Sio kwa ubaya lakini nashauri CCM yale mabasi yenu bora myageuze kuwa mwendo kasi

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
997
Reaction score
2,320
Najua hii posti akiona ndugu yangu Lucas lazima atabubujikwa na machozi ya furaha..

Lakini kwa jinsi mwaka huu ulivyo baada ya Chadema kujitoa kwenye uchaguzi Sisiemu hakuna wa kushindana nao..

Hizo gharama ikiwemo na yale mabasi ni bora kuyapeleka kwa wananchi tu..

Sioni ulazima wa kutumia gharama nyingi kushindana na Chauma na ACT...

Anzeni na mabasi
 
Attachments

  • images-2.jpeg
    images-2.jpeg
    46.9 KB · Views: 16
Najua hii posti akiona ndugu yangu Lucas lazima atabubujikwa na machozi ya furaha..

Lakini kwa jinsi mwaka huu ulivyo baada ya Chadema kujitoa kwenye uchaguzi Sisiemu hakuna wa kushindana nao..

Hizo gharama ikiwemo na yale mabasi ni bora kuyapeleka kwa wananchi tu..

Sioni ulazima wa kutumia gharama nyingi kushindana na Chauma na ACT...

Anzeni na mabasi

Ngoja TAL aishike nchi tutawasaidia kufanya maamuzi yenye maslahi kwa umma.

Futungo si watu wazuri!
 
Back
Top Bottom