ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 19,666
- 71,798
Utasikia fulani anaumwa mwanajumuiya tumchangie mnachanga!😂😂😂Huzijui vizuri jumuiya eeh!?wanapenda hela balaa
Siku umwa wewe halafu uwaambie wanakupiga chenga michango zero
Utasikia fulani anaumwa mwanajumuiya tumchangie mnachanga!😂😂😂Huzijui vizuri jumuiya eeh!?wanapenda hela balaa
Umetumia neno "wengi" sio wote,ukiwa haupo kwenye hilo kundi la "wengi" inabidi uamue kuelewa au uamini huo ujumbe haukuhusu wewe(upite hivi),ni kweli ujuzi wa uandishi unahitajika ila vipi mtu huyo akikosa huo ujuzi?,hapo ndipo ninaposema kuelewa ni kuamua, tunapoteza talent nyingi sana hata mtaani kwakuwa hatuwapi watu chance ya kuwaelewa, ila verified qualifications kama huo ujuzi wa uandishi ulogusia.Lengo la kuandika makala kwenye majukwaa ya umma ya wazi mfano JF ni kufikisha ujumbe fulani kwa hadhira (wasomaji) yako.
Hivyo lazima uwe na ujuzi wa kutosha wa uandishi. Ujumbe uwafikie wengi waelewe kusudio lako.
Huu ujumbe mahususi kwa matumizi ya watu wengi(public consumption).
Angetaka waelewe watu wachache angewalenga hao moja kwa moja kwa ujumbe binafsi yaani private message (PM).
Angeandika kwa ajili ya manufaa yake binafsi tu angehifadhi kwenye simu, computer au angebandika ukutani chumbani kwake, au angeandika kwenye shajara (diary) yake.
Kabisaa ukiumwa wewe wewe utasikia haipo kwenye katiba,😂Utasikia fulani anaumwa mwanajumuiya tumchangie mnachanga!
Siku umwa wewe halafu uwaambie wanakupiga chenga michango zero
Shukran mkuu. Issue Huwa ni attachment ambayo watu wengi wanaishi nayo. Attachment ndo kichocheo cha suffering katika ulimwengu huu. So waache waendeleze cycles our job is to wake them upKimsingi upo sahihi mkuu,usijali sana maoni ya watu juu ya ulichokiwasilisha,swala la uelewa ni la mtu binafsi,anachagua aelewe au asielewe,contrast ulizoziweka wengine ndo wanaziishi so ni ngumu wao kukupa approval na kukuelewa,bora ya wewe ambaye ushazijua,humu pia watu wanaishi Kwa makundi Mshana Jr anayaita cycle,so Mmoja akipinga hao cycle yake wote watapinga kama mandezi,by the way ni ujumbe mzuri Kwa tafakari ya asubuhi ya jumapili kuliko kuamka tu na kufakamia viporo!!!
Kwa hivyo mtu akiwa ana ujumbe mzuri lakini anashindwa kuwasilisha vizuri.Umetumia neno "wengi" sio wote,ukiwa haupo kwenye hilo kundi la "wengi" inabidi uamue kuelewa au uamini huo ujumbe haukuhusu wewe(upite hivi),ni kweli ujuzi wa uandishi unahitajika ila vipi mtu huyo akikosa huo ujuzi?,hapo ndipo ninaposema kuelewa ni kuamua, tunapoteza talent nyingi sana hata mtaani kwakuwa hatuwapi watu chance ya kuwaelewa, ila verified qualifications kama huo ujuzi wa uandishi ulogusia.
Ungesoma Aya ya mwisho, nimehitimisha vizuri tu.Kwa hivyo mtu akiwa ana ujumbe mzuri lakini anashindwa kuwasilisha vizuri.
Asiulizwe anamaanisha nini?
Kuomba ufafanuzi (clarification) lengo hasa kuondoa utata (ambiguity) na tafsiri tofauti (misinterpretation).
Ila wewe na mleta mada mmechukulia anakosolewa. Hilo nalo tatizo tena kubwa.
Pamoja mkuu.Ungesoma Aya ya mwisho, nimehitimisha vizuri tu.
