Sio kila Mhaya ana dharau

Kuna kipindi humu ndani walikua wanakomalia Wachaga daily sasa hivi naona ni zamu yenu teh. Wapuu.z hawa sijui wenyewe hawana makabila? Halafu utakuta wengi wao ndio wale wanaoongoza kuua Zeruzeru. Sshiii nakunong'oneza ngoma (Kanda ya ziwa)
 
Tukirejea ktk historia ya nchi hii ni wahaya ndio waliompokea mkoloni Tanganyika na kufuatia na makabila mengine ambayo mwanzoni yalitia ngumu.
Hivyo tunachokiona sasa ni muendelezo wa fikra za Kizungu zilijikusanya ktk watu hawa karibu karne sasa.
Kutamba au kujidai kwa wahaya ni ujasiri walionao katika kila kitu hasa elimu inayowaweka huru kuliko wengine ambao ndio kwanza wameanza kufunguka kifikra juu ya au namna ya kuishi kibepari.
Wahaya walio wengi hata kama hawana pesa kinachowafariji ni elimu waliozonazo,kwa muhaya heshima kubwa ni kuwa na elimu ya kutosha mambo ya pesa baadae.
Hata wapatapo pesa utumia pesa hizo pasipo kubagua kabila lingine ili mradi tu kuna mausiano fulani fulani.
Kwa mhaya kutumia kiasi kikubwa cha pesa kwa starehe ni jambo la kawaida na hata afanyavyo hivyo ujue kuna kitu kinatafutwa interms of IRR.
 
wadanganyika wasaulifu..Rugemalila alishata "utu tuhela twa ugolo ndo mnatouliza" RIP ESCROW
 

Uchambuzi wako ni mzuri lakini mada hapa ni kuhusu ubaguzi na ukabila
 
Mbona mliwasema sana waaaa acha ..agaaa ....Wahaya ...wana mengi zaidi ya kusemwa....Acha la vibanda hodi nchi nzima kabla na baada ya Uhuru. Ilimu pia iliwahusu sana....Lakini kuukana ukabila wao ....linahusika pia.Utaambiwa mama yangu ni mganda baba ni mchanganyiko wa Mtu wa Musoma na mkerewe nk.....Tanzania bila wahaya inawezekanika kabisa......Wametuchosha na kejeli zao ,majidai na mazaga zaga yao chungu mbovu.
 
Kumpata mhaya asiye na dharau au kujisifu ni mpaka utumie darubini maalum.
Wahaya wanahitaji maombi kubadilishwa tabia.

Kwako kijijini (sio kata wala tarafa mind!)kuna PhDs ngapi? Nijibu kwa ustaarabu then nitakwamnia kitu!
 

Naomba uonyeshe ubaguzi wa Chenge tafadhali.
 
Ukweli ni kuwa kila kabila lina mambo ambayo hayawezi kukubalika na kabila zingine ... yaani characters zinazo-represent asili ya watu ... pengine ni perception au ukweli!!
Mfano misemo kama vile:

Watu wa Musoma/Tarime ni wauaji au wakatili
Wachaga ni wezi
Wanawake wa kimachame wanaitwa Wapalestina (Wauaji/wanaua waume zao)
Wakibosho majambazi
Wanyakyusa wa Kyela nao wanafanishwa na Wahaya kwa dharau
Watu wa Pwani wavivu/waswahili
Watu wa Sumbawanga wachawi...

Hizi tabia zinatajwa zikijumlisha tabia za eneo ila ukweli si kuwa wote wana tabia hiyo!!
:A S-frusty2::nod:

Ila Wahaya jamani .. mmmhhh .. mnatuita wengine "Wanyama hanga"
 
Iwe bojo,ngoja niwaulize, kwahiyo mnavyowaongea hivyo mnahisi mna lolote la kusaidia? kama ndiyo basis niwaombe nendeni Kagera ndo mkoa wao mkawahubiri weee alafu mkiweza mkasherehekeeee vinginevyo twendelee tu na stories za kawaida bila kuleta vimbegu vya kikabila kwasabàbu huo uwezo pia tunao sana,si mnaelewa tulivyo wengi?
 
Nakuhakikishia,haiwezekani kabisa!
 

Pale Kariuki mpaka lugha inayotumika ofisini ni kihaya, watu wengi wamekimbia pale kwasababu ya ubaguzi, kweli wahaya wanaubaguzi uliokithiri sijui wangekuwa kabila lillisoma zaidi na kumiliki uchumi kama wachagga sijui wangefanya nini
 

Nimeguswa na unyenyekevu wako japo mhaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…