cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,586
- 8,389
Umeachana na mpenzi wako miaka 2,3,4,5 iliyopita.Na baada ya kuachana mnaamua kuendelea na maisha yenu kila mtu kivyake
Lakini jamani kuna muda huwa kuna ex fulani huwa anakuja automatically kwenye mawazo yako,sjui inakuwaje hapo
Na ukute ex wako ana familia yake, ila unakaa muda mwingine unamuwaza hadi unamuwaza na unatamani utafute picha yake kwenye social network umuangalie au umtumie sms tu moyo uridhike
Kama yupo mbali unatamani ujue maisha yake kwa sasa yakoje,unatamani umpate mtu wake wa karibu akuelezee maisha yake kwa sasa dah!
Ingawa muda huo upo kwenye mahusiano na mwingine ila kuna vitu unakuwa unamlinganisha na yule ex wako na sijui ni kwa nini inatokea hivyo
Na siyo ex wote ,no! Kuna ambaye ni very important ambaye unajikuta unammiss from no where!
Na mara nyingi ex huyu mnaweza mkapasha viporo mpaka uzeeni na mkapeana zawadi ya watoto kadhaa kwenye ndoa bila mwanaume wa ndoa kujua (Kitanda hakizai haramu)
NB ,Kama wewe ni mwanaume halafu huna ex ambaye anakuwza ujue wewe huna bahati ya mapenzi hapa duniani
Merry Christmas John
Sent using Jamii Forums mobile app