Human rights bila virtue ndiyo nini?Of course naelewa, ila ndo kilichofanywa na wengi bila wao kujua. Huo uelewa ni wa mtu anayeona the tip of the ice berg. Ila nikwambie tu, both end Zinamapungufu yake, human rights bila virtue ndani yake, bila love for other people lazima ilete vita tu. Kuna namna ambavyo dini japo ni doctrine, Ina leta watu pamoja na kidumisha upendo. Most teachings zinafaida. Japo of course Bado Kuna watu wanauana kisa dini. So nikupima mizani na kuona wapi panafaa. That's all
I truly get you..Human rights bila virtue ndiyo nini?
Human rights ni nini? Virtue ni nini?
Mtu akifuata human rights zinazoheshimu utu wa mtu mwingine atapigana vita vipi?
Unachosema hapo ni kwamba watu hawawezi kuishi vizuri bila dini.
Hii si kweli.
Kwa sababu hata sasa duniani nchi ambazo zina tamaduni za ku treat watu vizuri sana, kwa kufuata human rights, mpaka jela, hakuna kuuana sana, ni nchi ambazo zinaongozwa secular na zina watu wengi wasioamini Mungu wala kwenda makanisani.
Na nchi ambazo zina watu wengi wenye kusema wanaamini Mungu na dini ndiyo hizo watu wanauana kimbari na kikabila na en masse kwenye chaguzi kama Octobwr 29 2025, na maisha ya mtu hayana thamani.
Kwa hivyo ukiangalia maisha Norway, Finland, Sweden na Denmark ambako watu washaacha kwenda makanisani, wanaishi ki secular tu kwa kiasi kikubwa, unaona watu wanaheshimu utu wa mtu zaidi ya huku kwetu Somalia, Rwanda na Burundi na Tanzania ambako tunauana kwa mamilioni huku tukijidanganya kuwa tunafuata dini sana.
Hilo tu linaonesha watu wanaweza kujiongoza wenyewe vizuri katika mifumo secular ya kikatiba, kisheria, human rights, na wale ambao kila kitu wanaingiza dini unaona kabisa hawajali utu wa mtu, wanauana, hata mtu anapofungwa jela ni kumuadhibu kwa kisasi si kumrekebisha.
Unaona kabisa dini inaharibu mambo, inaleta ubaguzi, inalwta a false sense of righteous exceptionalism, haitengenezi watu kuishi vizuri.
Ni kama watu waliochanganyikiwa hiviChagua lugha moja unayoifahamu vizuri kisha uitumie. Hii kuchanganya misimbo bila sababu za msingi ni aina mojawapo ya ushamba na ulimbukeni tulionao Wabongo. Pengine ni kutaka kuonekana kuwa tumesoma. Ajabu sasa tukiambiwa tuonyeshe huo "usomi" kwa kuandika au kuzungumza hiyo lugha ya "kisomi" ni majanga tupu.
Kiingereza hatukiwezi mbali na kuchomekea chomekea hivi kiholela bila sababu za msingi. Kiswahili fasaha nacho kimeshaanza kutushinda. Lugha za mama tushaachana nazo ali mradi vurugu tupu! 😔
1.Hatuhitaji dini ili kuishi vizuri. Tunahitaji maarifa, elimu na ustaarabu.I truly get you..
Uko sahihi kabisa, but we are here together, in Africa or maybe uko nje, but tunazungumzia uhalisia wa hapa.
Human rights (haki za binadamu) ni haki ambazo kila mtu anapaswa kuwa nazo kwa sababu tu ni binadamu kama haki ya kuishi, usalama, uhuru wa mawazo, kutoteswa, na kuheshimiwa.
Virtue (fadhila/maadili mema) ni tabia nzuri za mtu binafsi, kama uaminifu, huruma, haki, uvumilivu, au kujizuia. Mostly dini imebeba virtues Kwa wingi. Through parables and teachings.
The human ego, is inflated when one thinks he's better than another... Umetoa mifano ya nchi za wenzetu, kumbuka what builds them may seem to be secular but it's their history, it's how they build a generation from when a child is born. Hata kama Leo kungekua na dini, Bado wasingeweza kuuwana, ni misingi ambayo wamejiwekea. So dini wouldn't be a barrier to them.
Hoja yangu ilikua dini ni kama kivuli tu, na sio tatizo haswa, it's we humans. Tunasingizia dini ila ni ukabila, ni mabaki ya utumwa, ni ukoloni mambo Leo, ni trauma za mapito ya umaskini. It goes way deep. So hii ya kusema dini ni chanzo ni uongo, of course Kwa nje inaonekana hivyo. But we are not attacking the right frog.
