Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,169
- 48,681
Mimi silipwi hata sh. Mia kwa KAZI ya uchawa . Sijulikani na kiongozi yeyote mkubwa.
Ni mtumishi wa umma, na ofisi yetu haihusiani na siasa au jamii moja kwa moja.
Ukisoma nyuzi zangu huko nyuma nadhani kuanzia Juni mimi nilikuwa mpinzani kabisa ila kitendo cha wapinzani kuwaunga mkono Gwajima na Polepole kilinikera sana.
Kila mtu mwenye akili timamu anajua 2015 ndio ilikuwa penalty ya wazi upinzani kuingia Ikulu. Gwajima alihusika kufuta ile penalty.
Polepole ndo muhuni kabisa, alishirikiana na Jiwe kuua upinzani, ndipo uhuni wa kila namna na rafu kuu kwa upinzani zilianza rasmi kipindi cha Magufuli. Polepole kawa mwiba kwa CCM kwa maslahi yake.
Imagine akiwa mwenezi aliwezaje kununua nyumba ya mabilioni Masaki kwa mshahara wa laki 8?
Wale walikuwa wanajichotea tu mihela. Samia kammwagia ugali wake ndo kaanza kuwa against. Ubalozi kwa mtu aliyezoea kujizolea ma takrima ni kama pigo.
Nazungumza kama Mtanzania mzalendo na mwenye utu.
Nalipwa mshahara na posho mbili mpaka 3 kwa mwezi.
Nina biashara zangu.
Kwahiyo nikiongea kitu au kuandika mjue kuwa siko kazini. Tofauti na wengine humu hulipwa kwa hizi propaganda za mitandaoni.
Siwezi kuzima nia ya watu kuandamana ila ninaweza kumshawishi mtu mmoja mmoja asiandamane au aandamane kwa faida yake na Taifa.
MAANDAMANO ya tarehe 9 ni ngumu kufanyika ila kwa akili za Watanzania ni rahisi sana kufanyika. Maana MANGE akisema kitu hapingwi.
Na MANGE mjue yuko kazini lazima atakuja na namna mpya ya kuhamasisha.
Namna hii mpya itawavutia vijana wengi kuingia road.
Pia serikali watatoka si kwa lengo la kutuliza maandamano bali kupambana na waandamanaji ambao MANGE anakwenda kuwavalisha vazi la waasi.
Mange anawavalisha vijana vazi la uasi ingawa si waasi.
Yaani vuta picha JWTZ litakapoingia barabarani kupambana na waasi halafu bahati mbaya waasi wenyewe hawajavaa vazi la uasi.
Order ikiwa tayari imetoka kuna muasi hapo ukimkuta mbele hata kama ana fimbo wewe kijeshi lazima utumie silaha yenye kipimo cha kumdhibiti muasi.
I see rivers of blood.