipaumbele. Viongozi waendelee kuipa Dodoma umuhimu wake kama makao makuu ya nchi.
Mashirika binafsi, mashirika ya dini na mashirika ya umma pia yaipe Dodoma umuhimu kama makao makuu ya nchi.
Tutatengeneza jiji la pili muhimu litakalochangia mapato ya serikali na hivyo maendeleo ya nchi na watu wake.
Ongezea na hiiKwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika kundi hili. Nchi hizo zina makao makuu ya nchi madogo kuliko jiji au majiji ya Biashara. Nitatoa mifano michache maarufu.
1. United States of America.
Makao makuu: Washington DC
Jiji kubwa la kibiashara: New York City.
2. Peoples Republic of China.
Makao Makuu: Beijing
Jiji kubwa : Shanghai
3. Federal Republic of Brazil
Makao makuu: Brasilia
Jiji kubwa: Sao Paulo
4. Federal Republic of Nigeria
Makao Makuu: Abuja
Jiji Kubwa: Lagos
5. Republic of South Africa
Makao Makuu: Pretoria(ilipo executive)
Jiji Kubwa: Johannesburg.
6. The Kingdom of Morocco
Makao Makuu: Rabat
Jiji kubwa: Casablanca.
7. Scotland
Makao makuu: Edinburgh.
Jiji Kubwa: Glasgow
8. Canada
Makao makuu: Ottawa
Jiji kubwa: Toronto
Kwa hiyo hoja ya Dodoma kuwa ndogo haina mashiko, haina miguu ya kusimamia. Miji yote hujengwa na wananchi na serikali yao kwa mipango na vipaumbele. Viongozi waendelee kuipa Dodoma umuhimu wake kama makao makuu ya nchi.
Mashirika binafsi, mashirika ya dini na mashirika ya umma pia yaipe Dodoma umuhimu kama makao makuu ya nchi.
Tutatengeneza jiji la pili muhimu litakalochangia mapato ya serikali na hivyo maendeleo ya nchi na watu wake.
LindiKwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika kundi hili. Nchi hizo zina makao makuu ya nchi madogo kuliko jiji au majiji ya Biashara. Nitatoa mifano michache maarufu.
1. United States of America.
Makao makuu: Washington DC
Jiji kubwa la kibiashara: New York City.
2. Peoples Republic of China.
Makao Makuu: Beijing
Jiji kubwa : Shanghai
3. Federal Republic of Brazil
Makao makuu: Brasilia
Jiji kubwa: Sao Paulo
4. Federal Republic of Nigeria
Makao Makuu: Abuja
Jiji Kubwa: Lagos
5. Republic of South Africa
Makao Makuu: Pretoria(ilipo executive)
Jiji Kubwa: Johannesburg.
6. The Kingdom of Morocco
Makao Makuu: Rabat
Jiji kubwa: Casablanca.
7. Scotland
Makao makuu: Edinburgh.
Jiji Kubwa: Glasgow
8. Canada
Makao makuu: Ottawa
Jiji kubwa: Toronto
Kwa hiyo hoja ya Dodoma kuwa ndogo haina mashiko, haina miguu ya kusimamia. Miji yote hujengwa na wananchi na serikali yao kwa mipango na vipaumbele. Viongozi waendelee kuipa Dodoma umuhimu wake kama makao makuu ya nchi.
Mashirika binafsi, mashirika ya dini na mashirika ya umma pia yaipe Dodoma umuhimu kama makao makuu ya nchi.
Tutatengeneza jiji la pili muhimu litakalochangia mapato ya serikali na hivyo maendeleo ya nchi na watu wake.
Toronto inakaa wapi sasa mkuu!8. Mji mkuu wa Canada sio Montreal kweli?!! Nirudishieni kumbukumbu zangu za darasa la 6/7; huko nilikuwa na uwezo wa kuitaja miji mikuu ya dunia yote!!