I believe we need to start seeing things differently, wenzetu wametuzidi kwenye Hilo, wametuletea dini na Bado hao hao wametuletea science, na Bado hao hao wameanzisha movements za feminism na ushoga.. na Bado they're free to do whatever they want. Sisi ambao Bado tuko trapped with all that mess, hatuoni nje tunabaki kuwa victims wa kitu ambacho hatukukianzisha.
Hapa tutabishana sana lakini we both know,1.Hatuhitaji dini ili kuishi vizuri.
2. Nchi ambazo zina watu wengi wasioamini dini wala Mungu zilizojiwekea mifumo ya watu tu mizuri, zinazothamini utu wa mtu bila kujali dini, zinazothamini human rights tu, zimefanya vizuti kuliko nchi zenye watu wengi wanaoamini dini na Mungu.
3. Hii habari nzima kwamba tunahitaji dini ili tuishi vizuri ni ujinga tunaojijaza wenyewe tu. Ushahidi wa kulinganisha nchi zenye watu wengi wanaoamini dini na nchi zenye watu wengi wasioamini dini umetuonesha hili.Pia hili, hii habari ya kusema hatuwezi kuishi vizuri bika dini, ni tusi la kuutukana na kuudogosha uwezo wa watu. Hapa kuna ujinga tu wa kuufuta kwenye janii fulani. Suala si kwamba tunahitaji dini, suala ni kwamba tunahitaji elimu na ustaarabu.
4. Unakosea kudhani kuwa dini ndiyo imeweka virtue/morality, wakati kiukweli human morality ndiyo imetunga dini, halafu ukafikiri kuwa dini ndiyo imetupa virtue/morality. You are nit peeling this onion far and deep enough. Dini inewekwa na human morality, human morality haijaletwa na dini. Kwa hiyo, kama tulivyounda dini kwa kutumia human morality, kwa sababu tulikuwa na ujinga mwingi huko nyuma hatukuwa na explanation ya vitu vingi, tukatunga hadithi za Mungu na mitume, sasa hivi tushaelimika tunaweza kuondoa hizo habari za Mungu na mitume tukaweka a secular morality bila kupitia hadithi za uongo za Mungu na mitume.
Kwa jinsi hii tunaweza kujenga a better morality that is more inclusive na si ya kuwatendea mema watu wa dini yetu tu, na kubagua watu wa dini tofauti (dini kubwa karibu zote zinafanya hivi) bali tunaweza kujenga morality inayotokana na rwspect for human dignity bila kujali dini ya mtu.
Ni vigumu kuondokana na dini katika maeneo yenye umasikini na maisha magumu. Tukipata maendeleo umuhimu wa dini utapungua sana.1.Hatuhitaji dini ili kuishi vizuri. Tunahitaji maarifa, elimu na ustaarabu.
2. Nchi ambazo zina watu wengi wasioamini dini wala Mungu zilizojiwekea mifumo ya watu tu mizuri, zinazothamini utu wa mtu bila kujali dini, zinazothamini human rights tu, zimefanya vizuri kuliko nchi zenye watu wengi wanaoamini dini na Mungu.
3. Hii habari nzima kwamba tunahitaji dini ili tuishi vizuri ni ujinga tunaojijaza wenyewe tu. Ushahidi wa kulinganisha nchi zenye watu wengi wanaoamini dini na nchi zenye watu wengi wasioamini dini umetuonesha hili. Mifano nimeotaja hapo juu.Pia hili, hii habari ya kusema hatuwezi kuishi vizuri bila dini, ni tusi la kuutukana na kuudogosha uwezo wa watu. Hapa kuna ujinga tu wa kuufuta kwenye jamii fulani. Suala si kwamba tunahitaji dini, suala ni kwamba tunahitaji elimu na ustaarabu. Dini kwa sehemu kubwa ni chanzo cha matatizo si suluhisho la matatizo.
4. Unakosea kudhani kuwa dini ndiyo imeweka virtue/morality, wakati kiukweli human morality (na politics) ndiyo imetunga dini, halafu ukafikiri kuwa dini ndiyo imetupa virtue/morality. You are not peeling this onion far and deep enough. Dini imewekwa na human morality, human morality haijaletwa na dini. Kwa hiyo, kama tulivyounda dini kwa kutumia human morality, kwa sababu tulikuwa na ujinga mwingi huko nyuma hatukuwa na explanation ya vitu vingi, tukatunga hadithi za Mungu na mitume, sasa hivi tushaelimika tunaweza kuondoa hizo habari za Mungu na mitume tukaweka a secular morality bila kupitia hadithi za uongo za Mungu na mitume.
