Sio Kila Ex Ni Expired, Ex zingine ni Example

Sio Kila Ex Ni Expired, Ex zingine ni Example

Sio kila EX ni EXPIRED, EX zingine ni EXAMPLE: Utanielewa tu.

Ndoa ni Complicated kuliko Hesabu za Logarithm na Integration, Ndoa ni Fumbo na walioweza kulifumbua ni wachache sana kwa msaada wa Mungu, ila Wengi wanadhani wamelifumbua Fumbo kumbe wametegwa na hawajui mtego ulipo.

Ndoa needs God na watu wenye hofu ya Mungu otherwise "UTAOLEA KIJIJI"


Na COMPLEX NUMBER Mkuu
 
Ndoa needs God na watu wenye hofu ya Mungu

kwa haya ya blue ndo ukweli only hofu ya MUNGU

mtu kukumbushia penzi it depend na mahusiano waliyokuwa nayo na pia msimamo wa mhusika

mfano ulimwacha cos ya kufumania,alikubaka,hakufikishi,sio mbunifu 6*6,ana kibamia/mguu wa mtoto,alikuaibisha mbele za watu unafikir mkionana utampa penzi kwa kipi????

 
Aisee!!! sijui mimi naishi dunia ipi, kwani siku hizi kuna mambo yakulazimishwa kuoa/kuolewa na mtu fulani???
 
Umeongea kweli, wenye kuelewa watakuelewa.
Ila nimependa hapo, kifuatacho ITV ... Isidingo.
Na Isidingo ilivyotamu kama mcharo.
 
Aisee!!! sijui mimi naishi dunia ipi, kwani siku hizi kuna mambo yakulazimishwa kuoa/kuolewa na mtu fulani???

Unaishi dunia hii tunayoishi sisi..!! Hayo mambo yapo kwa wasio na mamlaka na akili zao pamoja na miili yao..!! Umeskia Apologise lady

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kunatofauti kati maneno haya mawili mapatano na makubaliano, na hili linategemea akili ya mfikiriaji. Mapenzi ya kweli ni mapatano na ndoa ni makubaliano.

Ikiwa utaingia kwenye ndoa bila mapatano ukategemea makubaliano pekee hili uliloongelea litakuathili. Mapatano ni moja ya component muhimu sana kwenye upendo. Tenda kilicho sahihi hata kama ni kwa gharama sawa nakuondoa uhai, uilinde ndoa yako Takatifu.
 
Kumtegemea Mungu ndio jibu la mambo yote . Ndoa si complicated kama mtoa mada anavyosema shida ipo kwenye vigezo ulivyotumia ulipokua unatafuta mwenza je ulimshirikisha Mungu au uliona kwa macho anakufaa ukaamua kukubali/kutangaza ndoa. Yapo mambo mengi ya kuzingatia wakati unatafuta mwenzi wa maisha bahati mbaya wengi hawakumbuki walipo jikwaa huangalia walipoangukia tu.
 
Hakuna kitu kama hicho am nobody's x if we break up i dont know you..... Siwez kukaa nikamhofia aliepita kabla yangu kwa chochote kile angekua bora angeolewa yeye sio mie ila ni riziq ya mtukama ipo ipo japo milima haikutani binadam hukutana hayo n ya mbele mungu ndo ajuae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom