Mtu ukiwa na hofu ya Mungu haya huta yafanya abadani!
Haswa umenena. Thanks!
Mtu ukiwa na hofu ya Mungu haya huta yafanya abadani!
ni EXPIRED tu....hata Ex afanye nini, mwisho wa siku ngoma itarudi nyumbani na nitaicheza nitakavyo..yeye hata akicheza atacheza kwa hofu...
kama anapendwa kweli, kwanini aliachwa (in the first place) au kwanini nisiachwe mimi achukue yeye???
Mkuu acha kujifariji hizi fact ambazo huwezi kubishana nazo.
Wengine tunao Ex kadhaa, so one of my Ex wa kitambo sana huwa ananiambia siku hizi hampendi mumewe, swala la mimi nikitaka kukamuwa ni kama kawa no objection lakini najizuia sana kimahusiano nisiendelee kumgonga naheshimu kuna mwanaume kama mimi yupo nae ingawa ni yeye huyu ndio alinipora huyu demu nikiwa O-level miaka ya 90's mwenzangu alikuwa ameshaajiliwa kwahiyo status ya kula kulala ilininyang'anya mrembo.
Sasa kwa mazingira haya wewe unategemea nini? Hii thread imebeba ujumbe mzito sana.

swali langu ni dogo tu..kama hampendi tena mbona anaishi nae? kwanini asitoke aje kwako?
Mkuu acha kujifariji hizi fact ambazo huwezi kubishana nazo.
Wengine tunao Ex kadhaa, so one of my Ex wa kitambo sana huwa ananiambia siku hizi hampendi mumewe, swala la mimi nikitaka kukamuwa ni kama kawa no objection lakini najizuia sana kimahusiano nisiendelee kumgonga naheshimu kuna mwanaume kama mimi yupo nae ingawa ni yeye huyu ndio alinipora huyu demu nikiwa O-level miaka ya 90's mwenzangu alikuwa ameshaajiliwa kwahiyo status ya kula kulala ilininyang'anya mrembo.
Sasa kwa mazingira haya wewe unategemea nini? Hii thread imebeba ujumbe mzito sana.
Hata bikra ana mpenzi wakeNdio maana zamani bikira ndio walikuwa wakiolewa. Hakuna memory za kijinga
Ha ha ha ha.....ushauri mzuri sana MrigarigaBampami huyo dada alikuwa ex wa best friend wako ambaye bado mko karibu sana. Huna hakika kama anataka kukutumia wewe kama mwavuli wa kupata acess ya huyo rafikiyo. Endapo dhumuni lake ni kweli kakupenda basi usije kushtuka siku akimpenda rafiki yako mwingine. Kama ni kula, lakini kumbuka kuweka akiba.
Sidhani kama rafiki yako atakuelewa utakapo mshirikisha dhambi hii.
ni EXPIRED tu....hata Ex afanye nini, mwisho wa siku ngoma itarudi nyumbani na nitaicheza nitakavyo..yeye hata akicheza atacheza kwa hofu...
kama anapendwa kweli, kwanini aliachwa (in the first place) au kwanini nisiachwe mimi achukue yeye???
kama umeoa, mke wako pia huwa anamwambia X wake kwamba, siku hizi hakupendi. Ha! ha! haaaa! Ndoa! Raha sana.
Binafsi sina X, kwani sijawahi kuacha/kuachwa, huwa tunapotezana tu, na siku tukikutana, tunaanzia pale tulipoishia tunasonga mbele.
Aliye ninyang'anya mchumba wangu ipo siku yatamrudia yeye, days are numbered.