Kwa jinsi hii tunaweza kujenga a better morality that is more inclusive na si ya kuwatendea mema watu wa dini yetu tu, na kubagua watu wa dini tofauti (dini kubwa karibu zote zinafanya hivi) bali tunaweza kujenga morality inayotokana na rwspect for human dignity bila kujali dini ya mtu.
Kweli kabisa mkuu, yeye anafananisha nchi kubwa ambazo tayari wamesha Jenga misingi Bora, na jamii iliyo elimikaNi vigumu kuondokana na dini katika maeneo yenye umasikini na maisha magumu. Tukipata maendeleo umuhimu wa dini utapungua sana.
Unamaanisha dini zina msaada katika kutengeneza jamii bora na highest social order au unatambua tu kwamba kuendelea kuwepo kwa kiwango kikubwa cha dini Africa kwa sasa ni matokeo ya hali yetu ya umasikini, maendeleo duni na kiwango kidogo cha social order?Hapa tutabishana sana lakini we both know,
Tunajua, humans change with time, and indifference of one's opinions is inevitable. Huwezi kuniambia hizo secular morality ndo special sana. A human being has ego. He believes to be true even when he's wrong. Secular morality is important of course, but again we forget where it thrives from, it thrives from a well organized and organized society. Where does that society begin? From the family level. How is a good family built? From parents with moral virtues. So kiini kinaanzia Kwa mtu mmoja mmoja.
Linapokuja swala la secular morality za kisheria na government, hizi zote ni meaningless kama kiini(family level) hakina moral and virtuas elements. Je mtu anazipateje hizo elements?
Dini inazigusa Moja Kwa Moja. That's it period. Hasa Kwa sisi waafrika ambao wengi ni ignorant na tumebeba trauma za utumwa. Hii doctrine tunayo ikimbia ndo nyezo zilizo baki baada ya ukabila na tamaduni nyingi kufa.
Kingine nilisema Toka mwanzo hizi zote ni doctrine. Ila Kwa manufaa yetu sote, kukimbia na kutafta safety onto looking at other nations. We're just being delusional.
Kwanini ma ethiest mnapenda sana, kutafta dark side ya dini? Because you think in terms of wright and wrong. Kizazi hiki ambacho kinamkataa mungu ndo the worst that has ever been.
Umeandika kama vile mtoto hawezi kujifunza kutoka kwa wazazi wenye secular morality.Hapa tutabishana sana lakini we both know,
Tunajua, humans change with time, and indifference of one's opinions is inevitable. Huwezi kuniambia hizo secular morality ndo special sana. A human being has ego. He believes to be true even when he's wrong. Secular morality is important of course, but again we forget where it thrives from, it thrives from a well organized and organized society. Where does that society begin? From the family level. How is a good family built? From parents with moral virtues. So kiini kinaanzia Kwa mtu mmoja mmoja.
Linapokuja swala la secular morality za kisheria na government, hizi zote ni meaningless kama kiini(family level) hakina moral and virtuas elements. Je mtu anazipateje hizo elements?
Dini inazigusa Moja Kwa Moja. That's it period. Hasa Kwa sisi waafrika ambao wengi ni ignorant na tumebeba trauma za utumwa. Hii doctrine tunayo ikimbia ndo nyezo zilizo baki baada ya ukabila na tamaduni nyingi kufa.
Kingine nilisema Toka mwanzo hizi zote ni doctrine. Ila Kwa manufaa yetu sote, kukimbia na kutafta safety onto looking at other nations. We're just being delusional.
Kwanini ma ethiest mnapenda sana, kutafta dark side ya dini? Because you think in terms of wright and wrong. Kizazi hiki ambacho kinamkataa mungu ndo the worst that has ever been.
Exactly.Ni vigumu kuondokana na dini katika maeneo yenye umasikini na maisha magumu. Tukipata maendeleo umuhimu wa dini utapungua sana.
Mbona una attack mkuu? Nia yangu ni kuonesha application ya hiyo secular morality kwenye jamii iliyo progamiwa the opposite of it.Umeandika kama vile mtoto hawezi kujifunza kutoka kwa wazazi wenye secular morality.
Yet unasema unaelewa kuwa dini ni mchongo tu.
You are contradicting yourself.