Sio kila Mhaya ana dharau

Kabila la mkeo.

Sasa ili ujue kuwa Mimi sio mbaguzi nawachukulia watu wote sawa japo yanasemwa mengi sana kuhusu kabila hili na tamaa ya pesa lakini Mimi sijali maana ni binadamu sawa na wengine
 
Kuna mwandishi wa habari wa ITV jina unalijua kwa tamaa ya pesa alifanya mpaka mchumba wske akajiua! Ni kabila gani vile?

MCHAGA ni reporter sasa hapo sifa zipo wapi mkuu? nyie mnasifa mpaka MNAOGA NJE
 
Wahaya wana zingua sana aisee na wote niliokutana nao wanajisikia
 
Sasa ili ujue kuwa Mimi sio mbaguzi nawachukulia watu wote sawa japo yanasemwa mengi sana kuhusu kabila hili na tamaa ya pesa lakini Mimi sijali maana ni binadamu sawa na wengine

Kusemana humu hatubaguani na pamoja na nyie kuwa na tabia za ajabu bado wengi wenu ni marafiki zetu majirani zetu na tunashirikiana kwa mambo mengi tu mfano mimi ni mkurya na nina rafiki yangu mhaya tumekuwa marafiki kwa muda mrefu hata mkewe akijifungua mke wangu anaenda kumhudumia hata wiki 2 na yeye hivyo hivyo ingawaje vitabia fulani vipo na tunajua jinsi ya kuishi na ninyi.
 
That's their nature guys.....fighting with the nature is like fighting oneself???
 

hata mim ndivyo niivyomuelewa...sema alisahau kabila lake wakati anazungumza
 
Naomba kuuliza, bucha gani inauza kitoweo cha milioni 10? Natafuta mboga ya leo mchana....

Kila mmoja ana viwango vyake. Think of an hypothetical situation, Mboga yake inatoka London, New York and the like, and therefore alikuwa anapeleka bureau de change apate dola atume wamletee mboga toka London and New York!
Viwango vyako ni mamzese yeye ni London na Ney York. By this token ten million is small for shopping in London and New York anyway!
Kama ulikuwa umezaliwa, Charles Njonjo Attoney General wa Kenye in early 70s, (if I am not mistaken) aliamini kuwa nguo zake haziwezi tengenezwa na mtu hapa Africana hivyo zilitengenezwa London na nembo kwenye nyuzi (inscribed in the fibre) CN CN, CN...... (Charles Njonjo). to crown it more alikuwa hapandi ndege inayoendeshwa na Mwafrika. Just ask utathibitishiwa hilo. The bottom line ni kuwa KILA MMOJA ANA VIWANGO VYAKE
 
Issue sio sifa ni tamaa ya pesa ....alikuwa anapewa hela afanye ya maana yeye hela anapeleka kwa mama yake jamaa karudi kutoka nje ya nchi hajakuta kitu! Kaamua kuwafyeka wote na yeye pia akajiua japo mhisika hakufa

ACHA KUCHANGANYA MADA WEWE BWANA TUNAONGELEA MASWALA YA SIFA.. mambo ya tamaa ya pesa ya nini hapa? unachanganya maudhui
 
Kuna jamaa wa kihaya tulikuwa chuoni bwana akawa ananiletea majivuno sana sasa kuna siku tukakutana mahali alikoma toka siku hiyo akiniona ananikwepa .

wasukuma mbona mnatuonea gere hivyo? mlitaka
tuwe wachunga ng'ombe kama nyie?
 
Kwanza naomba kudeclaire interest,mimi ni mhaya,naomba niungane na mleta mada kua sio wahaya wote wanadharau,ila kiujumla wahaya walio wengi wanadharau,tena madharau mabaya sana mama tibaijuka ni mbunge wa muleba na kila anachokifanya na kuongea anawakilisha wapiga kula wake hvyo no ngumu sana kuwatenganisha wahaya na dharau,sawa ilivyyo ngumu kuitenganisha yanga fc na ccm.
 

What about Kagasheki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…