el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,064
Kwanza kuhusu Mama Tibaijuka mi sioni kama alikuwa na dharau kusema hela ni hiyo ni ya mboga... Basi tu watu wameamua kushikilia bango maana mtu kusema milioni 10 ni hela ya mboga haimanishi kuwa ni hela ya kununulia mboga bali ni hela ya kufanyia matumizi madogodogo na watu wengi sana hutumia huo msemo mtaani kwa kusema kiasi fulani cha Pesa ni cha Mboga..
Najaribu kufikiria ile kauli ya vijisenti... Hiyo labda ndo ilikuwa ina dharau..... Mi sio mhaya ila tunakosea sana kupresume kila kitkachosemwa na mtu wa kabila hilo ni tambo au dharau wakati ukiangalia kiuhalisia wanachofanya wao hata makabila mengine wanafanya kila siku...tuacheni ukabila