That's the saddest part,
Kiranga
It's all mental japo pia ile point yangu ya cultural background unaisusa kimtindo.
Na ni kweli wanatumia dini kama kivuli, ila still it goes way behind, to our history.
Ni kweli because it's just a doctrine, tena a strong one, but ile point yangu ya illiteracy Kwa asilimia kubwa ya watanzania itawezaje ku catch up na hayo mabadiliko tuyatakayo kiranga? It's nearly impossible, not today or tomorrow. Na hao viongozi ambao nao wakitaka kuwa right, wanaishiwa kuuwawa? Most of these concepts na system za kupata secular democracy nyingi zipo nje ya upeo wa mtanzania wa kawaida, hawezi kujitetea, hawezi kuelewa
Hapo umenena mkuu, and I know hizo secular ndo misingi Bora na Zina room for self correction. But as I said, that won't happen in this generation, the next and even after the next... It'll take years of not only wars, but reprogramming na hiyo ni mpaka wananchi wajue wanapigania Nini.
Lakini pia ukija ukiangalia hata mataifa yaliyo endelea, utakuja kugundua vita nyingi Huwa ni indegineously caused by watu wenyewe, na kujificha kwenye dini kama kivuli.
Dini pekee mara chache huwa sababu kamili ya vita; mara nyingi huingiliana na nguvu za kisiasa, kijamii, na kiuchumi.
"Vita ya Syrian Civil War ilianza zaidi kama maandamano dhidi ya serikali mwaka 2011, wakati wa vuguvugu la Arab Spring. Watu walikuwa wakilalamikia:
ukosefu wa uhuru,
ukandamizaji wa serikali,
rushwa,
uchumi mbaya.
Baadaye mgogoro uligeuka kuwa wa kijeshi na makundi mbalimbali ya kidini na kisiasa yakaingia. Ndipo tofauti za kidini (kama Sunni, Shia, Alawite) zikaanza kuonekana zaidi. Kwa hiyo dini ilikuja kuwa sehemu ya mgogoro, lakini si chanzo pekee cha mwanzo."
"Nigeria, hasa kaskazini, kuna migogoro inayohusishwa na kundi la Boko Haram. Hapa dini ipo wazi kwenye ujumbe wa kundi hilo, lakini wachambuzi wengi pia hutaja:
umasikini mkubwa,
ukosefu wa ajira,
elimu duni,
rushwa,
serikali dhaifu,
tofauti za kikabila na kikanda.
Kwa hiyo mazingira hayo huwafanya vijana wengi kuwa rahisi kuvutwa kwenye misimamo mikali." So it's more cultural and religion used as a weapon.
Anyways you're right too, depending on religion too ni kosa kubwa ila, tutafanyaje if the frog we are attacking goes beyond religion? Kutackle hiyo miziz bila kurisk neck is nearly impossible. Na inatakiwa iwe consistent hata Kwa miaka kumi ya vita tu.