tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,484
Ktk umri huu nloishi nimekutana na muhaya mmoja asiye na majivuno,jamaa anaitwa rutta yupo mwadui,jamaa muungwana sana,wengine ni balaa,cjui wanapozaliwa huwa wana nuwiziwa maneno ya kiwa na nyodo?,huo ni ushamba,nadhani ni ulimbukeni na mapokeo toka kwa wazazi
Msiendekeze ujinga huu badilikeni,inawezekana
ha ha ha ha wa KIHAYA NI WENGI:nod:
Hapa tunaelimishana....ebu toa mifano hai ya hzo tabia ulizotaja ili tuweze kuweka jumla kwamba ukitaka kujua utambulisho wa mhaya basi ni hayo uliyoyataja! Usije na mifano ya huko mitaani maana sisi hatuwezi thibitisha...
mfano ukabila ,lile dili la escrow zaidi ya asilimia tisini waliopiga ni wahaya,hivi unafikiri kwa nn makabila mengine hawakusilkishwa
Unamaanisha 90% Ngeleja change na wale wa stanbic nao wahaya?
Wahaya wana sifa kama majivuno,ubinafsi,kiburi,ubaguzi na nyingine nyingi mjuazo !
TUOMBE MOLA AONDOE ROHO CHAFU KWAO.
Magufuli ni mzinza siyo mhaya!
Umenifurahisha. Kuna watu hawajui jinsi ya kuishi nao na wanakerwa na misifa yao.
Mimi niko kama wewe, asilimia kubwa ya marafiki zangu ni nshomile na tunakuwa marafiki zaidi ya ndugu kabisa.
Nshomile nawapenda, wako poa hasa wakilewa.
Eeeeh,kihelehele cha Nyerere kinatukomesha,Iddi amin alitaka ndg zake mkakataa,haya majitu hayafai
Ni kweli japo lugha ndo ile ile hakuna tofauti, kizinza ni lahaja mojawapo ya kihaya na tunaelewana bila tabu yoyote