Sio kila Mhaya ana dharau

Sio kila Mhaya ana dharau

Magufuli: Asiye na nauli ya kivuko, apige mbizi...Hii ni dharau. Wahaya mna dharau sana. Nimeishi nao miaka mingi. Mtu hana lolote ila anatamba balaa. Wahaya acheni dharau na maringo.

Huu nao ni upunguani aliyekwambia Magufuli ni mhaya nani? Kama hujui kitu kaa kimya.
Acheni ubaguzi bwana....
 
Kwanza naomba kudeclaire interest,mimi ni mhaya,naomba niungane na mleta mada kua sio wahaya wote wanadharau,ila kiujumla wahaya walio wengi wanadharau,tena madharau mabaya sana mama tibaijuka ni mbunge wa muleba na kila anachokifanya na kuongea anawakilisha wapiga kula wake hvyo no ngumu sana kuwatenganisha wahaya na dharau,sawa ilivyyo ngumu kuitenganisha yanga fc na ccm.

Acha kuchanganya mpira na siasa.
 
Kwanini mnawasurubu wahaya hii ni dhambi ya Ubaguzi tena usiyo na msingi binadamu wote sawa na kama mapungufu ni ya binadamu wote na sisi sote tumeumbwa na MUNGU kwanini tuanze kusurubiana na kuanza kunyosheana vidole kwa mapungufu yetu. Hapana tuwa wafuasi wa UTU ili tukiwa wote tuwa watu wa kufaana na kuleana kwa mapungufu yetu.
 
Bila kusemwa na kuambiwa utajuaje una mapungufu fulani wewe unafikri wahaya wenyewe wanajijua wana mapungufu.
 
Kusemana humu hatubaguani na pamoja na nyie kuwa na tabia za ajabu bado wengi wenu ni marafiki zetu majirani zetu na tunashirikiana kwa mambo mengi tu mfano mimi ni mkurya na nina rafiki yangu mhaya tumekuwa marafiki kwa muda mrefu hata mkewe akijifungua mke wangu anaenda kumhudumia hata wiki 2 na yeye hivyo hivyo ingawaje vitabia fulani vipo na tunajua jinsi ya kuishi na ninyi.

Umenifurahisha. Kuna watu hawajui jinsi ya kuishi nao na wanakerwa na misifa yao.

Mimi niko kama wewe, asilimia kubwa ya marafiki zangu ni nshomile na tunakuwa marafiki zaidi ya ndugu kabisa.

Nshomile nawapenda, wako poa hasa wakilewa.
 
Magufuli: Asiye na nauli ya kivuko, apige mbizi...Hii ni dharau. Wahaya mna dharau sana. Nimeishi nao miaka mingi. Mtu hana lolote ila anatamba balaa. Wahaya acheni dharau na maringo.

Dr Magufuli sio Mhaya.
 
Nshomile ni balaa, si kuna mwingine aliwahi kusema huto ni tupesa twa kununulia ugoro!!!au huyo ni wa wapi???Rugemalira!!
 
Kwanini mnawasurubu wahaya hii ni dhambi ya Ubaguzi tena usiyo na msingi binadamu wote sawa na kama mapungufu ni ya binadamu wote na sisi sote tumeumbwa na MUNGU kwanini tuanze kusurubiana na kuanza kunyosheana vidole kwa mapungufu yetu. Hapana tuwa wafuasi wa UTU ili tukiwa wote tuwa watu wa kufaana na kuleana kwa mapungufu yetu.

Kwa hiyo unapendezwa na dharau zao siyo?
 
Umeongea point nzuri sn mkubwa,tabia ya mtu mmoja mmoja isiharibu Sifa ya kabila zima watu tupo tofauti
 
Hao hawana bei na hawalipi ushuru cc tumewazoea wapo kila kona Mauza uza.
 
Halafu wana makabila ya kuringia na sio wote, jichunguzeni makabila yenu kwanza na tamaduni zenu.

Hawawezi kumringia mnyakyusa, mmatengo,mhehe, mfipa, mnyamulenge, mhangaza au mkongoman
 
Back
Top Bottom