Sio Kila Ex Ni Expired, Ex zingine ni Example

Sio Kila Ex Ni Expired, Ex zingine ni Example

Mimi nimependa tu sentensi moja.......
SIO KILA EX NI EXPIRED.......basi.....

Ubunifu muruuuwa kabisa EX nyingine ni
EXTRA
EXTERNAL
EXTINCTION
EXIST
EXIT
EXHIBITED
EXPO
and moore of EXs
 
Karma is a bitch, mwenzio maumivu yalishakwishaga nimepashapasha kiporo ila sasa najihisi nina hatia namshauri sana wavumiliane na mume wake nimesitisha huduma ya dushe.

Nawashukuru kwa wao kusababisha niwe mchakalikaji maana miaka ile najuwa ile status ya kula kulala ndio ilininyang'anya tonge mdomoni.
Ila karoho kanauma mkuu, mtu hupenda maramoja tu mara ya pili ni expired.
 
Uko sawa kabisa..ile LOGIC yakuoa mwanamke BIKIRA inahusika KUPUNGUZA sana PEPO HILI....Mimi mwenyewe kuna Ma-EX kadhaa ambao nakamua hadi leo...Tena wengine wamesema hata wakiolewa....Huwa nakata tamaa sana ya kuoa nikikutana na demu-ETI AMETENDWA......Maelezo yako pia yanakubaliana na ule msemo wa KUPENDA NA KUFA NI MARA MOJA
 
 
Last edited by a moderator:
Asante BAK kwa video mujarabu. Imetukumbusha mbali sana siye wa zamani.
 
Zingine ni EXtremely HOT na nyingine ni Extra vichomi
 
Unatania mkwe!!!

Kwanini nanjilinji Unajua hofu ya Mungu ni kila kitu
Lakini sasa hivi kila kitu watu wanachukulia mazoea ndoa wanaona ni kitu cha kawaida dhambi imezoeleka sasa hii inaleta shida .Mume/mke akiwa mbalii na nyumbani au akichelewa tuu kurudi hata kama kaenda sehemu salama huku nyuma hofu imejaa kila mtu ana mwazia mwenzake uovu
 
ila jamani me mwanaume akishaniacha akaoa....MMMHH akirudi najua kabisaa huyu ni wakusafisha rungu tuu alolichafua mkewe SO naweza kumkubalia ila ntakachomlipizia mmhhh hatonisahau..
Coz hata kama kulikuwa na nini Why aniache akaoe mwingine, inamaana mimi sikuwa nathamani!!...
 
ni EXPIRED tu....hata Ex afanye nini, mwisho wa siku ngoma itarudi nyumbani na nitaicheza nitakavyo..yeye hata akicheza atacheza kwa hofu...

kama anapendwa kweli, kwanini aliachwa (in the first place) au kwanini nisiachwe mimi achukue yeye???

Ha ha ha mane no ya kujipa moyo hayo
 
Kwanini nanjilinji Unajua hofu ya Mungu ni kila kitu
Lakini sasa hivi kila kitu watu wanachukulia mazoea ndoa wanaona ni kitu cha kawaida dhambi imezoeleka sasa hii inaleta shida .Mume/mke akiwa mbalii na nyumbani au akichelewa tuu kurudi hata kama kaenda sehemu salama huku nyuma hofu imejaa kila mtu ana mwazia mwenzake uovu
wewe unaweza kutupa jiwe ukiwa wa kwanza? Nina maana hujawahi kuchepuka au nawe mkwe ni zilongwa mbali na zitendwa mbali? Lakini chonde chonde usijibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom