Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Hahaha nimekumbuka ile story ya mdada alolalamika yeye anahongwa tu pilsner ice 3 mweee.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Chaaah!! Kweli kazi tunayo mama, wengine wanakunywa mifuko 8 ya simenti kupitia savah!! RRONDO katuchoka!!
Hahaha you nuts. Eti misumari daah[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Angalau kidogo yeye anakula misumari tu.
Haha hivi hujacatch tu fire bado maana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hajafikisha mfuko wa simenti kwahiyo angalau kala misumari tu!! She wont catch fire.
ivi na wewe ni me?Wanawake wanatudumaza akili kweli yani ukiamka asubuhi unaanza fikiria leo nimwandalie buku 3 ya bando,hela za soseji soseji na baga,kilevi,apo ukitaka mzigo uandae pesa ya lodge kuja gheto hawatakagi eti hawafeel comfortable yani mapicha picha tu huwezi pata mtu akakwambia hata ununue kakiwanja ujenge wao kufuatiloa latest smartphones tu na misuko mipya ya nywele mwisho wa siku km unakaa nyumba kodi laki mwenyewe utatafuta chumba cha elfu30 sinza
btwWanaume wote tupo timamu sema huruma yetu tu kuwasitiri wanawake ndo inatuponza
Na mimi jamani mbona unanisahau [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani hiyo sala ingekuwa inasikika sijui tungeungua wangapi!! Wangebaki peke yao.
Anapenda nini umfanyie surprise.Nimemtumia dem wng hii jana as joke nimechuniwa sikunzima
Hahahha sio bandit kiasi hicho khaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wewe tena!! Wa parking!! Yaani wewe usingeungua ungeyeyuka taratiiiibu.
Nyie mnakula "plans" za mansionNa sisi wala ugali je, ni mifuko mingapi tumekula.
usicheke tangaza msiba[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
I like this mkuu, plans tena basi makubwa.Nyie mnakula "plans" za mansion