Sio Kila Ex Ni Expired, Ex zingine ni Example

Sio Kila Ex Ni Expired, Ex zingine ni Example

ndio kusema EX ya EXPIRED isiaminike sana kwenye suala la mapenzi na ndoa?
 
mkuu ni hayo tu cjamaanisha kuumiza mtu ila kumbuka sio kila anaeyeoa au kuolewa anakuwa na mtu ampendaye ukweli ndio huo, wangapi wamechukuliwa wapenzi wa watu na kuwaoa kwa vile wanapesa mkuu, weka akilini kuwa true love never die.
 
Wanaume wengi hujisahau sana wakishaoa, wanakua busy na kusaka noti na kuhakikisha nyumbani hakipungui kitu, wanasahau about emotional needs of their wives which is the base of their marriages! Jaman waume wapenden wake zenu, jitahidin kuwaonyesha huba, na pia linapofika swala la ile shughuli ya ktandani basi wekeni ustaarabu pembeni jiachieni!!! Mume yuko na mkewe chumban anajileeegeeeza et nimechoka kazin, mara anatia ustaarabuuu anashindwa hata kuichezea sambusa ya mkewe vzuri eti aahh ntakua namdhalilisha mke wangu, ni kutumbukiza tu then ndani nje ndani nje ooohh asante!!!! Sh**zi.....kwann mkeo asimfuate EX wake akamgeuze geuze, akatindue kuta zotee!!!

Loooooool una roho mbaya sana! Yaani nimeona huruma kwa wanaume!
Sometimes kweli wanachoka kutokana na ups and downs za kutafuta, pia na hectic za maisha!
Then awe kaoa mke mwenye wadudu wanaonyevuanyevua 24/7! Si mateso?????
Hata wewe mwanamke mwenzangu unaewaza kama huyu please hebu muhurimie mumeo au mpenzio!
Mi si support kabisa hii!
 
What I know kama x mliachana vizuri mtaheshimiana na si kuflirt naye! Problem inakuja kwenye ndoa kama kuna migogoro au kutokuelewana na kama mume wa sasa ni mchepukaji, hapo ni wanawake wachache sana wataweza wasirudi kwa x au kutafuta new partner!
Hili halina ubishi!
Ukioa asiye bikra mpende mheshimu, stay faithfully hiyo ndiyo dawa ya kutokuchepukiwa mkeo!
Hata kama 6*6 dhaifu maadam unaishi vizuri naye atavumilia
 
Ni kweli 100%mapenzi hayana kaburi,kuna jamaa namfahamu alikuja mkoa kwa mbwembwe za ki dar es salaam kang'oa demu wa best yangu kwa shinikizo la wazazi,kilichojitokeza demu baada ya kufika bongo kakuta jamaa yuko safi,kamfungulia mradi wa kuku baada ya kuona mambo yamemnyookea katuma nauli ex wake kazuka bongo kapangishiwa chumba na mtaji kapewa na anamtindua gash kama kawaida na kuna tetesi kati ya watoto 4wa jamaa kazaa na yule jamaa,na mume hajui kitu.
 
Loooooool una roho mbaya sana! Yaani nimeona huruma kwa wanaume!
Sometimes kweli wanachoka kutokana na ups and downs za kutafuta, pia na hectic za maisha!
Then awe kaoa mke mwenye wadudu wanaonyevuanyevua 24/7! Si mateso?????
Hata wewe mwanamke mwenzangu unaewaza kama huyu please hebu muhurimie mumeo au mpenzio!
Mi si support kabisa hii!
Haaaaa haaaaa mkuu isue sio kupata huduma 24/7 Noooooo...a huge No...the isue is hata akiwa na uwezo wa doz moja per week basi iwe ya ukweli aweze kutuliza wadudu wote, na hata akishindwa basi kweli ionekane juhudi yake! nakataa ile mwanaume yupo yupo tu as if hajui kabisa kazi ya hiyo dushe ka vile kapewa ya kukojolea tu na kutolea wazungu, aaaaahhh kapewa amkune mkewe barabara!
 
Ni kweli 100%mapenzi hayana kaburi,kuna jamaa namfahamu alikuja mkoa kwa mbwembwe za ki dar es salaam kang'oa demu wa best yangu kwa shinikizo la wazazi,kilichojitokeza demu baada ya kufika bongo kakuta jamaa yuko safi,kamfungulia mradi wa kuku baada ya kuona mambo yamemnyookea katuma nauli ex wake kazuka bongo kapangishiwa chumba na mtaji kapewa na anamtindua gash kama kawaida na kuna tetesi kati ya watoto 4wa jamaa kazaa na yule jamaa na mume hajui kitu.
Acha mazuzu wakomeshwe, nimeipenda ......yann ufe na tai shingoni na uwezekano wa kulegeza hiyo tai upo, WE LIVE ONLY ONCE!:A S crown-1::A S crown-1:
 
What I know kama x mliachana vizuri mtaheshimiana na si kuflirt naye! Problem inakuja kwenye ndoa kama kuna migogoro au kutokuelewana na kama mume wa sasa ni mchepukaji, hapo ni wanawake wachache sana wataweza wasirudi kwa x au kutafuta new partner!
Hili halina ubishi!
Ukioa asiye bikra mpende mheshimu, stay faithfully hiyo ndiyo dawa ya kutokuchepukiwa mkeo!
Hata kama 6*6 dhaifu maadam unaishi vizuri naye atavumilia
Wee wee weee! dhaifu 6*6 then uvumilie heeeeeeh kwani huyo mwanamke alikuja kula kwako au kufanyiwa shopping?:sorry:
 
Wee wee weee! dhaifu 6*6 then uvumilie heeeeeeh kwani huyo mwanamke alikuja kula kwako au kufanyiwa shopping?:sorry:

Yeees dhaifu mbona wengi tuu na wanawake tunavumilia???? Ukikaa kwenye vijiwe vya wadada utaelewa haya! Tunaficha na kusitiri sana mambo yenu wanaume!
Kasheshe mkianza ubabe, ukorofi na kubaka housegals ndiyo makucha yanakunjuliwa!
 
Haaaaa haaaaa mkuu isue sio kupata huduma 24/7 Noooooo...a huge No...the isue is hata akiwa na uwezo wa doz moja per week basi iwe ya ukweli aweze kutuliza wadudu wote, na hata akishindwa basi kweli ionekane juhudi yake! nakataa ile mwanaume yupo yupo tu as if hajui kabisa kazi ya hiyo dushe ka vile kapewa ya kukojolea tu na kutolea wazungu, aaaaahhh kapewa amkune mkewe barabara!

Sasa kuna wale leo kesho keshokutwa ni balaa! Mwanaume atapumzika saa ngapi? Utakuta mabega yanapanda yanagusa masikio! Lishe bora hapati basi ye ni kukamuliwa kwa 6*6 24/7!
 
No way out,almost kila mwanandoa ana EX wake,otherwise alikua bikra.


Haaàaaa
 
Hahahahaaa....majibu hayoooo....more comments....wapi lara....marejesho...binti nanliii....cute wharever.....
 
Yaani mnavyozungumza hapa ni kama vile wana ex mmoja mmoja wakati kuna watu wana maex wanajaa boeing 777
 
Yaani mnavyozungumza hapa ni kama vile wana ex mmoja mmoja wakati kuna watu wana maex wanajaa boeing 777

Hahahaaa x wanaweza kuwa wengi lakini kuna anayebamba kuliko wote! first love sijui
 
Man-knows-where-to-place-hands-resizecrop--.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom