Sio Mungu tu tuliyemkataa

Sio Mungu tu tuliyemkataa

Another Sunday, another boredom, another weekend. Nimeamka Salama namshukuru Mungu. It got me thinking, when was the last time going to church? Je namshukuru Mungu kweli, au naongea tu Kwa vile ni msemo wa Kila siku(jumapili especially!) je huyo Mungu WA kanisani nisiyemuamini Kwa nini bado naona anafaa?

Wengi walio kulia katika strong religious families one of the things never miss church. Lazima uende hata kama unaumwa, Mzee alikua anatucharaza, sikupenda kwenda, wala sikutaka kusikia mambo ya kanisani. I hated it, I hated false claims of God, who I knew never believed existed. Toka nikiwa mdogo sikupenda na sikutaka kukubali kuamini Kuna Mungu, mungu aliyefanya mtu wangu wa karibu kuugua na kufa mbele yangu bila hatia.

Ilikua ni scam ya kuwafanya watu wa hope kwenye kitu kisicho kuwepo, na kujifariji life will get better, while ukweli nothing changes when nothing happens.

Ila, Kuna kitu najifunza, despite all that Kuna maana iliyopo behind.. sometimes tuna Fanya vitu based on our experiences. Tunamkataa mungu, (najua hayupo) because tunajichukia wenyewe. Tunaepuka maandhari Fulani kwasababu yana tu trigger past hurts.

Tunaaacha kukaa karibu na watu Fulani kwa sababu tunahisi wana element za wale walotuumiza.

Moja ya vitu vikuu vinavyo ifanya society I thrive, ni social connection.

Lakini kadri unavyokua, unaanza kuona kwamba si kila kitu kinabebwa na “belief.” Kuna vitu vina survive hata pale ambapo imani imekufa.
Na mojawapo ni connection ya watu kwa watu.

Kanisa, msikiti, temples, vikundi vya jamii mara nyingi havikudumu tu kwa sababu watu waliamini kila kitu walichoambiwa. Vimedumu kwa sababu vilitengeneza sehemu ya watu kuonana, kusikilizana, kusaidiana, kuombolezana, kucheka pamoja.
Human beings are social beings before they are ideological beings.

Ndiyo maana hata mtu asiyeamini Mungu bado anahitaji belonging.
Anahitaji kuitwa na mtu akiwa kimya sana.
Anahitaji kukumbukwa siku mbaya.
Anahitaji sehemu ambayo presence yake ina matter.

Ila with rise of technology na false idealisms, watu wengi tunafanya vitu based on hypertension na kutaka ku satisfy ego zetu. Nimeacha kwenda kanisani since chuo, na hata kama nilienda nilienda out of special events kama ndoa. Hii kitu imwnifanya nifikirie sana, of course God is what we go church for, but there's more to that.

Watu wazima wenye emotional integrity wanajua kabisa, it's people we lve for, it's love and connection we long for. Ukiangalia depression levels zinakuwa Kwa sababu hiyo, watu wanapata mental illnesses because of isolation. Tunazidi kuwehuka, tunazidi kuwa watu wasio na clear thought process Kwa sababu tunajilimbikizia vitu ambavyo in a grand scheme of life havina mashiko. Maisha yalikua simple zamani, sawa wazee walikuwa ignorant to some extent ila at least walikuwa na direction. Walikuwa na kitu cha kufia, kitu cha kuwa sukuma, when things felt impossible. Though it was delusional it still worked. Kuna nguvu katika belief.

Mwisho wa siku, labda maana halisi haipo kwenye doctrine zote tulizolazimishwa kuamini.
Labda ipo kwenye uwezo wa binadamu kuwa sehemu salama kwa binadamu mwingine.

Nawasilisha.
Happy Sunday y'all
Tunaweza kuwa na hiyo connection na belonging bila kudanganyana mambo ya Mungu na dini.

Mfano, mtu anaweza kuwa ana belong kwenye Think Tank inayotetea Human Rights kwa watu wote, bila ubaguzi wala uongo wa dini, akitetea mpaka haki za watu kuamini katika dini tofauti, na hilo pia likaleta connection na belonging.

Imani za dini na Mungu hazina monopoly kwenye habaro za connection na belonging.
 
Hata mie natafuta njia ya kuconnect na society kupitia kanisa..
Lakini ukiacha Hilo,Niko kinyume nawe.naamini Mungu yupo Tena ndani yangu licha ya yote nliyopitia na yanayotokea
Nliacha tu kwenda knaisani Kwa sababu zangu binafsi.lakini sijaacha kuongea na Mungu Mimi kama Mimi.
Tunafanana mtazamo.
Mimi siendi kanisani miaka mingi Sasa.
Sijinasibishi na dini yeyote.
Naamini Mungu yupo.
Namuomba Mungu kwa wakati wangu kwa faragha.
Siogopi kuzikwa bila ibada ya wafu inayoendeshwa na watu wa kanisa.
Sadaka na zaka zangu natoa kwa mtindo wa kuwasaidia wenye uhitaji pale tu ninapokuwa na nafasi ya kufanya hivyo. Siyo kukamuliwa kilazima kanisani au na watu wa jumuiya ndogo za kikanisa.
 
Nimetamani kuelewa uzi,ila kusema kweli nimeshindwa!I
Post hii inaeleza kwamba hata kama imani au dini inaweza kubadilika au kufa ndani ya mtu, bado binadamu hawezi kustawi bila connection, belonging, na upendo wa watu wengine kwa sababu mara nyingi kinachomuokoa mtu si doctrine, bali kuhisiwa, kusikilizwa, na kuonekana kama ana thamani. Wakati mwingine hatumkatai Mungu, tunaumia tu na kujitenga na watu.”
 
Safi!
Unaamini kama Mungu yupo?ukiachana na mambo ya Allah au Jehovah?
 
Tunaweza kuwa na hiyo connection na belonging bila kudanganyana mambo ya Mungu na dini.

Mfano, mtu anaweza kuwa ana belong kwenye Think Tank inayotetea Human Rights kwa watu wote, bila ubaguzi wala uongo wa dini, akitetea mpaka haki za watu kuamini katika dini tofauti, na hilo pia likaleta connection na belonging.

Imani za dini na Mungu hazina monopoly kwenye habaro za connection na belonging.
Of course naelewa, ila ndo kilichofanywa na wengi bila wao kujua. Huo uelewa ni wa mtu anayeona the tip of the ice berg. Ila nikwambie tu, both end Zinamapungufu yake, human rights bila virtue ndani yake, bila love for other people lazima ilete vita tu. Kuna namna ambavyo dini japo ni doctrine, Ina leta watu pamoja na kidumisha upendo. Most teachings zinafaida. Japo of course Bado Kuna watu wanauana kisa dini. So nikupima mizani na kuona wapi panafaa. That's all
 
Mpaka sasa watu watatu tumemwambia haeleweki nyie mpo wawili nadhani ushajua upande wenye shida
Binafsi naona kaeleweka pia. Dhana ya msingi kwenye andiko lake ni kwamba kunaweza kusiwe na Mungu hivyo pasiwepo mantiki ya kwenda kanisani ila kuna jambo la ziada zaidi ya kwenda kanisani kwa ajili ya Mungu, nalo ni mwanadamu anaishi katika jamii na kiasili anapenda kuchanganyika na wenzake.
 
Ilikua rahisi sana, na Hilo ndo jibu. Plain clear
 
Tunafanana mtazamo.
Mimi siendi kanisani miaka mingi Sasa.
Sijinasibishi na dini yeyote.
Naamini Mungu yupo.
Namuomba Mungu kwa wakati wangu kwa faragha.
Siogopi kuzikwa bila ibada ya wafu inayoendeshwa na watu wa kanisa.
Sadaka na zaka zangu natoa kwa mtindo wa kuwasaidia wenye uhitaji pale tu ninapokuwa na nafasi ya kufanya hivyo. Siyo kukamuliwa kilazima kanisani au na watu wa jumuiya ndogo za kikanisa.
Ni Mimi kabisa.
Nliwahi kushiriki lakini nkikosa michango naambiwa siwajibiki,najitenga
Nao unaona kabisa wanakupotezea.nimewaacha na Maisha yao
 
Tunafanana mtazamo.
Mimi siendi kanisani miaka mingi Sasa.
Sijinasibishi na dini yeyote.
Naamini Mungu yupo.
Namuomba Mungu kwa wakati wangu kwa faragha.
Siogopi kuzikwa bila ibada ya wafu inayoendeshwa na watu wa kanisa.
Sadaka na zaka zangu natoa kwa mtindo wa kuwasaidia wenye uhitaji pale tu ninapokuwa na nafasi ya kufanya hivyo. Siyo kukamuliwa kilazima kanisani au na watu wa jumuiya ndogo za kikanisa.
Jamani jumuiya🙌🙌🙌Hapana kwa kweli
 
Back
Top Bottom